Showing posts with label Hart the band. Show all posts
Showing posts with label Hart the band. Show all posts

Monday, 28 November 2016

MASHEESHA LYRICS BY H_ART THE BAND FT BENSOUL

. . . . . .
  We would like to thank everyone who made this a success from our Management team to, this vibrant young soul BENSOUL for coming through to, the audio producer to, the video production team to, each & every cast / crew present during the shoot Jah bless & broaden all your paths .

AUDIO PRODUCER - CEDO .
VIDEO DIECTOR - MUSHKING FX.
EXECUTIVE PRODUCER - H_ART THE BAND.
BEHIND THE SCENES - BRIKICHO & MWAS.

LOCATION - SIXTY FOUR LOUNGE, NAIROBI .

LYRICS

Msupa wangu anataka Masheesha, na kwa mfuko pesa zangu zimeisha
na yule waiter ananitisha ati  mabouncer  atawaita
na uyu dem bado ananitisha, nani nashindwa sasa vile nitazusha
tulipatana juzi instagram nami sitaki kuchoma picha

Chorus
itakua ngori skiza story wacha kucheka hii ni ngori
nilimuacha bila story na ukicheza utapatana naye
patana naye patana naye dem wa masheesha
patana naye patana naye dem wa masheesha

so far mimi ni lawyer kizungu tamu kama ile ya lumumba
lakini ukweli mimi ni pocker nina thao mbili lakini leo kulithuka
makanju walinishika ata mimi bahati stage sijafiki
na uyu dem bado zake hazijaisha mzinga tatu zimekatika

Chorus
itakua ngori skiza story wacha kucheka hii ni ngori
nilimuacha bila story na ukicheza utapatana naye
patana naye patana naye dem wa masheesha

patana naye patana naye dem wa masheesha

nawaza vile nitaenda choo nitoroke uko nyuma back door
akinisaka asinipate ngo, lakini vile mimi naenda kuchomoka
yule waiter akaniona hio bill akioana  na kwa mfuko sina ata bob

Chorus
itakua ngori skiza story wacha kucheka hii ni ngori
nilimuacha bila story na ukicheza utapatana naye
patana naye patana naye dem wa masheesha

patana naye patana naye dem wa masheesha


patana naye patana naye dem wa masheesha


patana naye patana naye dem wa masheesha

patana naye patana naye dem wa masheesha


patana naye patana naye dem wa masheesha

patana naye patana naye dem wa masheesha


patana naye patana naye dem wa masheesha



a

Tuesday, 6 September 2016

ADABU LYRICS BY DELA X H_ART THE BAND

SONG:ADABU
ARTIST: DELA X H_ART THE BAND
AUDIO PRODUCED BY CEDO, PACHO STUDIOS FOR TAURUS MUSIK
VIDEO SHORT AND DIRECTED BY STANZ VISUALS


LYRICS

Woman, you make me feel like a thousand shillings

Sio coins but noti 

Me you minus tai shati na koti.

Heaven floating, hoping, I may make you feel like a lady
oooh yeeeah



Nataka unifunze adabu, (penzi langu tamu kama madafu)

Nipe nipe hilo penzi la ajabu, (usikawie, usikawie)

Usikawie bila sababu, (songa karibu yangu mami)

Nataka unifunze adabu, (usinipimie, usinipimie).


Ua limechanua, ukikawia litanyauka

Jua kapisha mvua, nimegundua utaniua

Wanipagawisha, long time it's been kuna kiangazi 

Tukutane wapi, nikupate wapi
Hey hey heeeey hey hey



Wewe ni mubaya-baya,

Mafuta moto kwa karaya-raya ah

Nitaimba bila haya-haya

Wewe ni pastor mi ni kwaya-kwaya aah

Nataka unifunze adabu, (penzi langu tamu kama madafu)

Nipe nipe hilo penzi la ajabu, (usikawie, usikawie)

Usikawie bila sababu, (songa karibu yangu mami)

Nataka unifunze adabu, (usinipimie, usinipimie).




Mpenzi uka ngutavye , 

Lemme lemme talk to you for a minute, 

Coz lately, i seem not to be ok, 

Wanifanya nakuwaza kishenzi, 
Wanifanya nahisi ni kama naoga na maji vuguvugu, 
Yaani ngumissiete ngakwata ukuta
Kizunguzungu,
It's been a long long time, 
Since I felt this way, 
And I've been longing and waiting, 
To see your face, 
Songea karibu, 
Niruhusu nikubusu, 
Sauti yako mpenzi, 
Nataka kuisikia daily



Baby you light me fire, 

Nikiwa nawe mi sioni haya, 

Mambo yote sawa, 

Siwezi kuacha, 
Hata na dawa ya mganga



Nataka unifunze adabu, (penzi langu tamu kama madafu)

Nipe nipe hilo penzi la ajabu, (usikawie, usikawie)

Usikawie bila sababu, (songa karibu yangu mami)

Nataka unifunze adabu, (usinipimie, usinipimie).




