Song : HAYAWANI
Artist : NYASHINSKI
LYRICS.
Kabla suala
ukamilishe mama,Tafadhali mola mwambie
Milele Anichunge
nisije zama,Mashetani yasinivamie
Chuki wivu
tu nakutesa,Linda kwako usiwaskie
Kwa nini
hatuwezi sote kupenda, Oiih wenzangu wacha niwaambie,
Labda si sote
wendawazimu,Kabla laana yetu pesa,
Kesho
ukipoteza kila kitu, Dunia nzima itakucheka,
Wanaomba
nitiliwe chai yangu sumu, Wabaki hao ndio kusema
Kesho
wampigie demu wangu simu, Asahau alivyonipenda,
Ona
mayawani
Hayayayayayayaya
haya nao si watu hawa
Hayayayayayayaya
Binadamu kageuka mnyama
Hayawani
hayawani hayawani Hayawani
Hayayayayayayaya
hayawani
hayawani hayawani Hayawani
Hayayayayayayaya
Tunaongezea
nini bidii, Na roho ya mwanadamu haitosheki aki,
Sorry if I
never made you happy, I can’t be there for everybody
Its easy to
see, wengi huishi tu kutafuta kasoro kwako
Why man so
money minded, you wanna take from everyone
Man eat man
society, huoni haya kuivunja familia
Hamna utu
ni kujifikiria wooii Binadamu wote mmekua
HAYAWANI
Hayayayayayayaya
haya nao si watu hawa
Hayayayayayayaya
Binadamu kageuka mnyama
Hayawani
hayawani hayawani Hayawani
Hayayayayayayaya
hayawani
hayawani hayawani Hayawani
Hayayayayayayaya
Kabla suala
ukamilishe mama, Tafadhali Mola mwambie
Milele
anichunge me nisije zama, Mashetani yasinivamie
Chuki wivu
tunakutesa, Linda kwako usiwaskie
Kwanini
hatuwezi sote kupendana,Binadamu acha niwaambie
Labda si
sote wendawazimu, Kabla laana yetu pesa,
Kesho
ukipoteza kila kitu Dunia nzima itakucheka,
Wanaomba
nitiliwe chai yangu sumu, Wabaki hao ndio kusema
Kesho
wampigie demu wangu simu, Asahau alivyonipenda,
Hayawani
eeh hayawaaa
Hayawani
eeh Hayawaaa
hayawani
eeh Hayawaaa
hayawani
eeh Hayawaa
No comments:
Post a Comment