Saturday 21 November 2015

Kwangu 254 lyrics by Ali B,Bahati, Bwana DNA,Collo,size 8,suzzana owino,wahu.

Kwangu 254 lyrics by Ali B,Bahati, Bwana DNA,Collo,size 8,suzzana owino,wahu.
             
     ALi B.
Mambo ya mjuara aya mtindo wa kenya, 
Skia utamu wa kenya

      
   Collo.
welcome to 254
Karibu kenya marafiki if your ready si we can go, for a tour to all our cities, 
Tupande kaskazini tuko juu, your right magharibi tuko mashariki chini kwa chini hadi kusini tuko on
          Suzzana and wahu.  


      (Chorus)
Karibu nyumbani kwangu, 

cheza ukitabasamu sote tuburudike, chakula kitamu×2
Pamoja na tusherekee×2

              
       
Suzzana 
Feel the music and feel good, 
Move to the beat dance to the rithym.
We party like champions kemboi dance
Come lemi show you kembo dance.



           DNA
You know mi niko mitaani flavour za nyumbaniii make you sing, 
Kenya we are very good,tour small najitambua 
I stand tall kenyan raised kenya bom ndio form.


         Suzzana and wahu

         (Chorus)

            Bahati.
Mtoto wa mama kenya ndio nyumbani
Mtoto wa mama tena ndipo maskani
Ndipo kijinini, kucheza chakacha
Pia kanisani kusifu maulana eeeh
Tukisifu maulana kila kitu kiko sawa
Usidhani yuko mwenyewe usikate tamaa .

                Wahu.
Tuko pamoja tukijiburudisha
Tuko pamoja tukijichangamsha.



           DNA and Ali B


          (Chorus)
      
               Size 8 
Vile unavyopenda usijali watakavyosema
Jiachilie eeh 
Vile unavyopenda usijali watakavyosema
Jifurahisheee......

Friday 20 November 2015

Live and die in Africa lyrics by Sauti Sol .



Intro 
Lele, lele, lele lelelele
Lele, lele, lele leleleleee

Verse 1 (Sauti Sol):
I wanna be rich, I wanna be famous
I wanna have lots of, lots of money
Soar above the clouds.
I wanna be free, like Nelson Mandela
Stand tall like a pyramid, so so courageous.

(Delvin)
No place I'd rather be (Bién Aime & Chimano: Oh na na na, oh na na na)
There's no place I'd rather be (Bién Aime & Chimano: Oh na na na)

(Delvin):
Live and Die in Afrika ah
I wanna live and die in Afrika ah
Live and die in Afrika aah
Eh, live and die in Afrika ah, eeh.

Verse 2 (Delvin):
I wanna feel love, I wanna be remembered
I wanna go down in history, make my mama proud.
The darker the berry, the sweeter the juice
Na sitoki nyumbani, wacha mila ni mtumwa.

(Delvin):
Eh, No place I'd rather go, Ooh no place I'd rather go.

(Delvin)
I'll live and die in Afrika ah
Yeah, live and die in Afrika ah
Ooh yeah, live and die in Afrika ah
Yeah, I'll Live and die in Afrika, oooh ooh ooh

Bridge 


Nazunga lunge x16

Outro (Delvin, Bién Aime and Chimano):
Cause I wanna live and die in Afrika ah.
I wanna live and die in Afrika aha.
Ooh yeah....hello motherland tell how you doin'?
ooh oh....hello motherland tell how you doin'?
Ooh woo woo....hello, motherland tell how you doin'?
Eeh....h

Mama lyrics by Bahati

Mama lyrics by Bahati

Bahati Bahati Tena Flame
International
Mwanabuja Wee
Mimi Naimbia Mama, Mimi Nasifu Mama, Mama

Chorus
Maana Kubwa Kwangu
Mummy Ndio Nakuimbia Mama
Zawadi Nono Kwangu Haki
Kutokana Kwa Maulana x2

