Showing posts with label E-SIR. Show all posts
Showing posts with label E-SIR. Show all posts

Wednesday, 6 July 2016

SAREE LYRICS BY E-SIR




Chorus
nina mabeshte ndani ya gari (si usaree)
manzi kitu lazima ahanywe (si usaree)
na gomba leo lazima kanase (si usaree)
kachongwe (si usaree)
kabambe (si usaree)
na ikishabamba lazima katemwe (si usaree)
kisha lale lazima apakatwe (si usaree)
kitandani nyumbani atambae (si usaree)
apandwe (si usaree)
ahanywe (si usaree)

Verse 1
mi na ndugu zang'
ndani ya gari yang'
mamanzi hamsini
tutafika lini
guaranteed leo tunawaingia kusini
chini kwa chini
juu kwa juu
side to side till I see what's inside
girl it's no lie
the way you shake your behind
I'm about to lose my mind
pick up the remote and rewind
to my car please jump inside
call my friends I'll show you where we can hide
in the midst of the Pirates
you can have anything you want (saree)
you got it from the back to the front (saree)

Chorus
nina mabeshte ndani ya gari (si usaree)
manzi kitu lazima ahanywe (si usaree)
na gomba leo lazima kanase (si usaree)
kachongwe (si usaree)
kabambe (si usaree)
na ikishabamba lazima katemwe (si usaree)
kisha lale lazima apakatwe (si usaree)
kitandani nyumbani atambae (si usaree)
apandwe (si usaree)
ahanywe (si usaree)

Verse 2
kijana ameangusha tracks kadhaa za kuwasaidia ku-party
ni nani
hajui rap bila E-Sir ni kama sigara bila nare basi
nifungulie njia nipate kutiririka kama beer ya Pilsner nipe futi sita nipate kuwaburudisha
hi ni ya
kila mdhii amekuwa akingojea flow ya Kiswahili kila mnati tayari kuamka na ku-bounce kidhati kuingia floor katikati kugonga wadhii bila kuwaambia samahani ala
waleta balaa
I thought you're my guy kumbe you're just another fala
vipi rafiki stahili lakini
beste ninaotembea nao wamechizi
wala samaki na ndizi baada ya tizi
nipe wakati kidogo na utawaona kwa TV
internet sites all over the PC
wakiheng na mamanzi
ijapokuwa wanati wame-dress ka mabarbie
vinywaji ni barley
si usaree

Chorus
nina mabeshte ndani ya gari (si usaree)
manzi kitu lazima ahanywe (si usaree)
na gomba leo lazima kanase (si usaree)
kachongwe (si usaree)
kabambe (si usaree)
na ikishabamba lazima katemwe (si usaree)
kisha lale lazima apakatwe (si usaree)
kitandani nyumbani atambae (si usaree)
apandwe (si usaree)
ahanywe (si usaree)


Verse 3
ili ngoma yangu isibambe
nakuomba lyrics zangu usichanganye
na kuomba ile mic usinipe
unless unataka crowd iwike (si usaree)
shika dada karibu na wewe
chini kwa chini bila wasiwasi
usimwachilie mpaka ikate
nitahakikisha anawika

ili ngoma yangu isibambe
nakuomba lyrics zangu usichanganye
na kuomba ile mic usinipe
unless unataka crowd iwike (si usaree)
shika dada karibu na wewe
chini kwa chini bila wasiwasi
usimwachilie mpaka ikate
nitahakikisha anawika

Chorus
nina mabeshte ndani ya gari (si usaree)
manzi kitu lazima ahanywe (si usaree)
na gomba leo lazima kanase (si usaree)
kachongwe (si usaree)
kabambe (si usaree)
na ikishabamba lazima katemwe (si usaree)
kisha lale lazima apakatwe (si usaree)
kitandani nyumbani atambae (si usaree)
apandwe (si usaree)
ahanywe (si usaree)

NIMEFIKA JO LYRICS BY E-SIR & BIG-PIN




(E-Sir)

