Thursday 23 November 2017

HAUNA LYRICS BY ASLAY


Ilikuwa inakuumanga ukiniona naye
Ilikuwa inakuchomanga mwanaume wewe
Ulitamani wewe ndo uwange mie
Ndo maana nilivyomuacha ukaaamua umuoe


We hauna, we hauna, hauna moyo kabisa
Hauna, we hauna, we hauna ulomagiki hata
kulika hauna wewe

Alivyopika chakula ulikuwa wakaa jikoni
sikujua ni kwanini nilijui ushemeji tu
Kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu ninyi
mpaka umemteka umekuwa gaidi juu

Nimekubali nimekubali nimekubali
nitamwita shemeji ooh
Nimekubali nimekubali nimekubali
nitamwita shemeji


Aah shemeji eeh shemeji shemeji eeh
Kiroho upande shemeji, eeh shemeji shemeji eeh
Kishingo upande

mara ooh tunaendana unaomba tusije kuachana
Eti unatupendanga sana kumbe ulinichora
kumbe nyuki mwenye laana
Kuniacha manundu ya mchana
Nilivyo beep ukupiga tu mapema
Ukasema na sinyora

Ooh mama sihara umemvisha na shera
Wee mwana no mbaya, oh nimbaya
Sijui ulimpa dawa au ndio hela
Ila yote sawa, me nasema inshala Mungu atalipa


Alivyopika chakula ulikuwa wakaa jikoni
sikujua ni kwanini nilijui ushemeji tu
Kumbe kule mlikuwa mnayapanga ya kwenu ninyi
mpaka ukamteka umekuwa gaidi juu

Nimekubali nimekubali nimekubali
nitamwita shemeji
Nimekubali nimekubali nimekubali
nitamwita shemeji

Aah shemeji eeh shemeji shemeji eeh
Kiroo upande shemeji, eeh shemeji shemeji eeh
Kishingo upande

Nimekubali nimekubali nimekubali yeyeyeee
Nimekubali nimekubali aaoah a

No comments:

Post a Comment