Verse1
Nimetu Dakika Keti Chini Nikuambie
Nachukua Hii Fursa Mama
Wacha Nikuambie
Nimetu Dakika keti Chini Nikuambie
Nachukua Hii Fursa
Na Dunia Isikie
Miezi Tisa Ndani Yako
Kunibeba Uchovu
Na Miaka Tisa Kando Yako
Ukinitoa Uovu
(Mama)
Miezi Tisa Ndani Yako
Kunibeba Uchovu
Na Miaka Tisa Kando Yako
Ukinitoa Uovu

Chorus

Maana Kubwa Kwangu
Mummy Ndio Nakuimbia Mama
Zawadi Nono Kwangu Haki
Kutokana Kwa Maulana x2

Verse 3
Uuu Utovu Wa Nidhamu
Ndani Yangu Ukaupiga
Na Ndoto Za Utotoni Ukinipa
Motisha
(Mama)
Utovu Wa Nindhamu
Ndani Yangu Ukaupiga
Na Ndoto Za Utotoni Ukanipiga
Motisha

Mwanangu Unaweza Lolote
Ukijikaza Utafika Popote
Mwana, Unaweza Lolote
Maono Mengi Ulifanya Niote x2

Chorus

Maana Kubwa Kwangu
Mummy Ndio Nakuimbia Mama
Zawadi Nono Kwangu Haki
Kutokana Kwa Maulana x2

Verse 3

Ulinyima Nipate Wee,
Hukutaka Nikose ee
Ulinyima Nipate Wee,
Hukutaka Nikose ee
Ulinyima Nipate
(Mama)
Hukutaka Nikose ee
Hukutaka Nikose ee

Chorus

Maana Kubwa Kwangu
Mummy Ndio Nakuimbia Mama
Zawadi Nono Kwangu Haki
Kutokana Kwa Maulana *2

Liii Mama, Nakupenda Mama
Asante Mama RIP Love Yah!!!

Kitanzi lyrics by willy paul ft Gloria muliro


Kitanzi lyrics by willy paul ft Gloria muliro

(Willy Paul)
Uuuh Willy Willy Willy Paul Tena
Na Gloria Na Gloria
Mamamama aa Mamamama aa Mamamama aa
Siigizi Mama Mamamama aa
Mteuliwe Sitoli ii
Tatizo Kubwa Ninalo Mimi
Mteuliwe Sitoli ii
Tatizo Kubwa Ninalo Mimi
Ninalo mimi


(Gloria Muliro)
Ni Tatizo Gani Hilo,
Yeye Asiloliweza
Ni Tatizo Gani Hilo,
Yeye Asiloliweza


(Willy Paul)
Naomba Unisikize,
Eeei Unipe Sikio
Najitia Kitanzi, Najitia Kitanzi,
Nimechoshwa sana


(Gloria Muliro)
Haina Haja Kitanzi, Haina Haja kulia,
Haina Haja, Kuwa Pamoja Na Maulana, Bado Anakupenda
Haina Haja Kitanzi, Haina Haja Kulia,
Haina Haja, Kuwa Pamoja Na Maulana, Bado Anakupenda



(chorus)

(Willy Paul)
Bila Huruma Msela Nateseka, Na Siutani
Kudharauliwa Kudhulumiwa, Madoti Jiweza
Oooh Nifanye Vipi Mama, Oooh Nifanye Vipi
Hivi Niende Wapi Mama, Oooh Niende Wapi
Why Why Why Why Why
Why Why Why Why Why Me



(Gloria Muliro)
Hebu Sikiliza Mwana, Nikuambie
Mwokozi Ndipo Hayuko, ila Muumba aa
Tena Yeye Anakupamba Vyema, Alivyokuumba
Usiogope Rudi Mwana, Atakupokea aa
Laiti Ungalijua, Jinsi Anavyokupenda aa
Laiti Ungalijua, Jinsi Alivyokuaandalia


(Willy Paul)
Najitia Kitanzi, Najitia Kitanzi,
Nimechoshwa Sana aa

(Gloria Muliro)
Haina Haja Kitanzi, Haina Haja, Kuwa Pamoja Na Maulana, Bado Anakupenda
Haina Haja Kitanzi, Haina Haja Kulia,
Haina Haja, Kuwa Pamoja Na Maulana, Bado Anakupenda


