Thursday 30 November 2017

HAYAWANI LYRICS BY NYASHINSKI

Song : HAYAWANI

Artist : NYASHINSKI

LYRICS.

Kabla suala ukamilishe mama,Tafadhali mola mwambie
Milele Anichunge nisije zama,Mashetani yasinivamie
Chuki wivu tu nakutesa,Linda kwako usiwaskie
Kwa nini hatuwezi sote kupenda, Oiih wenzangu wacha niwaambie,
Labda si sote wendawazimu,Kabla laana yetu pesa,
Kesho ukipoteza kila kitu, Dunia nzima itakucheka,
Wanaomba nitiliwe chai yangu sumu, Wabaki hao ndio kusema
Kesho wampigie demu wangu simu, Asahau alivyonipenda,


Ona mayawani
Hayayayayayayaya haya nao si watu hawa
Hayayayayayayaya Binadamu kageuka mnyama
Hayawani hayawani hayawani Hayawani
Hayayayayayayaya
hayawani hayawani hayawani Hayawani
Hayayayayayayaya


Tunaongezea nini bidii, Na roho ya mwanadamu haitosheki aki,
Sorry if I never made you happy, I can’t be there for everybody
Its easy to see, wengi huishi tu kutafuta kasoro kwako
Why man so money minded, you wanna take from everyone
Man eat man society, huoni haya kuivunja familia
Hamna utu ni kujifikiria wooii Binadamu wote mmekua

HAYAWANI
Hayayayayayayaya haya nao si watu hawa
Hayayayayayayaya Binadamu kageuka mnyama
Hayawani hayawani hayawani Hayawani
Hayayayayayayaya
hayawani hayawani hayawani Hayawani
Hayayayayayayaya


Kabla suala ukamilishe mama, Tafadhali Mola mwambie
Milele anichunge me nisije zama, Mashetani yasinivamie
Chuki wivu tunakutesa, Linda kwako usiwaskie
Kwanini hatuwezi sote kupendana,Binadamu acha niwaambie
Labda si sote wendawazimu, Kabla laana yetu pesa,
Kesho ukipoteza kila kitu Dunia nzima itakucheka,
Wanaomba nitiliwe chai yangu sumu, Wabaki hao ndio kusema
Kesho wampigie demu wangu simu, Asahau alivyonipenda,

Hayawani eeh hayawaaa
Hayawani eeh Hayawaaa
hayawani eeh Hayawaaa

hayawani eeh Hayawaa


a

Tuesday 28 November 2017

NIACHE LYRICS BY DIAMOND PLATNUMZ




SONG: NIACHE

ARTIST: DIAMOND PLATNUMZ

MMh eti nikuombee mema na baraka uzidi fanikiwa
siwezi kamwe waah
mmmh ni sawa na kuifosi sinema kuitazama
na haijanivutia  lazima tu ntalala

ooh na kwa barabara ukipita
nenda kulia ukiniona kushoto
sitaki ata tuonane
mmh usije wala ukanita donda vilia
utanchochea tu moto nisije nkutukane


mmh kinacho niumiza nafsi,
kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
kumbe mapenzi sabato
akati nayazidisha mwenzangu nje unayatoa

we cementi me mchanga,
nkasema mapenzi tujenge lisije loa
najitiya mkadalasi naezeka mabati
wachini kenchi unabomoa niache

niache niache
ooh niache,
niache nipambane na moyo wangu (niache)
niaaaa niache me
moyo wangu unahasira
niache oooh niache ooooh

mmh najitahidi silali kwenye kitaanda
huenda nkapunguza ndoto zako
mmh mwilini nina machale utazani mwanga
yote kusahau uwepo wako

mmh laitikama ungekua gari
ningekugonga barabarani
ama nyuki ntoe asali
nkung'ate sura wasitamani
hivi we ungo ulivuja mwali
ama ulivunja sahani
kuniundia matimu kwa mitandao
vijembe vya kazi gani


kinacho niumiza nafsi
kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
kumbe mapenzi sabato
akati nayazidisha mwenzangu nje unayatoa

we cementi me mchanga,
nkasema mapenzi tujenge lisije loa
najitiya mkadalasi naezeka mabati
wachini kenchi unabomoa niache

niache niache
ooh niache,
moyo wangu unahisi
niaaache eee
na ukae mbali
niache oooh niache ooooh
niache (niache)
usiwapigie rafiki zangu
niache usithibutu hata
simu yangu niache
ooh me tafadhali niache


mmh ntakudanganya kwa tabasamu
ntakudanganya kwa kucheka
ntakudanganya hata kwa salam
ila moyoni nakuchukia

ntakudanganya kukufollow
ntakudanganya kucomment
ntakudanganya kulike picha
ila siwezi kukuzimia a