Jo nimefika fika wapi ? pirate na mambo bado
Kuna kuna kuna kuna kuna kijana mmoja kutoka south c …..Jo!
Kijana mwenye lebo kama naiki ….jo!
Unafaa ukimuona akishika maiki….Jo!
Mikono juu ya hewa kama kaiti…..jo!
Kama safari hatari na gari…..jo!
Kama tama hatari with the honnies …..jo!
Kama we si asis sitaki utani ….jo!
Kama sijakutaja samahani…..jo!
Wimbo hujaisha bado kuna wakati….jo!
Kama bado hujajua jina…..jo!
Nani mwenye rymes tamu kukamatika ….jo!
Nani mwenye kupiga maiki tisa….jo!
Nani mwengine isipokuwa E-sir…jo!
Jesus zikishika…jo!
Ma manzi wanawika ….jo!
Kwa maiki hatutasita…jo!
Oh yah oh yah ….jo!
Kisha niangushe rymes kidirty maMCs hamna bahati…jo!
E-sir yu hatari rymes kali juu ya mali halali haifai ….jo!
Nime shika sita wachilia….jo!
Mpaki wakati zenu zitafifia….jo
Nipeni mangiri sitaki mamia….jo!
Sitaki shetani nipeni malkia….jo!
Ni mwanamke kama wewe mbona waringa…jo!
Ni mwanaume kama mimi mbona wamnyima…jo!
Ama ni sababu rap bila E-sir…jo!
Ni kama kiss bila muthoni Bwika …jo!
Weka sahani juu ya meza ogopa DJs cheki vile
Ma MCs wanatoroka…jo!
Mimi niweke maiki chini watangoja
Kama nikuroga R-sir mchawi numba mmoja
Lakini ng’oja
Why do you really wanna punch E-sir in a
I wanna know I really wanna know like…jo!
And then I wanna flow like jo!
Give my doh I really want doh like jo!
Ni odes, ni aje, sasa mambo
Cheza na E-sir mchezo kando jo!
Huo ndio mwanzo na mambo bado…jo!
Ahh ahh kisha niangushe ryme kidirty maMCs hamna bahati…jo!
E-sir yu hatari ryme zake kali hazifai…jo!
Mikepe milia Judy a roll south c…jo!
Belinda sara angerehi say mary..jo!
Malin mariam AKA …jo!
Ann eva judy in baddy rulu…jo!
Napia ni home boyz DJs in Nairobi…jo
Frere na Saudi DJs in Mombasa..jo!
Mike ,bob, george cris fill the five star…jo!
Na Antoni haina akiba..jo!
My dog thing grow form musinga..jo!
Uda thure hadjija from the villas.jo!
Mabeste wote ambao ragga wamenyita…jo!
Ni mwana kibibi popote watulia…jo!
Wacheni ijulikane pirates wamefika…jo!
Nawambia pesa nimepata…jo
Bila shaka kesho kang,oma katanasa…jo!
Brayo, tono, tonny na saidi…jo!
Kenya nzima alafu nawa haidi…jo!
Kweli waweza kuamini..jo!
Decision kama hiyo nawaachia nyinyi..jo!
Capital,nation kiss kila station..jo!
Klub house to Js Ks every station
This one for you to happy coast station..jo!
Every state (aah) join every station
Kama ni pesa jaribu kupata..jo!
wale mamanzi nimewanasa
Town to town Nairobi tunamanga
Coast to coast, kisumu to mombasa

(Big Pin)
Yawa
To chrispin dozo dozo koro yawa
Otuondo go wer ni luongo ni yawa
Wer ma mit mit mit kabisa yawa!
You think am joking penjuris kata E-sir yawa!
E-sir osechopa cloud number tisa yawa!
Ku walk or travel nyaka to harisa
Eh yawa let me pumzika
Let me pumzika

MOSS MOSS LYRICS BY E-SIR & BRENDAH


Bridge
jasho yatiririka
moyo wapiga
kila mtu
anawika
hajui vile ya kusema
mahewa tunapewa

yatiririka
moyo wapiga
kila mtu
anawika
hajui vile ya kusema
mahewa tunapewa

Chorus
Moss moss
moss moss
(pole pole) moss moss
(twazienda) moss moss
haraka haraka haina baraka

Moss moss
moss moss
(pole pole) moss moss
(twazienda) moss moss
haraka haraka haina baraka

Verse 1


nani mwengine mwaambiwa Kenya nzima kama mimi
mwenye kushika mic na kuwapa Kiswahili
sure
rhymes zikitua
rhymes zapasua vifua (fafanua)
na safari hii ma MC nawaombea
jua nikiwa-hit kwa industry niki-maneouver
kama mvua nanyesha mahewa nikileta wako wengi lakini it's obvious I'm better
It's hot in here, hot in here
tumeshika mic, karibia
brother kamata
sister kata
kiuno kwa mdundo na huu ndio mtindo