(Willy Paul)
Mimi Willy Nina Shaka

(Gloria Muliro)
Shaka Ya Nini Bwana

(Willy Paul)
Na Hisi Ninakukosea Baba aa


(Willy Paul)
Mama aa

(Gloria Muliro)
Hatarekebisha

(Willy Paul)
Hatanikubali, Hatanikubali, Nafsi Yangu Kuu
Natamani Willy
Kurudi Kwake Jalali, Kurudi Kwake Jalali
Lakini Mummy Nimeogopa, Oooh Utaniwe Radhi
Najitia Kitanzi, Najitia Kitanzi, Nimechoshwa Sana aa


(Gloria Muliro)
Haina Haja Kitanzi, Haina Haja Kulia,
Haina Haja, Kuwa Pamoja Na Maulana, Bado Anakupenda
Haina Haja Kitanzi, Haina Haja Kulia,
Hana Haja, Kuwa Pamoja Na Maulana, Bado Anakupenda
(Nimesikia Mama)
(Natupa Kamba)


(chorus).

Muziki ni dawa lyrics by Ringtone


Muziki ni dawa lyrics by Ringtone
Asante kwa muziki, Asante mungu kwa ngoma aa
Hebu wewe ona, vile watu wako wanapona x2

Muziki ni dawa, ukisikiza utakuwa sawa
Muziki ni dawa, ndiyo maana mimi naimba aa x2

Shida zina nionea, maisha nikuvumilia


Mimi na ng’angana,naletea mwaching’a
Mwili aanza kuuma, kichwa kina niuuma
Mgongo unauma, madawa nanywa si poni

Nasikia muziki kwa redio, mwili wangu unapoa
Swali ni jibu, ooh Muziki ina nini


Chorus
Asante kwa muziki, Asante mungu kwa ngoma aa
Hebu wewe ona, vile watu wako wanapona x2

Muziki ni dawa, ukisikiza utakuwa sawa
Muziki dawa, ndiyo maana mimi naimba aa x2

Nilikuwa napewa story ya mfamle mmoja, kwa jina aliitwa sauli alipagawa mwili
Palikuwa na kijana mmoja kwa jina Daudi, alikuwa na talanta, talanta kama mimi

Kati yangu mimi na yeye, anacheza zeze
Mfalme alipagawa, watu wakashtuka
Waliitwa kwa mfalme ndiyo wakashindwa, Daudi alipocheza zeze sauli akapona


Chorus
Asante kwa muziki, Asante kwa ngoma aa
Hebu wewe ona, vile watu wako wanapona x2

Ngai no masikin, masikio nyasae no maskin
Nchwai no maskin, masikio nyasae no maskin x2
Utapona mungu ako utapona
Utapona muziki ni wake utapona ugoigoi x2

www.charlaw.blogspot.com

Machozi lyrics by Bahati


Machozi lyrics by Bahati
Ooh Bahati Bahati tena
Maachozi machozi ii, machozi mamaye
Machozi skiza papaye

Vidonda vichungu na fikra ona
vile niliumia
Machozi machungu nakuta mbona
hakuna vile ningeficha x2


Maisha yangu ya usali,
kasoro mali
Wapi wangu waniokoe,
napoteza mzazi uchungu wa mwana,
Mbona mola uniondoe x2


Nilikosa hata moyo kuchonga moyoni,
niliumia sana
Maskini kusema hawachoki kuchonga nililia msee iaa


Chorus
Nilijawa machozi,
mbona mimi
Maswali kwa mola,
mbona mimi
Nilijawa machozi,
mbona mimi
Mbona dunia uchungu,
mbona mimi
oooi oooi oooi oooi
oooi oooi oooi oooi


Nafanya napata gharama,
kuwa inakera
Bidii nikaweka nikaangua pa tupu,
niliota kupenya
Mziki ilifanya sana napata gharama,
kuwa inakera
Bidii nikaweka nikaangua pa tupu,
niliota kupenya

