Sunday 23 December 2018

SAMANTHA LYRICS BY OTILE BROWN



Teddy B..
Mmmh.. mhhh..
Rangi ya mtome ndo bei
Rangi ya mtome ndo bei
Ngozi yake laini, hmmhhh



Kiuno chake cha kipekee

Kiuno chake cha kipekee
Yaani figa nane kamili
Hmmhhh



Tena magari yanabishana kwao

Usiku na mchana
Washika dau na wasanifu oooho
Mimi namlaumu mama, yako
Ulo ridhi matatizo
Uzuri wako swaserii
Ooooh hmmmhh



Samantha, Samantha

Samantha oooh baby
Baby you are my Samantha
Samantha, Samantha
Uzuri wako timilifu
Samantha oooh beiby



Hey nilipokuona

Nilijua wewe ndo wangu
Wala macho yangu hayakunidanganya, hmmh
Sasa nisipokuona kama ninakosa kanisa
Naogopa utanipora



Samahani kama

Nakuhukumu vibaya
My beiby, ni kwa sababu nakupenda
Na najua unanipenda
Tatizo wivu ninao
Mmmh beiby, basi tusonge lala



Hakika ulivyojaza hilo tattoo

Mimi macho kondo
Utuapo madem hawakai
Basi nipige game hadi ufurahi
Wewe kiboko
Mwalimu wako fundi hatari



Samantha, Samantha

Samantha oooh baby
Baby you are my Samantha
Samantha, Samantha



Uzuri wako timilifu

Samantha oooh beiby
Samantha, Samantha
Samantha oooh baby
Baby you are my Samantha
Samantha, Samantha



Uzuri wako timilifu

Samantha oooh beiby
Badman girl show me badman thing
Badman girl show me badman thing
Badman girl do the badman thing
Badman girl do the badman thing
Badman girl show me badman thing

Sunday 16 December 2018

NATIRIRIKA LYRICS BY ASLAY



Iye Lalalalala..
Lololololo..
Mmmmmhhh...

Sina nguvu ya kuleta matala
Mi kwako fala, Sijiwezi hata kidogo
We nipige hata kwenye hadhara
Mi bado fala,
Sikuachi hata kidogo

Nimesimama nakupenda peke yako
Nilikula ujana Ila kwako nimefunga kwato
Kamwambie na mama Kwamba mimi ndo mpenzi wako 
Waharibu ndugu lawama Penzi letu kuligusa mwiko

Natiririka(iyeee)
Natiririka mama natiririka
Uzani umezidi wa wa kilo(kilooo)
Natiririka, Natiririka mama natiririka
Maji ya shingo yamenifika Natiririka
Natiririka  mama natiririka Yamenifika(oooh)
Natiririka, Natiririka  mama natiririka
Ananipa nacho taka

ndo maaana Simba nimekuwa farasi mnyonge
Bouncer anaepelekwa puta na mende
Yuko wapi mganga wako niende
Nataka nimpeke zawadi kilinge atulie

Na nilikuwa mkata
Ila kwako kidomodomo
Nimekataa nimekataa
Na nilikuwa matata
Ila kwako mtoto
Natamba natamba

Nimesimama nakupenda peke yako
Nilikula ujana
Ila kwako nimefunga kwato
Kamwambie na mama
Kwamba mimi ndo mpenzi wako
Waharibu ndugu lawama
Penzi letu kuligusa mwiko

Natiririka(iyeee)
Natiririka mama natiririka
Uzani umezidi wa wa kilo(kilooo)
Natiririka, Natiririka mama natiririka
Maji ya shingo yamenifika
Natiririka, Natiririka  mama natiririka
Yamenifika(oooh) Natiririka
Natiririka  mama natiririka
Ananipa nacho taka ndo maaana

Natiririka, natiririka Mama
natiririka Mzani umezidiwa kilo kilo
Natiririka, natiririka  mama natiririka
Maji ya shingo yamenifika natiririka
Natiririka, natiririka  mama natiririka
Ananipa nacho taka ndo maaana
Punguza dozi utakuja niua
mwana wa mwenzio
Unanipeleka mperampera