Chorus
Moss moss
moss moss
(pole pole) moss moss
(twazienda) moss moss
haraka haraka haina baraka

Moss moss
moss moss
(pole pole) moss moss
(twazienda) moss moss
haraka haraka haina baraka

Verse 2
and thanks to Ogopa's guidance
there's no defiance
navuta more crowds than Rainbow Alliance
wakiuliza, sema ni E-Sir
ameshika na kuturoga kabisa
ni mahewa
mahewa tunapewa
na kukatika na hizi ngoma
basi
twazicheza na mpango
twazicheza mpaka jasho

Bridge
jasho yatiririka
moyo wapiga
kila mtu
anawika
hajui vile ya kusema
mahewa tunapewa

yatiririka
moyo wapiga
kila mtu
anawika
hajui vile ya kusema
mahewa tunapewa

Chorus
Moss moss
moss moss
(pole pole) moss moss
(twazienda) moss moss
haraka haraka haina baraka

Moss moss
moss moss
(pole pole) moss moss
(twazienda) moss moss
haraka haraka haina baraka

MAISHA LYRICS BY NAMELESS & E-SIR


Intro

Are you ready for this
this goes out to all the playa haters
E-Sir speaking

Verse 1 (Nameless)
Some people will love you, hate you
Some people will always irritate you
Some people will try to playa hater you
Some people will even sabotage you

Chorus (Nameless)
Coz this is my maisha, maisha
Don’t you mess with my maisha, maisha
Coz if you mess with my maisha, maisha
I will mess with your maisha, maisha

Verse 2 (Nameless)
Mister, mister. trying to pester me
Don’t you see you are just a wannabe
Shake your mata eh
Now you wanna wanna playa hater me
Now you wanna wanna irritater me
Now you wanna wanna be my enemy
Ah

Chorus (Nameless)
Coz this is my maisha, maisha
Don’t you mess with my maisha, maisha
Coz if you mess with my maisha, maisha
I will mess with your maisha, maisha

Verse 3
Peep, peep, songa kando
It looks like you cannot handle
It takes two to tango
Me and you baby, on the dancefloor
Sister, sister, what’s the matter ei
Don’t you want got ta gata ei
Sister, sister, what’s the matter ei
Eyo, E-Sir, pass the courvoiseir

(E-Sir)
Ati nini, ati nini
I said, pass the courvoiseir
Alo, Nameless uko fresh lakini
I said, pass the courvoiseir
Pass the safari ei, pass the safari
I said, pass the courvoiseir
Ah, naku hizi sasa lo
Are you ready for this
una ni chukia, naku chukia pia,
mara mbili zaidi,
hunilishi, hunibishi,
hunipati mimi chakula vioni,
huni pati mimi chakula subuhi,

nina wapa wapa musiki lakini vile nawapa hamuni hisi
basi ina ni bidi nikiwapa musiki niwape musiki hivi 

nina wapa wapa musiki lakini vile nawapa hamuni hisi
basi ina ni bidi nikiwapa musiki niwape musiki hivi

Chorus (Nameless)
Coz this is my maisha, maisha
Don’t you mess with my maisha, maisha
Coz if you mess with my maisha, maisha
I will mess with your maisha, maisha

Bridge 
Mabeste
Vipi beshte twende
My sister
Vipi sister kati
Mabeste
Vipi beshte twende
My sister
Vipi sister kati

Chorus (Nameless)
Coz this is my maisha, maisha
Don’t you mess with my maisha, maisha
Coz if you mess with my maisha, maisha
I will mess with your maisha, maisha...

MABESHTE LYRICS BY E-SIR & K-RAZ


Chorus (E-Sir)

nina mabeste wanati
mabeste mababi
mabeste kila mahali
mko tayari, aay!...
wikeni aay!...
nina madada wenye ndanda
madada wenye figure
madada kama tumewashika
hebu wika aah!...
wikeni aah!...