Ilikuwa uchungu madungu zangu,
Nilijawa naumia aai
ilikuwa machozi sina hata pozi,
ila tumbo inalia aai x2


Chorus
Nilijawa machozi,
mbona mimi
Maswali kuwa mola,
mbona mimi
Nilijawa machozi,
mbona mimi
Mbona dunia uchungu,
mbona mimi
oooi oooi oooi oooi


Naye ukaniweka chini,
niende wapi mwenzio
Niliangaika kwenda mjini,
mashambani hivo hivo x2


Ukawamu kunionyesha mapenzi,
hapo siku ya kwanza
Maulana kwangu ukakuwa mpenzi,
ndio ukaniacha x2

Nilikosa hata moyoni,
niliumia sana
Maskini kusema hawachoki kuchonga,
nililia msee aai


Chorus
Nilijawa machozi,
mbona
Maswali kwa mola,
mbona
Nilijawa machozi,
mbona mimi
Mbona dunia uchunga,
mbona mimi
mbona mimi, mbona mimi

Si amini ni mimi leo,
Maulana hayali mbivu oooh
Si amini ni mimi leo,
Rabuka hafungi sikio x2

Missi lyrics by willy paul


Missi lyrics by willy paul
Oooh msela nimefika mwisho ooo
Nimefika mwisho
Oooh msela nimefika mwisho ooo
Wa dunia uniokoe

Mimi Jalali nimekumisi sana aaa
kukupenda ndio nataka kufanya aaa
Mimi Mwenyezi nimekumisi sana aaa
prodigal son aaa
Oh my daddi nimekumisi sana
kukupenda ndio nataka kufanya
Oh my daddi nimekumisi sana aaa
prodigal son aaaaaa

Ningekuwa thabiti ungecheza na masomo
Huku na kule ningekufuata wewe eee
mwokozi weee ee



VERSE 2
Ungekuwa mtoto ningekutoa nepi
Kila siku kubadili pumpus
na vijipumpu aaas

Ningekuwa jambazi
Ungenitenda aaa singalikublame *2

Kama msamaha ungekuwa ni bidhaa aa
kina willy tungekosa raha aa
aaah ulinipenda mimi
nilikosea ukanipenda, ukanikosoa ukaniita mwana
sasa mimi, sasa mimi nimekuwa wako oooooo
Tena!



Mimi Jalali nimekumisi sana aaa
kukupenda ndio nataka kufanya aaa
Mimi Mwenyezi nimekumisi sana aaa
prodigal son aaa
Oh my daddi nimekumisi sana
kukupenda ndio nataka kufanya
Oh my daddi, nimekumisi sana aaa
prodigal son aaa



VERSE 3
Oh kila mara nimetokwa na machozi
Ukunipangusa machozi, ukaniondolea huzuni ii
(sema tena)
Oh kila mara nimetokwa na machozi
Ukanipangusa machozi, ukaniondolea huzuni ii
Waaai lalala lalala lalala laaa aa

Huzuni ukaniondolea mimi, nikakusahau mimi
lakini bado ukanirejelea
prodigal son aaa
Hivi sasa nimeshatambua, upendo wako
ni ule wakudumu
ningewapatuma wala wakunila



CHORUS
Mimi Jalali nimekumisi sana aaa
kukupenda ndio nataka kufanya aaa
Mimi mwenyezi nimekumisi sana aaa
prodigal son aaa
Oh my daddi nimekumisi sana
kukupenda ndio nataka kufanya
Oh my daddi nimekumisi sana aaa
prodigal son aaaaaa

Nanana nanana nanana aa
Bababa bababa bababa aa rr a
prodigal son aaa



CHORUS
Mimi Jalali nimekumisi sana aaa
kukupenda ndio nataka kufanya aaa
Mimi Mwenyezi nimekumisi sana aaa
prodigal son aaa
Oh my daddi nimekumisi sana
kukupenda ndio nataka kufanya
Oh my daddi nimekumisi sana aaa prodigal son aaaaaa

Matokeo lyrics by Gloria muliro


Matokeo lyrics by Gloria muliro
Sasa nangonja matokeo
kutoka kwako jalali x2


Mimi nimefanya mtihani mingi
sana
Nimepitia madarasa mengi
sana
kwa kila darasa Yaweh

Umekuwa mwalimu wangu
Umenifunza kuomba
Umenifunza subira
Umenifunza kungoja Baba

Nimekuwa mwanafunzi
mwema kwako Baba


Usiku mrefu sana, mbona
hakupambazuki?