SIKOMI LYRICS BY DIAMOND PLATNUMZ


Wanasemanga mapenzi safari,
Unavyopita ndo jinsi unajongea
Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika
Sababu natembea, niliposikia gabari

Yakisifika nikakesha nangojea ah
Akabariki Jalali na nikawika muziki



Nikauotea
Ile kumpaka maka
Nikajia ndio kwa gomo movi
Kumbe mapenzi hayataki haraka
Nikama Tango natia tu chumvi
Mwenzenu nikaoza haswa
Na kuitia kitandani mjuzi
Eti nataka fukuza paka
badala ya mbwa nikafuga mbuzi

mmh wivu ukanifanya nikagombana na marafiki
ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki
moyo ukanambia Naseeb sasa mapenzi Basi
ila nang’ang’ania najaribu kuipinga nafsi
Esma ananambia mdogo wangu mapenzi basi



Ila nang’ang’ania
nikiumizwa na huyu kesho na mwingine

Ooh mboni sikomi sikomi sikomi
licha ya mateso haya
Najiuliza oh sikomi
Oh sikomi mbona (sikomi)
Mbona jamani sikomi
Licha ya mateso haya ah
Mmmmh

Aliyonifanyia wa central,
akia-mungu siyawezi sema
Ila nimejifunza kesho siwaamini wacheza sinema
Moyo walinipatia mateso
siwezi kumeza siwezi tema
mana sikushanga ile ghafla
toka CCM kwenda CHADEMA


wanasema kitanda ukitandika sharti ukikalie
nikajitia ukamanda yatakwisha
wacha nivumilie kila kiza kikitanda
ndo visa machozi mi nilie
penzi yakatia parapanda
kuwaita waje washambulie

aah acha na PENNY we darling
nilomuhongaga gari aliponambia ana mimba
mwisho wa siku akaichomoa chali
Molah akanitunuku ZARI
Akanizalia dume na mwali
Nilivomjinga nika-cheat aibu mpaka
Kwa vyombo vya habari

Moyo unanambia NASEEB sasa mapenzi basi
Ila nang’ang’ania najaribu kuipinga nafsi
LAIZER ananambia simba mapenzi basi
Ila nang’ang’ania nikiumizwa na huyu
Kesho na mwingine


Ooh mboni sikomi
Mboona sikomi
Mboona jamani sikomi
Licha ya mateso haya
Nishafumaniwa oh sikomi
Nikafumaniwa mimi sikomi
Nishapambana na watu (sikomi)
Licha ya mateso haya ah
Mateso mama


Ayo LAIZER
a

Monday 27 November 2017

ODI DANCE LYRICS BY TIMELESS NOEL FT HYPE OCHI, JABIDII



Odi

Dance imeshika mashinani odi

Kilachote kila mtaani odi

Dance inaleta burudani odi
Odi, Odi, Odi
Odi dance odi

Dance imeshika mashinani odi
Kilachote kila mtaani odi
Dance inaleta burudani odi
Odi, Odi, Odi
Odi dance odi



Odi in the street odi in the church

Come slow take your time you don’t ‘ve fi rush

Hell kunaburn heaven kunabash
Checki vile wanadance odi dance
Power simple dance you can manage
Uitaji any dance college
Get in step with courage
Na uchangamke like you take a hot porridge
Energy that taught you this is big n u you know
Dj play gospel music more and more
Nimeokoka kwa devil me say no and no
No no and no odi 