Verse 1 (K-Raz)
niite
K.Y.R.A.Z ama Tata
nipe konyagi na kuroga sitawacha
ka wanishuku nauliza una swala
nipe kalamu mi nakupa ufasao
rhymes zangu mi nakamilisha
kwenye mic
mi nawakilisha
nanywa safari kama taji nimevishwa
kwa club hao madame nawashika
mpaka wanawika
skia nimefika
dance floor
tunakatika
tunacheza, tuna...
sambaratika
C H A julika ni Ogopa ishafika
sasa kila mtu na aweze kukatika
ah, ah, kukatika

Chorus (E-Sir)
nina mabeste wanati
mabeste mababi
mabeste kila mahali
mko tayari, aay!...
wikeni aay!...
nina madada wenye ndanda
madada wenye figure
madada kama tumewashika
hebu wika aah!...
wikeni aah!...

Verse 2 (E-Sir)
nachemsha bongo
mi ni hatari kama ile ugonjwa kutoka Congo
Ebola, tangu ni-hook up na Ogopa
bado maMC wanasorora
vile na-stop na ku-drop hizi ngoma
usishike mic kama hujiwezi
imenichukua mimi miaka na miezi
kwa mtaa nikipiga matembezi
nikijiimbia watu wanafikiri nimekreki
nikaangusha kitu ambacho si feki
kitu ajab, kila mtu yuapenda
kitu ajab, kila speaker yacheza
kitu ajab ya wanaonihisi
mimi, Mr. K.I-swahili
the E dash S.I.R
The Mr. L.Y.R.I.C.A double L twista
sina mengi ya kusema game yanipa

Chorus (E-Sir)
nina mabeste wanati
mabeste mababi
mabeste kila mahali
mko tayari, aay!...
wikeni aay!...
nina madada wenye ndanda
madada wenye figure
madada kama tumewashika
hebu wika aah!...
wikeni aah!...

Verse 3 
oho oho ohoho aah hee
nimeshikisha crowd jinare
K.Y.R.A.Z niko pale
nisawazishie nitumie barley

oho oho ohoho aah hee
nimeshikisha crowd jinare
K.Y.R.A.Z niko pale
nisawazishie nitumie barley

siko kwenye stage kuwa-make m-cry 
juu rhymes zitakatika na rhymes zitakuwa dry
mi na-represent kwa gig cause of a true love
sababu sooner or later tuta-fly kama dove
mi nataka tu ku-feel
sky f___ high
moja mbili tatu tuna-kiss the sky
kila time mood ni sawa
mi naigiza 
niki-hope ati
wasikiza
mbona wazubaa na ku-breeze kama jiza
K-Raz is in the house with a temp shinda freezer
...shinda freezer
...shinda freezer

Chorus (E-Sir)
nina mabeste wanati
mabeste mababi
mabeste kila mahali
mko tayari, aay!...
wikeni aay!...
nina madada wenye ndanda
madada wenye figure
madada kama tumewashika
hebu wika aah!...
wikeni aah!...

nina mabeste wanati
mabeste mababi
mabeste kila mahali
mko tayari, aay!...
wikeni aay!...
nina madada wenye ndanda
madada wenye figure
madada kama tumewashika
hebu wika aah!...
wikeni aah!...

LYRICAL TONGUE TWISTER LYRICS BY E-SIR




Intro

Baba, mama
kaka, dada
auntie, uncle
mamanzi, mabeshte wanati
ma-producer

Verse 1
kila mtu anashuku vile mtiririko huu wa huyu ndugu umeingia Nairobi na kusambaa kwa miji kama Nakuru napodhuru ubongo si uwongo kupendwa na kila mtu kama lebo ya FUBU nafikiri
labda ni vile nabwaga zawafanya mnataka kunihanda kuniweka nyuma ya Canter kunivukisha mpaka Tanzania na isipowezekana Somalia ama Uganda
lakini hai-tawezekana vile nabamba ni kama stima na maji ikishikana danger
kila wakati natema wanapenda
wanasema tuangushie tena
it's the number one rap contender
niliona mahali pa kupita nikapenya
sasa December to December
nitaendelea kuwaletea chapter
baada ya chapter ya huyu kijana anayepepea
E-sizzle...