Nimejaribu sana
kukupendeza maishani
mwanga
Nimefanya kazi, hiyo
umeona Yesu


Nimetoa fungu la kumi hiyo




Chorus
Asubuhi ikifika, ije na
kicheko
Asubuhi ikifika, ije na
amani
Asubuhi ikifika, ije na
furaha
Asubuhi ikifika, ije na jibu
langu

You never know lyrics by willy paul msafi


You never know lyrics by willy paul msafi.
Willy Willy Willy Paul
Nasema Leo Umelemewa
Lakini Kesho You Never Know

Nasema Leo Umekosa Mlo
Lakini Kesho You Never Know

Nasema Leo Umelemewa
Lakini Kesho You Never Know

Nasema Leo Umekosa Mlo
Lakini Kesho You Never Know

You Never Know, You Never Know, You Never Know,
Eeeeeh Oooooh Eeeeeeh
( repeat 2 times )



Verse: 2


Nabusara Ya Wahenga
Nikila Mtu Hupata Raha
Mgani Moja Atakaye
Muamini Yeye

Yatakuwa Shwari Yatakuwa Shwari
Usimpandue Usimpandue
Anakupenda Wee Anakujali


( Chorus! )
Nasema Leo Umelemewa
Lakini Kesho You Never Know

Nasema Leo Umekosa Na Mlo
Lakini Kesho You Never Know

Nasema Leo Umelemewa
Lakini Kesho You Never Know

Nasema Leo Umekosa Mlo
Lakini Kesho You Never Know

You Never Know, You Never Know, You Never Know, You Never Know,
Eeeeeh Oooooh Eeeeeeh
( repeat 2 times )


You Never Know, You Never Know, You Never Know.

Barua lyrics by Bahati


Barua lyrics by Bahati
Bahati tena eeh!
Furahi yote Baba naitoa moyoni,
Na nifurahi yote kwako husikie hewani.
(ooohmmmmmm!)

Ni barua ngapi nimeandika kwa njia mziki.
Na nyimbo ngapi nimeandika zisizo za riziki.
(repeat 2 times)



( chorus! )
Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,
Nikikuita daddiii…
(repeat 2 times)

Nikufunga nikafunga ila siri sitaki wajue,
samahani nikaomba magoti nisikuzungue.



( Chorus! )
Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,
nikikuita dadiii…
( repeat 2 times)
( oooh! )

Barua yangu ya mapenzi nimeona niimbe.
Barua yangu ya mapenzi nimeona niandike.
( repeat 2 times )



( chorus! )
Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,
nikikuita daddiii…
( repeat 2 times )

Oooh! Kama mapenzi, msalabani ulifanya zaidi.
Naaa! Kama kipaji, kwa burudani umekuwa nami.
( repeat 2 times )
( Baba eeeh! )

kuna wengi mjini wanadai mapenzi, kumbe walaghai.
Wana— badili kama kinyonga, kamwe hawafai.



( Chorus! )
Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,
nikikuita daddiii…
( repeat 2 times )
( ooh! )

Barua yangu ya mapenzi nimeona niiembe.
Barua yangu ya mapenzi nimeona niandike…
( repeat 2 times )



( chorus )
Nikikuita mpenzi , mpenzi, mpenzi,
nikikuita daddiii…
( repeat 2 times )



( chorus! )
Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,



( chorus! )
Nikikuita mpenzi, mpenzi, mpenzi,
nikikuita daddii…
( repeat 4 times )
( oooh! ).