Odi



Dance imeshika mashinani odi

Kilachote kila mtaani odi

Dance inaleta burudani odi

Odi, Odi, Odi
Odi dance odi
Dance imeshika mashinani odi
Kilachote kila mtaani odi
Dance inaleta burudani odi
Odi, Odi, Odi
Odi dance odi



Yaani ordinary

Ule boy wakawaida mtaani

Analeta dance inashika hadi mashinani
God anamuse bila kujua yeye ni nani ama nini
Ee, daudi alikuwa odi 
I guess that’s why jina ni daudi
He was an ordinary shepherd 
Odi me nakam kama ordinary dancer
From nai ju mmenifanya dance ambassador
Itakuwa favor odi ikishika Jamaica
Dance ambassador
Itakuwa favor odi ikishika Jamaica


Odi

Dance imeshika mashinani odi

Kilachote kila mtaani odi

Dance inaleta burudani odi

Odi, Odi, Odi
Odi dance odi
Dance imeshika mashinani odi
Kilachote kila mtaani odi
Dance inaleta burudani odi
Odi, Odi, Odi
Odi dance odi




Don’t scratch wasee cheki chini nimedunga don’t touch

Ati don’t touch? Nakofia imekata upepo

Aiwezi dunda ju inamaintain hiyo temple
Checki juu nimedunga bomba hile safi nilipurchase gikomba
Nilook fiti yakuenda kesha kuomba
Niko in Christ nilishachorea gomba
Itabidi ume omba ombaa utafute uso wa bwana
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi
Kila mtu… omba omba utafute uso wa bwana
Aonaye kwa siri atakujibu kwa wazi

Odi
Dance imeshika mashinani odi
Kilachote kila mtaani odi
Dance inaleta burudani odi
Odi, Odi, Odi
Odi dance odi
Dance imeshika mashinani odi
Kilachote kila mtaani odi
Dance inaleta burudani odi
Odi, Odi, Odi
Odi dance odi
[INSTRUMENTS]
a

Mbeleko lyrics by Rayvanny




[Verse 1]

Alisemanga dunia ina mapambo yake eeh
Ukiacha majumba pesa magari ni wanawake eeh
Nimezunguka aah, nimefika kwake eeh
Siwezificha nimeshanasa
Kwa pendo lake eeh
Halabaani
Kukuumba kimwana, mwenye sifa ya upoleupole
Ata mama kakusifu sana, kitofauti na wale (wajana)
Kule nilizama tafadhali niokoe mamamaa, unipulze nipoe


[Pre-Chorus]
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day

[Chorus]
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
We kama mtoto mii nakubembeleza (jiachie tu nikubebe)
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza (jiachie tu nikubebe)
Eeeh ummmmh umh

[Verse 2]

Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata.
Kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata
Umenivuta kwa urembo mpaka matendo umenikamata
Kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata
Koleza motoo tupike temble
Kisamvu cha nazi njegele
Sisi tukishe kelele sikwachi iih
Linda na shamba wasije ngedele,
Kuku niitee kwa muchelee,
Mii sipigani na wewe manatii iih
Ndio manaa kwako nimezamaa sitaki mii
Wanitowee mama maaa
Unipulize npoee


[Pre-Chorus]
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only
Sitopenda uende mbali one day

[Chorus]

Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
We kama mtoto mii nakubembeleza (jiachie tu nikubebe)
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza (jiachie tu nikubebe)
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
Naficha mbeleko kwa ajili yako (jiachie tu nikubebebe)
We kama mtoto mii nakubembeleza (jiachie tu nikubebe)
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza (jiachie tu nikubebe)



[Outro]
Eeeh ummmh umh
Jiachie tu nikubebe
Jiachie tu nikubebe
We kama mtoto mii nakubembeleza
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza

a

Thursday 23 November 2017

HAUNA LYRICS BY ASLAY


Ilikuwa inakuumanga ukiniona naye
Ilikuwa inakuchomanga mwanaume wewe
Ulitamani wewe ndo uwange mie
Ndo maana nilivyomuacha ukaaamua umuoe


We hauna, we hauna, hauna moyo kabisa
Hauna, we hauna, we hauna ulomagiki hata
kulika hauna wewe

