Showing posts with label Collo. Show all posts
Showing posts with label Collo. Show all posts

Wednesday, 2 November 2016

BAZOKIZO LYRICS BY COLLO X BRUZ NEWTON


  Celebrated as COLLO Mfalme, Swahili rap maestro Collins Majale who appears as a pioneer on Kenya’s wall of fame & local music scene dating back from the group Kleptomaniax has dropped a fire dance tune! The sizzling hot DANCE track titled BAZOKIZO, features Bruz Newton. Recording and engineering was done by Jack Maina (Jack on the Beat) at Pacho Entertainment Studios.


Lyrics

Ilibidi niokoke ndio niwashe jiko, siko kwa canality juu niko ridho
ulimi bado rive risasi zipo mistari bado kali na mezani zipo
silabi simple kama aeiou, rudia mara twice aeiou
kati chini na za improtu subiri usichizi

Two fingers in the sky, kunja ngumi into the side
sio ngumu kudecide tusikwende tukislide
we can hook it through the night
Thank the Lord that am aliveX2

kabeat kakidrop tu Bazokizo
check in ukitap tu Bazokizo
so follow if you want to Bazokizo
no body can stop you Bazokizo x2

Bazokizo, Bazokizo
Bazokizo, Bazokizo


Wanauliza collo kwani ulienda, wengi hawajui nishabanduka
kama shujaaa nilipata rufaa juu pasia za ekalu zilishararuka
kumbe apa siri ni kuchangamka sasa anga zangu chonjo ninatambaruka
mi nina Yesu nilijanjaruka kutoboa hii maisha ya panda shuka


Bazokizo, Bazokizo
Bazokizo, Bazokizo x4


kabeat kakirop tu Bazokizo
check in ukitap tu Bazokizo
so follow if you want to Bazokizo
no body can stop you Bazokizo x2

Bazokizo, Bazokizo
Bazokizo, Bazokiz0 x4


lets move to right move back to the left
kila mtu anafollow  usipodo uko solo X2

Two fingers in the sky, kunja ngumi into the side
sio ngumu kudecide tusikwende tukislide
we can hook it through the night
Thank the Lord that am aliveX2

kabeat kakirop tu Bazokizo
check in ukitap tu Bazokizo
so follow if you want to Bazokizo
no body can stop you Bazokizo x2

Bazokizo, Bazokizo
Bazokizo, Bazokiz0 x4

a

Thursday, 14 July 2016

YOU GUY LYRICS P-UNIT FT COLLO


Intro [Frasha]

You guy, this a good one (x4)

This one ,a good one, you guy

P-Unit, Collo, Msyox au sio

Back in the day mzee lets go

1,2, Twende kazi oooh


Verse 1

[Gabu]

Mi ni mgenge

Napitanga na zile ziko maji zimebleki

Nakata maji ikifika ma bills nimebleki

Niko fiti nimekula ma cookie na makeki

Oh yeah Baby nime sete

[Frasha]

Sete, napendanga zile zimesete

Jicho nyanya oh yeah wale wamesete

Zimesundwa tu kwa kibete

Simama wacha kukatika tu kwenye kete

[Gabu]

Kete, wacha kujisunda tu kwa kete

Si unajua genge ilisha nivisha pete

Mi napiga miti we ni mate

Mi napiga miti we nipate pate

[Frasha]

Pate, boss eeh manze usinitoke

Kuna toast anataka tu niende kwake

Ma sausee ma kebab yee ndio mkate

Eeeih boss wacha nipigwe matee


Chorus

You guy, that dendai 

She can really get a good one

You guy that dendai

 She can give you a good one

You guy (x2)


Verse 2

[Collo]

Wallapa is how whats really cracking

Eiish that dendai can nyima me nitsin

Coz she can girrit girrit

Shorty knows I ain't playing

She's the reason all the fellas are saying

[Bon'eye]

Bon'eye Bogi Benda

Amebeba vile mi huwaga napenda

Cheki nikirusha that shy guy

Najua anapendanga that sly guy

[Collo]

Niko area ka lenghts times width

Sina height but anapenda my length she admits

One of us has to be the short one in the relationship

So imma take one for the team

[Bon'eye]

Tunawatembelea, tunawagongea

Wanabaki mtaani wakituongea

Tulinyemelea, tukakagua

Tukaacha mtaani wametulia


Chorus

You guy, that dendai 

She can really get a good one

You guy that dendai

 She can give you a good one

You guy (x2)