Lala salama lyrics by willy Paul


Lala salama lyrics by willy Paul
Willy, Willy, Willy Paul
Yoyoo Yoyoo Yoyoo ooh
Tumba Tumba Tumba Tumba
Eeeh x2


Verse 1
Kama Ni Kachumbari, Ooh Tulikula Lala
Kama Ni Katurungi, Ooh Tulikula Lala
Kama Ni Kauji, Ooh Tulikula Lala
Hata Kapepsi No, Ooh Tulikosa Sana
Zaidi Ya Maji, Ooh Nasiutani Rafiki Rafiki,
Ooh Nasiutani
Oooh Oooh Oooh Oooh


Chorus



Verse 2
Oh Tangu Uondoke
Mama Amekuwa Akiteseka Sana
Na Magonjwa Kwa Kupigwa
Kwa Kurushwa Aaaa
Bado Jalali Ametulinda,
Akutuacha Tuangamie
Kabla Uondoke Ulitambua
Kuwa Nilikuwa Msanii
Nikafanya Rabuka,
Nikafanya NiSitolia,
Nikafanya NiMpenzi
Na Sasa You Never Know


Chorus
Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Salama Salama Salama Salama
Salama Salama

Majirani Wakuulizia, Msela Ulienda Wapi
Wateja Wauulizia, Jamani Ulienda Wapi
Inabidi Niwandanganye, Eeh Baba Ako Ofisini
Inabidi Niwandanganye, Baba Ameitwa Kazi
Ooh Inaniuma Ooh Inaniuma
Ooh Inaniuma Aaah
Moyoni Inachoma Moyoni
Inachoma Moyoni Inachoma Aah


Chorus
Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Ulala Salama, Baba Ulale Salama
Salama Salama Salama Salama
Salama Salama
Salama Salama

Jalali Akulinde Akuweke
Pema Peponi x2

Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Uu Lala Salama, Baba Ulale Salama
Salama Salama Salama Salama
Salama Salama
Salama Salama

Eeeeeh Oooooh Eeeeeh
Oooooh
Salama Salama Salama Salama

Wednesday 18 November 2015

Sauti sol live and die in afrika album art and track list



Sauti sol release artwork and
tracklist for "Live And Die In Afrika"
album.


The 2015 release !!!
Album cover was shot at African Heritage House by
Kenyan celebrity stylist Annabel Onyango.
The band has  finally unveiled the album cover and track
list of their third album titled ‘ Live and Die in Afrika’.
Just from winning the Best African Group at the
2015 AFRIMA Awards in Nigeria, the Kenyan group are set
to drop a new hit.


The new 15-track album follows their debut " Mwanzo" that
was released in 2008 and their sophomore " Sol
Filosofia" that dropped in 2011.
The album cover was shot at African Heritage House with


Kenyan celebrity stylist Annabel Onyango.
Sauti Sol won two awards including Best African Group and
Producer of the Year with Cedric Kadenyi, and M'vula
scooped up the award for Best Artist in African Rock.

Live and die in afrika lyrics by sauti Sol  to follow later !!!

No stress lyrics by Avril ft Ay



NO STRESS LYRICS BY AVRIL

, oooh yeah yeah
One one ..one two three go.

Verse 1.
Tumejuana for long unanililia kila siku nikijiambia kwamba napenda
Lakini to night I know busy love
No more kuchoshwa na maswali ninayo
No more kutarajia mapenzi yako
No more kuchoshwa na maswali ninayoo
Singer wing  out iiiiih

Chorus
I got no stress in my life and that's why narusha mikono juu
 nakatika tuu sina stress sina hoja akilini iiiih x2

Verse 2.
Verse two naambiwa coz mi si mvulana,
I ain't suppose to sing like this,so one shut... two shut.. oooh am feeling tipsy..


        Chorus

Usiende.(?) coz Leo mi nasweka mbali, tabasamu kila time basi densi nani,shida zipo na wala haziishi,wacha nijiachilie ukitaka njoo nami.
Masho nabana natushapambana na bado mipango nabana, nakwama nyuma staki tazama sasa nasonga mbele tu sana,lakini muda huu nakula bado tuu weka mikono yako juu kisha imba nami...

       Chorus