Alivyopika chakula ulikuwa wakaa jikoni
sikujua ni kwanini nilijui ushemeji tu
Kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu ninyi
mpaka umemteka umekuwa gaidi juu

Nimekubali nimekubali nimekubali
nitamwita shemeji ooh
Nimekubali nimekubali nimekubali
nitamwita shemeji


Aah shemeji eeh shemeji shemeji eeh
Kiroho upande shemeji, eeh shemeji shemeji eeh
Kishingo upande

mara ooh tunaendana unaomba tusije kuachana
Eti unatupendanga sana kumbe ulinichora
kumbe nyuki mwenye laana
Kuniacha manundu ya mchana
Nilivyo beep ukupiga tu mapema
Ukasema na sinyora

Ooh mama sihara umemvisha na shera
Wee mwana no mbaya, oh nimbaya
Sijui ulimpa dawa au ndio hela
Ila yote sawa, me nasema inshala Mungu atalipa


Alivyopika chakula ulikuwa wakaa jikoni
sikujua ni kwanini nilijui ushemeji tu
Kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu ninyi
mpaka ukamteka umekuwa gaidi juu

Nimekubali nimekubali nimekubali
nitamwita shemeji
Nimekubali nimekubali nimekubali
nitamwita shemeji

Aah shemeji eeh shemeji shemeji eeh
Kiroo upande shemeji, eeh shemeji shemeji eeh
Kishingo upande

Nimekubali nimekubali nimekubali yeyeyeee
Nimekubali nimekubali aaoah a

Tuesday 21 November 2017

MELANIN LYRICS BY SAUTI SOL FT PATORANKING

Intro:
When a good girl gone bad
What you gonna do?
Run go meet her dad?
You don wanna do
Well this is Sauti Sol, Patoranking, world best. Watch this

Chorus:
She's a hot breaker
She bend over her back breaker
Steaming hot what a vapor
I wanna date her
She's a heart breaker
She bend over her back breaker
Steaming hot what a vapor
I wanna date her


Hook:
So tell me why you do me so?
So tell me why you do me so
Baby me will never let you go oh
Girl me no go let you go
So tell me why you do me so?
Tell me why you do me so
Girl me no go let you go
Swear me no go let you go

Verse 1:
Me spend all me money
Spend all me cash
Call you me honey but you threw me pon trash
Or you think say me go leave you like that
(No way)
Why you do me like that yeah
Girl I'm waiting on you
Even if them hating on you
But me never send them oh oh


Bridge:
In My life
I never seen
Melanin so dark
You're the queen of the dance floor
Na your social life they are rubbishing baby
Would you put me in your diary
In My life
I never seen
Melanin so dark
You're the queen of the dance floor
Na your social life they are rubbishing baby
Would you put me in your diary

Chorus:
She's a heart breaker
She bend over her back breaker
Steaming hot what a vapor
I wanna date her
She's a heart breaker
She bend over her back breaker
Steaming hot what a vapor
I wanna date her


Hook:
So tell me why you do me so?
So tell me why you do me so
Baby me will never let you go oh
Girl me no go let you go
So tell me why you do me so?
Tell me why you do me so
Girl me no go let you go
Swear me no go let you go

Verse 2:
I think I saw you in a magazine
Or maybe on TV
You're a queen
And if you know me well
You'll know I don't kiss and tell
But I want you to myself
Baby eeee

Bridge:
In My life
I never seen
Melanin so dark
You're the queen of the dance floor
Na your social life that they've never seen Babee
Would you put me in your diary
In My life (Yeah)
I never seen
Melanin so dark
You're the queen of the dance floor
Na your social life that they've never seen Babee
Would you put me in your diary

Chorus:
She's a heart breaker
She bend over her back breaker
Steaming hot what a vapor
I wanna date her
She's a heart breaker
She bend over her back breaker
Steaming hot what a vapor
I wanna date her


Hook:
So tell me why you do me so
So tell me why you do me so
Baby me will never let you go oh
Girl me no go let you go
So tell me why you do me so
Tell me why you do me some
Girl me no go let you go
Swear me no go let you go