Saturday 15 December 2018

IOKOTE LYRICS BY MAUA SAMA X HANSTONE



Maua Sama:

Hey... Hey .. ooooh...
Oh Baby niruhusu tufanane
Huku nikiamini one day utanioa
baby nikikuona nabanwa na haja
Baby nakuwanga kitoto ng'aa ng'aa
Tell me, nikipi chakupa mawazo
Oh baby wakati nakutunuku Mia Mia

Maua x Hanstone
Bridge:
Kwa kichomi nikande
Kwa Moto baridi zigande
Kama ruba nigande tuwe wote
Ah come baby come bae
Msumari kwa nyundo nigongee
Oh Monday to Sunday I love you...

Chorus:
Basi iokote
Sio kwa bedi, kwa kochi, kitanda naichumia
Iokote
Nikiona kwa juu chini naizamia
iokote
Sungura Nipe karoti maharage sijazoea
Iokote
Nakunja goti napandisha Mori nachechemea
Oh yeah baby baby....

Hanstone:
Ukitoka kuoga nitengee ya Moto Moto
Tingamo ka kitengee tutoke mtoko
Ahh boda kwa boda tutembee chocho kwa chocho
Tena nikichoka nibebee mie kwako mtoto
Rafudhi ya Pemba rangi rangi ahee
Nywele ya kihindi chambi chambi naree
Cheza rafu Kona Bambi mpoko mpokovu

Maua Sama:
Refa katupa penalti aah aaheeeh
Mpira ushawekwa kati aah aaheeh
Nahitaji magoli kwa chenga zako
Piga shuti nikudakie

Bridge:
Kwa kichomi nikande
Kwa Moto baridi zigande
Kama ruba nkugande tuwe wote
Oh come baby come bae
Msumari kwa nyundo nkugongee
Oh Monday to Sunday I love you ..

Chorus:
Basi iokote
Sio kwa bedi, kwa kochi, kitanda naichumia
Iokote
Nikiona kwa juu chini naizamia
iokote
Sungura Nipe karoti maharage sijazoea
Iokote
Nakunja goti napandisha Mori nachechemea
Oh yeah baby baby a

ALKAIDA LYRICS BY WILLY PAUL



Willy pozee Alkaida,
 nimelipuka kama bomb Alkaida,
 samahani nikikuboo Alkaida, 
nitakupiga ukonde boy Alkaida (pozeee) 

Alkaida, 
nanukia ka cologne 
Nivute kama ndom 
Mi ni yule king of flow** 
call me commando 
Kazi ni kuimba tu na kumake doh

Tena ananikalia kuna na aibu 
Anaogopa sana asipate aibu 
Naomba hii imfikie hadi chibu
Na wote wajue kuna jitu 

Kuna watu wenye roho mbaya
Hawapendi ona ukipenya 
But nabisha kila door 
Ata waninyonge koo 
Mimi ndo  the king of flow 
And they know

Kwenye mitandao nipo tu kila sehemu
Vijijini na mataoni (aah kila sehem)
Radio, TV,  niko pia kwenye system
Ngangari kama root na stem 

Alkaida, nimelipuka kama bomb
Alkaida, samahani nikikuboo 
Alkaida, nitakupiga ukonde boy


Alkaida Alkaida, najiamini ndumeAlkaida (pozee)
 Alkaida na kama ww ni ndume Alkaida(jibu) 

Kama kuna ndume naomba nijibu 
Usifanye tabia za kiaibu 
Huyu ni willy poze mr ibubu 
Just incase ulijisahaulisha 

Unajaribu kufunga njia zangu za afrika (Afrika ya mama) 
Unasahau wewe sio sio mungu baba (sio mungu baba) 

Umekwama plan a Niko plan b 
Mungu amefungua njia ata na cardi b 
Kuna rihananana (my rihananana eeh pia) 

Alkaida, nimelipuka kama bomb 
Alkaida, samahani nikikuboo 
Alkaida, nitakupiga ukonde boy 
Alkaida 

Alkaida, nimelipuka kama bomb 
Alkaida, samahani nikikuboo 
Alkaida, nitakupiga ukonde boy 
Alkaida Alkaida, najiamini ndume 
Alkaida(pozee) 
Alkaida na kama ww ni ndume 
Alkaida (jibu) a