Chorus
ni E-Sir
pewa mbili kwenye kichwa
lyrical tongue twista
the Mister K-I-swahili nani yuko na shida na mimi
E-Sizzle
matatizo

ni E-Sir
pewa mbili kwenye kichwa
lyrical tongue twista
the Mister K-I-swahili nani yuko na shida na mimi
E-Sizzle

Verse 2
kwa hivyo flow ukiitaka
pole pole ukifuatiwa na haraka
au vice versa
kaka au dada
uliza na sitasita
kukuangushia
flow inayofanya kichwa
kwenda mbele na nyuma ikionyesha mishipa
the Mister
E dash, pewa cash
mnati pewa mbili kwa kitambi
nachukia wanaonichukia vile nachukia kufanya dhambi
basi
nawa-ignore na kufanya vile nafanya kwa amani
better yet kama wimbo wa Shaggy
nice and lovely
ukijia pesa zangu naleta ukali
zamani
nilikuwa si-mix business na pleasure
well guess what
bado sizichanganyi
samahani
nimesahau kukuambia hisia kukusaidia ku-party
E-Sir
ya-rock flows utafikiri Nazatizi wamekuja Kenya
ama Tupac na Biggie wame-ressurect tena
E-sizzle...

Chorus
ni E-Sir
pewa mbili kwenye kichwa
lyrical tongue twista
the Mister K-I-swahili nani yuko na shida na mimi
E-Sizzle
matatizo

ni E-Sir
pewa mbili kwenye kichwa
lyrical tongue twista
the Mister K-I-swahili nani yuko na shida na mimi
E-Sizzle

LEO NI LEO LYRICS BY E-SIR




Chorus 

Leo leo
Leo ni leo
Msemaye kesho ni muongo
Manzi nipe nipe mkono
Tembea nani cheza mani
Leo warudi nyumbani bali kiuno
Wacha nikupe mfano

Leo ni leo
Msemaye kesho ni muongo
Manzi nipe nipe mkono
Tembea nani cheza mani
Leo warudi nyumbani bali kiuno
Wacha nikupe mfano

Verse 1
Ni ijumaa saa mbili imefika
Weekendi imeingia lazima nitashangilia
Tomo ukifika nyumbani pigia simu Rodha na Rukia
Tapigia Monalisa usisahau tena pia
Kuja na pesa za kutosha kabla hauja nipitia
Jua pirate wapenda mangiri si mamia
Kiswahili na wakilisha
Mamanzi not forgetting karioke club atoti from the front to the rear
Bringing down the house no matter how strong the pillar
Kwa sababu

Chorus 
Leo ni leo
Msemaye kesho ni muongo
Manzi nipe nipe mkono
Tembea nani cheza mani
Leo warudi nyumbani bali kiuno
Wacha nikupe mfano

Leo ni leo
Msemaye kesho ni muongo
Manzi nipe nipe mkono
Tembea nani cheza mani
Leo warudi nyumbani bali kiuno
Wacha nikupe mfano

Verse 2
Natoka ndani ya nyumba nikimeremeta kama nyota
Unawezakuwa kipofu usiniangalie mbota
Kutoka juu mpaka chini nimevaa hil figure
Marashi ya polo
Kwa hivyo vizuri nanukia aaah!
Gari ni 504
Tom ana nitoto tofungua dirisha kuna joto to
Mpaka wapi bro
Baada ya kengeles tutamalizia canivore
Bouncer amekuja kuparty fungua mlango jo
Leo ni leo
Asemae kesho ni muongo
Acha kuongea mob
Nipe chupa mbili za tembo
Nionyeshe upendo oyah..aah!

Leo leo leo msemaye kesho ni muongo
Leo leo leo msemaye kesho ni muongo

Verse 3
Excuse me mbona wataka kutuua na mazishi plan
Kuja waiter twenty tatu sasa mbuka
Na kama kawaida mbili mbili sambuka
Dame mwenye kutembea utafikiri ana viuno viwili aah!
Jina langu ni E-sir
Mimi wananiita majina lako nimelisikia
Mahali wa sound very familiar
Ni lazima umenisikia kwa radio
Kiss capital nation na pia metro
Unaweza kwa mafuta ukishika kama petrol
Mzee wako akiuumiza E-sir ndoi dettol
Leo ni leo kwa hivyo ngoje kesho

Chorus 
Leo ni leo
Msemaye kesho ni muongo
Manzi nipe nipe mkono
Tembea nani cheza mani
Leo warudi nyumbani bali kiuno
Wacha nikupe mfano

Leo ni leo
Msemaye kesho ni muongo
Manzi nipe nipe mkono
Tembea nami cheza nami
Leo warudi nyumbani bali kiuno
Wacha nikupe mfano