The lyrics ADABU by Dela are property and copyright of the artist. provided here for music fun.

Tuesday, 12 July 2016

ULIZA KIATU LYRICS BY HART THE BAND



Verse 1

You see love, makes you do crazy things
Ask my shoes, uliza kiatu
And what I went through to buy you those rings

Ask my shoes, uliza kiatu
Masaibu ninayoyapitia, kukupeleka dinner
Uliza kiatu
Na gatheri ninavyokatafuna, eti ndo ukule burger, pizza
Uliza kiatu

Chorus

Ask my shoes, ask my shoes
Uliza kiatu, uliza kiatu
Ask my shoes, ask my shoes
Uliza kiatu, uliza kiatu

Verse 2
Nimekopa nikupe, kumbe wewe ndo kupe
Nang'ang'ana ndo tule, juhudi zangu bure
I heard that love should always make us strong
But how I feel like think that they were wrong
Ask me why

Bridge
Nasema taxi nilipe, rent mi nikupe
Nywele zisongwe Mombasa si twende
Mapenzi nikupe, mpaka we uridhike
Nasema taxi nilipe, rent mi nikupe
Nywele zisongwe Mombasa si twende
Mapenzi nikupe, mpaka we uridhike

Chorus

Ask my shoes, ask my shoes
Uliza kiatu, uliza kiatu
Ask my shoes, ask my shoes
Uliza kiatu, uliza kiatu

Spoken Word

Kitendawili, kitendawili [tega]
Nilimwonyesha mapenzi akanionyesha mfuko
Alisema doh ya salon ni thao tu
Na kwa mfuko nilikuwa na mbao juu
Alisema anaenda PE
Akirudi nilimpata akimeza P2
[alikutega]
So niko stuck katikati 
Kama stick ya mshikaki
Nampenda huyu mshikaji
But kiatu tu ndo inajua stori
Yaani vile, mi humchocha nimemflash bahati mbaya
Ju niko na deni ya bob, Collymore
Yaani vile mi hukanyanga matope kabla nifike kwa lami
Na ile stress mi hupitia kabla nimbongeshe kilami
Yaani vile, mi humpandisha taxi
Then naenda kudandia gari ya moshi
Yaani vile, mi humhustlia hadi kiatu yangu inaanza kutoa moshi
Yaani vile, mi humuita baby
Juu najua nikimuita Njeri 
Hiyo r inaeza geuka l
Na hiyo moment naeza kuwa nimeispoil
Yaani vile, nimetarmac hadi
Timber yangu inaeza geuka Sandak
Yaani vile, yaani ka ni kukokwa nimekopa
Yaani ka nikuokoka nimeokoka
Yaani ka ni tisa nimepigana tu
Ndo niivishe hiyo figure yake namba nane
Na hata usiku nipate umenichorea nane
Toa moja, saba
Vile nimesag mpaka toja
Nikamdanganya eti mi naishingi Umoja
Nikwamwonyesha mpaka mi si mwana vi-oja
Eti nawork mahakamani kusolve vitimbi za dunia
Bila shaka mashtaka
Yaani vile hata vile dunia ikasimama tutasimama pamoja
Yaani vile, ka mapenzi ni nywele basi we ulinisetia nati
Yaani vile ka mapenzi ni kikohozi 
Basi bila shaka niko na TB, niko na fever juu ananiumiza
Yaani vile, ka mapenzi ni mistari Basi namwandikia sentensi
Matenzi mpenzi nakuenzi vishenzi
Niko chizi, crazy Mwizi, wa mapenzi
Nifunge, am guilty Here to testify

Chorus

Ask my shoes, ask my shoes
Uliza kiatu, uliza kiatu
Ask my shoes, ask my shoes
Uliza kiatu, uliza kiatu

Friday, 4 December 2015

Nikikutazama lyrics by Hart the Band

Nikikutazama lyrics by Hart the Band
Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,
Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,



Verse 1:
Huenda Leo Tuko Chini,
Twatembea Matopeni,
Usiwaskize Matapeli,
Kesho Tuna Gari,
Mi Nasaka Mali,
Twende Kwenyu Mashambani,
Nikalipe Mahari,
Tuishi Kwa Amani,



Hook:
Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,
Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,



Verse 2:
Kweli Toto Si Toto,
Na Roho La Mtoto,
Nipe Busu Ma Sweety (Kwa Nini)
Nimeku Missi,
Twende Tumuone Kasisi,
Au D.C Kwa Ofisi,
Turingie Mafisi,
Ndakhuyanza,



Hook:
Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,
Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,



Verse 3:
Nameless My Dear,
We Mpenzi Sinzia,
Penzi Langu Sincere,
Ndakhuyanza,
E-Sir, Ni Mos Mos,
Baby When You're So Close,
Let Whipe Off Your Lip Gloss, Mwaaaah,
Ndakhuyanza,
Nikikutazama.....

Nikikutazama,
Moyo Wayoyoma,
Kipenzi Cha Ngoro,
Ndakhuyanza,