Showing posts with label Frasha. Show all posts
Showing posts with label Frasha. Show all posts

Thursday, 14 July 2016

KUWA MPOLE LYRICS COLLO FT FRASHA



Verse 1
Onyo kwa ma-rapper kutoka wizara ya rap
Toto, tuliza boli na uskize papa
Ni mbali nilipotoka itabidi ujue
Kanzu mpya sheikh ni ule ule
Starehe ya ndovu yaani ati boy ni mchini
Rap skill educated ka boys wa griffin
Chumvi nisharamba kwa game nisha-mature
Mzee nzima still fresh tulia skiza hotuba
Sanaa jahazi yangu ndio maana nairopoa
Na venye mnaona kinyozi ashajinyoa
Wengi bado wachanga wanangu wanuka poda
So utajiitaje star na bado hujavuka border
Special dedication kwa wote wanaojichocha
Rap inatakanga balls nyap haiwezi tosha
Hata foreplay bado, mbona wanadukuduku
Na jasho yao yote kwangu ni marupurupu
The truth hurts so mi naponya jeraha
Ndogo kumbuka pia unazo silaha
Sina point ya ku-prove histo ishaandikwa
Mi ni king isikupite, if so, ushaambiwa

CHORUS
Unabonga sana toto
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Unabonga sana toto
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Kuwa mpole,  kuwa mpole

Verse 2
Freedom of speech nawagonga ka Track It
Ma-rapper wengi Kenya ni wa-soft ka curly kit
Jacking my tactics
Going all public
Pubically speaking wako chini ka armpit

Matamshi yote ni lactic
Nikipewa beat consequences ni drastic
Swagger ni classic
Kutoka class six
Nikipiga smile jijazie ni plastic
Hii ni head on corrishon
Unaweza niita K.J
Nikiwachorea hii state of confusion


Ya industry ina ma-rapper waki-chase fake dreams
Fire drill ya orgasm, wet dreams

CHORUS
Unabonga sana toto
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Kuwa mpole,  kuwa mpole 
Unabonga sana toto
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Verse 3
Onyo kwa ma-rapper kutoka wizara ya rap
Toto, tuliza boli na uskize papa
Ni mbali nilipotoka itabidi ujue
Kanzu mpya sheikh ni ule ule
Niko campo nawasha colombo na ocampo na agwambo

Macho ka headband ya rambo
Red, funny kitu inanipa raha
Huwacha lips zinaparara
Kesho pia nawasha kiki na philip mwaniki
Kwa ofisi za nation, yeah
Nani ka mimi
Uta-swear niko on fire ka leo uki-get hii mziki
Macho fungua hakuna mtu anahitaji maongo
Kwani quality ya commercial ni poor
Mamc nawameza
Natoa ngoma niite gospel nione ka dj ataicheza
Funga midomo niko hali ya kukunja mikono
Niki-bully mikrofoni na vipuli maskioni
Pahali nyash yuko si anajua hii ni noma
Juu industry is shady y'all need to be taken over


CHORUS
Unabonga sana toto
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Kuwa mpole,  kuwa mpole 
Unabonga sana toto
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Kuwa mpole,  kuwa mpole

DANDIA LYRICS BY KRISTOFF FT FRASHA, RABBIT


Chorus [Frasha]

Leo mi na dandia tu kama mat

Leo mi na dandia tu kama mat

Leo mi na dandia tu kama mat

Leo mi na dan, mi na dan, mi na dan, mi na dan

 Mi na dandia tu kama mathree

Leo mi na dandia tu kama mathree

Leo mi na dandia tu kama mathree

Leo mi na dan, mi na dan, mi na dan, mi na dan, mi na




Verse 1 [Kristoff]

Leo mi na dandia kaa matatu

Hata wakuje kama watatu

Wanapenda hizi zangu tattoo

Hawa wasupa, wasiwe wote ni kiatu


[Frasha]

Hmmmmmmm, si kiatu

Kama H_art The Band, uliza kiatu

Chora seven, ki masaku

African Bantu, design ya Bamboo,

Siwezi isha, mi si bundles

Juu wakiniona wanamelt kama candles

Niko Coast nimepiga tu ma sandles

Baby niko Instagram check out my handle




Chorus [Kristoff]

Leo mi na dandia tu kama mat

Leo mi na dandia tu kama mat

Leo mi na dandia tu kama mat

Leo mi na dan, mi na dan, mi na dan, mi na dan

Mi na dandia tu kama mathree

Leo mi na dandia tu kama mathree

Leo mi na dandia tu kama mathree

Leo mi na dan, mi na dan, mi na dan, mi na dan, mi na




Verse 2 [Frasha]

Take a 10, take a bus, toka ndutheeee

Mi natetemesha men kama ridhee

Kudandiaga track iko ndethe

Msapere kwa kazi kaa Kangethe

Hii lazima waingize njeve

Nawatafuna man, tu kama ka veve

Leo tu mi na dandia

Sina kakitu so leo ni ku dandia

Dem yako akikaa mbaya mi na dandia

Wagenge wale wale wa kukuchapia

Naweka pale pale ya kawadia

Naweka bahali ake kawadia




Chorus [Kristoff]

Leo mi na dandia tu kama mat

Leo mi na dandia tu kama mat

Leo mi na dandia tu kama mat

Leo mi na dan, mi na dan, mi na dan, mi na dan

Mi na dandia tu kama mathree

Leo mi na dandia tu kama mathree

Leo mi na dandia tu kama mathree

Leo mi na dan, mi na dan, mi na dan, mi na dan, mi na




Verse 3 [Rabbit]

Oya beba beba, We ndio dere

Basi come uniletee kierere, Twendere, hadi Butere

Leo ntakudandia kaa mat, Baadaye, nakuchew kaa khat

Beat ina boom boom clap, We nime expe basi sete

Makali au gin, waiter letee, Umekua ukinihepa kaa Odede

Tuna misbehave kaa Masaku, My Dress my Choice imekukwachu

Aaai aaaai lemme touch you




Chorus [Kristoff]

Leo mi na dandia tu kama mat

Leo mi na dandia tu kama mat

Leo mi na dandia tu kama mat

Leo mi na dan, mi na dan, mi na dan, mi na dan

 Mi na dandia tu kama mathree

Leo mi na dandia tu kama mathree

Leo mi na dandia tu kama mathree

Leo mi na dan, mi na dan, mi na dan, mi na dan, mi na