Outro:
In My life
I never seen
Melanin
Body shaking like a tambourine
And in mi head youre di melody babe
And in mi head youre di melody
In My life
I never seen
Melanin so dark
You're the queen of the dance floor
Na your social life qwon ah rubbishing baby
Would you put me in your diary
A heart breaker
She bend over her back breaker
Steaming hot what a vapor
I wanna date her
She's a heart breaker
She bend over her back breaker
Steaming hot what a vapor
I wanna date her
Yeah iye yeah iyeah a

Monday 20 November 2017

NISHACHOKA LYRICS BY HARMONIZE

NISHACHOKA LYRICS BY HARMONIZE

yeeeaahhh
mmhhh mmhm eeeaa

kila chenye maremu na mpama hua hakikosi mwisho
(oohhoo mwisho)
ya nini kurumbana kukicha bila suluhisho
(ooohhh ouuuuu)


huenda kisicho ridhiki hakiliki sa yanini tutoane roho
nimepungukiwa kipi mbona naishi
sina hata jibalaa ohhhh

na ule utwana wa mapenzi kushindana mi na wewe
nliuvumilia nasijaona tamaa ooohhh

sio kama siwezi kupata aliye zaidi ya wewe
ila hai dunia najichunga sana

tena naandika huu wimbo usijipe moyo labda nakufikiria
nataka iwe fimbo  mwenye sura ya choyo ukome kunifatilia
nataka iwe fimbo   mwenye sura ya choyo

nishachoka
nishachoka
nishachoka
wacha ukweli nkwambie


kukicha vijembe nishachoka
dharau maneno nishachoka
uuu masimango   nimechoka ohhhhh

Saturday 4 November 2017

RUDI LYRICS BY RICH MAVOKO FT PATORANKING

RUDI LYRICS BY RICH MAVOKO FT PATORANKING




[Verse 1 - Rich Mavoko]

Sauti na tabasamu 

Ndio linafanya nikukumbuke
Kinachoniumiza mwenzagu
Unapolia chozi nsifute
Mapenzi sidhani mimi
Kilichobaki ni uadui
Kuniona hautamani kwanini?
Kweli maziwa nimegeuka tui
Nami nina moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina moyo mama
Upate siku moja uje niona
Nami nina moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina moyo mama
Ungalisema neno moja ningepona


[Chorus - Rich Mavoko]
Mwenzako sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ooh sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ama Moyo wangu me


(Nitauweka wapi?)

Ooh Moyo wangu

(Nitauweka wapi?)

Mwenzagu sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ooh sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ama Moyo wangu me

(Nitauweka wapi?)

Ooh Moyo wangu

(Nitauweka wapi?)




[Verse 2 - Patoranking]

Sickness Sickness Sickness small me
Well me yes, you are dumping me
In this wicked World
Baby every one needs a company
My heart bleeds
For your Love
Girl i bleed for your love
Me, Me can imagine
If u know dey me,

what a sad ting (aaaaaeeeeeh)

I cant imagine

You inna me life girl what a sad ting

Nikiwa nawe mwenzako ndo napona
Na nikilala usiku ndotoni nakuona
Ukipata mafua me napa ka homa
I wanna be your Lover,

your friend and your owner




[Verse 3 - Rich Mavoko]

Kwa mawazo silali mama yangu
Basi rudi ooh
Natamani ulitaje jina langu
Makusudi ooh
Nami nina Moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina Moyo mama
Upate siku moja uje niona
Nami nina Moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina Moyo mama
Ungalisema neno moja ningepona

[Chorus - Rich Mavoko]
Mwenzako sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ooh sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ama Moyo wangu me

(Nitauweka wapi?)

Ooh Moyo wangu

(Nitauweka wapi?)

Mwenzagu sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ooh sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ama Moyo wangu me

(Nitauweka wapi?)

Ooh Moyo wangu

(Nitauweka wapi?)



[Outro- Rich Mavoko & Patoranking]

Nimefuta na mabaya yako

(ayeeh)

Sikutishi me kinyago wako

(ayeeh)

Ninachotamani ni uwepo wako

(ayeeh)

Kwenye nafsi upo peke yako

(ayeeh)

Please don go

(ayaya)

Girl please don go

(ayaya)

Please don go


(ayaya)

World best n Mavoko


a