Leo leo leo msemaye kesho ni muongo
Leo leo leo msemaye kesho ni muongo

Verse 4
Kama unaonatrack imekushika
Ningependa ukaribie spika
Ongeza volume
Kama uko ndani ya club
Uwe mamba carni........au club yoyote
Mwambie DJ akupe scarch mbili
Nakama yuwakuliza kwanini
Mwambie hivi

Chorus 
Leo ni leo
Msemaye kesho ni muongo
Manzi nipe nipe mkono
Tembea nani cheza mani
Leo warudi nyumbani bali kiuno
Wacha nikupe mfano

Leo ni leo
Msemaye kesho ni muongo
Manzi nipe nipe mkono
Tembea nani cheza mani
Leo warudi nyumbani bali kiuno
Wacha nikupe mfano

KAMATA LYRICS BY E-SIR & LENNY




Intro

Ogopa police station presents
inspector E-Sir and Lenny
tumekuja kuwashika
tumekuja kuwashika
hallo...
mko wapi wadada

Chorus
mamanzi
mko sexy
mko tayari
kuienda traki nasi

mabeste mko poa
mko freshi
mko tayari
kuienda traki nasi

ha, kamata
ha, kamata
ha, kamata
wako wako

ha, kamata
ha, kamata
ha, kamata
wako wako

Verse 1
nipe mic maji na mafuta
kibiriti nipate kuwachemsha
speaker mbili tupate kuwaamsha
ili na mic tupate kuwachoma
kisha wapate kucheza hizo ngoma
kwa sababu kila mtu najua kuna traki
ambayo inagonga kama ogopa(boom pa, boom pa)
basi weka mkono kwenye kiuno
na usawanishe sawa na mdundo
peleka nyuma, rudisha mbele
sote tupige makelele

Chorus
mamanzi
mko sexy
mko tayari
kuienda traki nasi

mabeste mko poa
mko freshi
mko tayari
kuienda traki nasi

ha, kamata
ha, kamata
ha, kamata
wako wako

ha, kamata
ha, kamata
ha, kamata
wako wako

Verse 2
tunaposhika mic twasema tena tuna flow
pamoja basi sasa tunacheza hizo songs
wajameni kujeni mskie hii flow
basi weka mkono kwenye kiuno
na usawanishe sawa na mdundo
peleka nyuma, rudisha mbele
sote tupige makelele

Chorus
mamanzi
mko sexy
mko tayari
kuienda traki nasi

mabeste mko poa
mko freshi
mko tayari
kuienda traki nasi

mamanzi
mko sexy
mko tayari
kuienda traki nasi

mabeste mko poa
mko freshi
mko tayari
kuienda traki nasi

Verse 3
tulienda mbali
tukarudi tena
na tuliporudi
wanawika (hakuna show ka Ogopa show)


tulienda mbali
tukarudi tena
na tuliporudi
wanawika (hakuna show ka Ogopa show)

huu mwaka
ka moto tutawaka
na wote waliongea taka taka
bila shaka
wata shh
huu mwaka

Chorus
mamanzi
mko sexy
mko tayari
kuienda traki nasi

mabeste mko poa
mko freshi
mko tayari
kuienda traki nasi

ha, kamata
ha, kamata
ha, kamata
wako wako

ha, kamata
ha, kamata
ha, kamata
wako wako

HAMUNITISHI LYRICS BY E-SIR FT TALIA


Intro
Vitisho vya peni mbili
Vitanifanya mimi nini

Chorus (Talia)
Hamunitishi tishi 
Hamunibabaishi
Maisha nayo ishi 
hayanikubalii

Verse 1 (E-sir)
Bila spare tyre
Nasafiri kwenye barabara ya maisha
Bila kutaka
Saa yoyote naweza kupata puncture
Kwa hivyo
Naendesha gari yangu polepole sana
Allahu Akbalu ni mkubwa
Asante baba kwa kunisaidia kujua
Ukiojesha mazuri mazuri utapona
Tangu siku yangu ya kuzaliwa
Mpaka siku hii tumefika
Hakuna mtu angewaifikiria
Sifa za E-sir yule kijana
Aliyekua akikaa njomes
Akisaga ngomba ijapokua amesoma
Angekuwa akisikizwa kwa redio
Matamushi kukubaliwa na kila masikio
Kucheza Kuku dance au chakacha
Ndio matokeo,leo ni leo
Nikilegea chapapu nitapepea
Ni maisha ninayoishi
Hamunitishi Hamunibabaishi