[Collo]

She can gerit, she can give you

She can gerit, she can give you (x2)


Verse 3

[Collo]

And thats why am nyemelearing

Baby do the math, add a bed

Substract our clothes divide your legs 

Lets multiply haina mbulu piga hesabu

Kaa ritho as i nyemelea

We on Fire May Day tunateketea baiby

[Frasha]

Ayo this is my motto

Katia dame wa moto

Wacha chali ashike moto

Tusha shinda lotto

Never ever msoto

Niko time yaani pronto

Daktari loliondo

Mchezo weka kando, you guy

[Gabu]

Olomide Olomide silence

Mi huwapigisha makelele sirens

Mstari ziko juu sema rhyme sense

Nipate juu ya maji kama hyacinth, you guy

[Bon'eye]

Yes boss, mi ndio source

Kusosi mi huanzanga na main course

You guy, she'll gerrit of course

Always on track never off course


Chorus

You guy, that dendai 

She can really get a good one

You guy that dendai

 She can give you a good one

You guy (x2)

Nyemelearing, and that's why am nyemelearing, you guy (x2)

And thats why (x2)

She can geeeeeerit

This is what i call the Fantastic Four

Gabu, Frasha, Bon'eye and Collo


You guy juzi i went to the club and there was this dendai who was

Roooooogaing me

Maaaaaaaaad you guy

KUWA MPOLE LYRICS COLLO FT FRASHA



Verse 1
Onyo kwa ma-rapper kutoka wizara ya rap
Toto, tuliza boli na uskize papa
Ni mbali nilipotoka itabidi ujue
Kanzu mpya sheikh ni ule ule
Starehe ya ndovu yaani ati boy ni mchini
Rap skill educated ka boys wa griffin
Chumvi nisharamba kwa game nisha-mature
Mzee nzima still fresh tulia skiza hotuba
Sanaa jahazi yangu ndio maana nairopoa
Na venye mnaona kinyozi ashajinyoa
Wengi bado wachanga wanangu wanuka poda
So utajiitaje star na bado hujavuka border
Special dedication kwa wote wanaojichocha
Rap inatakanga balls nyap haiwezi tosha
Hata foreplay bado, mbona wanadukuduku
Na jasho yao yote kwangu ni marupurupu
The truth hurts so mi naponya jeraha
Ndogo kumbuka pia unazo silaha
Sina point ya ku-prove histo ishaandikwa
Mi ni king isikupite, if so, ushaambiwa

CHORUS
Unabonga sana toto
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Unabonga sana toto
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Kuwa mpole,  kuwa mpole

Verse 2
Freedom of speech nawagonga ka Track It
Ma-rapper wengi Kenya ni wa-soft ka curly kit
Jacking my tactics
Going all public
Pubically speaking wako chini ka armpit

Matamshi yote ni lactic
Nikipewa beat consequences ni drastic
Swagger ni classic
Kutoka class six
Nikipiga smile jijazie ni plastic
Hii ni head on corrishon
Unaweza niita K.J
Nikiwachorea hii state of confusion


Ya industry ina ma-rapper waki-chase fake dreams
Fire drill ya orgasm, wet dreams

CHORUS
Unabonga sana toto
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Kuwa mpole,  kuwa mpole 
Unabonga sana toto
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Verse 3
Onyo kwa ma-rapper kutoka wizara ya rap
Toto, tuliza boli na uskize papa
Ni mbali nilipotoka itabidi ujue
Kanzu mpya sheikh ni ule ule
Niko campo nawasha colombo na ocampo na agwambo

Macho ka headband ya rambo
Red, funny kitu inanipa raha
Huwacha lips zinaparara
Kesho pia nawasha kiki na philip mwaniki
Kwa ofisi za nation, yeah
Nani ka mimi
Uta-swear niko on fire ka leo uki-get hii mziki
Macho fungua hakuna mtu anahitaji maongo
Kwani quality ya commercial ni poor
Mamc nawameza
Natoa ngoma niite gospel nione ka dj ataicheza
Funga midomo niko hali ya kukunja mikono
Niki-bully mikrofoni na vipuli maskioni
Pahali nyash yuko si anajua hii ni noma
Juu industry is shady y'all need to be taken over


CHORUS
Unabonga sana toto
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Kuwa mpole,  kuwa mpole 
Unabonga sana toto
Kuwa mpole,  kuwa mpole
Kuwa mpole,  kuwa mpole