PARANAWE LYRICS BY HARMONIZE X RAYVANNY


(yawe ya)
Ayo lizer

kwenye darkness
kwenye Candle
professional wa ku handle
the way you take me to the angle
wewe ni human being ama angel

if you want my heart oooh
I give you baby carry go
kidogo changu ndo chako
Ongeza njonjo madoido

(aah eeeeeh!)
my sheri koko
Kwa baridi nipe joto
(aah eeeeeh!)
kisha tupate kimoko
babu,bibi, kura doto
(aah eeeeeh!)

my sheri koko
Kwa baridi nipe joto
(aah eeeeeh!)
kisha tupate kimoko
babu,bibi, kura doto
(aah eeeeeh!)

(paranawe paranawe)
I want to see you dancing
(paranawe paranawe)
I like the way you dancing
(paranawe paranawe)
I like the way you dancing
(paranawe paranawe)

(Vanny Boy)
hivi unasokota jicho lako
legelege lina dondoka
(nakuuulizaa…)
hivi una ka motor
panga boy
chenga jay jay
ooh kocha
(wanimaliza…)

pretty gal, nasty
nitasema sorry nikimbeza
ata kama nyuma umetegwa pasi
sura mbaya dawa yake makeup

uweke wembe nitakula kiporo
nimeshapenda sijui kasoro
jirembe uwe mwororo
kama huna shepu vaa kigodoro

if you want my heart oooh
I give you baby carry go
kidogo changu ndo chako
Ongeza njonjo madoido(oooh)
(aah eeeeeh!)

my sheri koko
Kwa baridi nipe joto
(aah eeeeeh!)
ndo uitwange kokoto
pekupeku kama mpoto

(paranawe paranawe)
I want to see you dancing
(paranawe paranawe)
I like the way you dancing
paranawe(noga) paranawe(noga)
I like the way you dancing
paranawe(noga) paranawe

Anaeka sweeti
katamu mi nakajuwa uwa
na kanavyo jishaua uwa
ulimi picky
sinapo na vimaua ua
midomo denda ngozi muruwa uwa

awusha ashawa
pauka pakawa
inuka pagawa (eeeeee….)
zinduka mandawa
pinduka kagawa
karuka mabawa
I want to see you dancing
(paranawe paranawe)
I want to see you dancing
(paranawe paranawe)
I like the way you dancing
(paranawe paranawe)
I like the way you dancing
paranawe(noga) paranawe(noga)

Woiyooo Woiyoyo
Woiyooo Woiyoyo
Shake what your mama gave you
cheki wanaona wivu


a

KADOGO LYRICS BY ALIKIBA



Aaaaah
ivo ivo yoyooh
eeeeeeeh

kadogo kanapenda keroro keroro keroro
kadogo kanapenda keroro
kembamba kadogodogo kanapenda keroro

nikamuuliza anatoka 254
mombasa kwa wajanja janja
ananikosha rohoo

she must be there, be there
wow woooh kadogo dogo

unawakata machat
unawakata mafans
unanikulia papo sio
unawakata mapost,
unawakata mapost
unanikulia papo sio

unawakata machat
unawakata mafans
unanikulia papo sio
unawakata mapost,
unawakata mapost
unanikulia papo sio

kadogo kanapenda keroro keroro keroro
kadogo kanapenda keroro
kembamba kadogodogo kanapenda keroro ooh

akaja mbogo aah
akaja akaja mbogo keroro
akindrink anayumbayumba keroro
naskia ni love sio kidogo
anaweza alaf anakosha

na vile vilee eeeh
anavyo anansongaa anankosha
she must be there, be there
wow woooh kadogo dogo

unawakata machat
unawakata mafans
unanikulia papo sio
unawakata mapost,
unawakata mapost
unanikulia papo sio yeh baba

kadogo kanapenda keroro keroro keroro
kadogo kanapenda keroro
kembamba kadogodogo kanapenda keroro ooh

yeah kadogo dogo kananimalizaaa
kananikoshaaa roho 
kadogo kadogo dogo
kananimalizaaa nikoshaa rohoo
roho yangu weeeh


a