Chorus (Talia)
Hamunitishi tishi 
Hamunibabaishi
Maisha nayo ishi 
hayanikubalii

Verse 2 (E-sir)
Niliambiwa kidole kimoja
Hakiwezi ua chawa
Ndege hawezikupaa bila mabawa
Bila nyinyi singefika hapa
Bila mpira
Utacheza aje gemu yakangana
Asanteni kwa kunipa moto wa kuandika
Asanteni wakati wa vita kunisimamia
Aante kwa kuwika mtu akimshika
Ametushika na hiyo ni shida
Pirates mpaka kufa
Nasingependa kukufa bila nyinyi kujua
Mimi si mimi bila nyinyi
Na nyinyi ndio maisha Ninayoishi
Ndio sababu hawanitishi

Chorus (Talia)
Hamunitishi tishi 
Hamunibabaishi
Maisha nayo ishi 
hayanikubalii

Verse 3 (E-sir)
Nimefika ongeza volume na ukaribie
Yatatu ni ya kila mtu aliyenisaidia
Kutoka Ogopa djs mpaka
In the booth Djs Waliyokua wakiprezent
Na kumwambia reply hiyo ngoma imetumbaba asanta
Ndio maana Polisi maMC, maadui, hii industry
Hawanitishi hawanibabaishi
Maisha nayoishi hayanikubalii

COAST TO COAST LYRICS BY E-SIR, HABIB & MANGA

Chorus(E-Sir)
coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

Verse 1 (Manga)
Habib na Manga
hii ni stress ya shamba
wangapi wanataka
ukitaka utapata
za kwetu zinabamba
kama gomba na Tusker
chakula ni kitamu
Ogopa waliongeza ladha
lakini mbona wachukia ijapo haunijui
lakini mbona huniamini
beste amini amini
vile twabwaga Kiswahili wadhii wawili wawili
freshi kutoka Makini ka kawaida mbili mbili
vile yastahili
'taendelea kuroga yeye na mimi
hii ni ya wadhii waliochizi kama sisi
kutoka Kisumu to Nairobi Mombasa twamalizia Malindi

Chorus (E-Sir)
coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

Verse 2 (Manga)
nikute VM
eight pm
nikisikiza nimefika by E-Sir DJ play for them
kama hamtujui log on smoothbrothers.com
Manga waambie kuchizi sisi hatu-need ndom
tumefika
tuta-change game maMCs watachanganyikiwa
lugha tamu kama maswali mamanzi wanauliza
na sisi ni kama nani unati kuwanyima
kama pesa ama deni tunawalipa
kama chakula tunawalisha mpaka washiba
kisha wakishamaliza ni viuno twashika na kukatika kabisa
tunawafungua kama cans tatu za Pilsner
tunawapa lugha mpaka wanasinzia
na nyumbani ndio tunamalizia
fungeni milango tumeshaingia

Chorus (E-Sir)
coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

Verse 3 (E-Sir)
nawagonga asubuhi kisha nawagonga mchana
nawagonga jioni kwa mikrofoni ya millioni
ni E-Sir
kumamaye pewa mbili kwenye kichwa
nani yuasema kwangu shahizi ni shida
nipe kalamu na kitabu nizibwage bila tabu bila sababu kama mtoto mbaya nifundishe hii game wa adabu
twavuna twaacha wengine wametuna wafikiri ni utani
uliza Manga na Habibi Kiswa
Pili kwa wingi mamanzi hawashindi ndugu wenzangu
nawaambia hizi lyrics nilianza tangu
mikono juu ya hewa bariki karamu
wapende wasipende sisi sote damu
kwa sababu
kama ni pesa sote jaribu kupata
kama mamanzi, mamanzi tumewanasa
town to town, Nairobi to Namanga
coast to coast Kisumu to Mombasa
unaweza kuwauliza ka wafikiri twadanganya
hiyo mikono yetu ndio watangatanga
watakuambia Amina na Tanya
vile kakilo tatu za giza E-Sir yuabamba
twabamba vile kakilo tatu za gomba pirates wabamba

Chorus (E-Sir)
coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga

coast to coast Kisumu to Mombasa
kakilo tatu za gomba rhymes zanasa
town to town, Nairobi to Namanga
tosha shamba ka Habib na Manga