Friday 11 March 2016

Bado lyrics Harmonize ft Diamond platinumz


Kutwa kidomo wazi, nikifuta na machozi
Huku namwomba Mola unitoke moyoni
Ila ndo siwezi nakesha ka mlizi, maana ata nikilala unanijia ndotoni
Asante kwa kuniumiza, nimejifunza mengi
Mwanzo sikuyajua, naapa kutolipoza
Na umwambie mapenzi abaki kuyaskia eeeeh
Nakumbuka maneno yako, kutonikimbia utabaki nami eeeh 
Tena ukala na viapo taulati Bibilia
Leo sikuoni ila mwenzako bado


  (CHORUS)
Bado bado, bado bado
Mwambie bado
Bado bado 
Sijapona
Ila mwenzako 
Bado bado, bado bado 
Bado bado 
Sijapona (sijapona ooooh)

Mola nishike mkono baba muumba
Haya ninayo yaona simanzi eeeh
Yani bora jicho mchanga ningefumba
Wenda angeshapona maradhi eeeiiiii
Ooh maumivu yangu yaweze kupona kwa vidonge
Sababu panaponichoma kipasa sipaoni
Kweli pekee yangu umeniacha na unyonge
Kabisa wakanipokonya tonge langu mdomoni
Ona nakumbuka maneno yako hutanikimbia utabaki nami
Ooh ningemie roho yako yani umetimia
Mbona sikuoni ila mwenzako mimi.....


  (CHORUS)
Ahaha ile roho yangu bwana ibebe 
Inaniondoka ibebe
Njoo unishike mama Ibebe
Chaukucha...... ×2
Watanizika mama
Mwenzio utabaki ibebe
Chaukucha....... 
Maskini pendo langu.... 
Inanindondoka niokote mama ibebe 
Chaukucha.....