Wanasemanga
mapenzi safari,
Unavyopita
ndo jinsi unajongea
Ila
niendako ni mbali sijui ka ntafika
Sababu
natembea, niliposikia gabari
Yakisifika
nikakesha nangojea ah
Akabariki
Jalali na nikawika muziki
Nikauotea
Ile kumpaka
maka
Nikajia
ndio kwa gomo movi
Kumbe
mapenzi hayataki haraka
Nikama
Tango natia tu chumvi
Mwenzenu
nikaoza haswa
Na kuitia
kitandani mjuzi
Eti nataka
fukuza paka
badala ya
mbwa nikafuga mbuzi
mmh wivu
ukanifanya nikagombana na marafiki
ugomvi na mamangu
akiniambia siambiliki
moyo
ukanambia Naseeb sasa mapenzi Basi
ila
nang’ang’ania najaribu kuipinga nafsi
Esma
ananambia mdogo wangu mapenzi basi
Ila nang’ang’ania
nikiumizwa
na huyu kesho na mwingine
Ooh mboni
sikomi sikomi sikomi
licha ya
mateso haya
Najiuliza
oh sikomi
Oh sikomi
mbona (sikomi)
Mbona
jamani sikomi
Licha ya
mateso haya ah
Mmmmh
Aliyonifanyia
wa central,
akia-mungu
siyawezi sema
Ila
nimejifunza kesho siwaamini wacheza sinema
Moyo
walinipatia mateso
siwezi
kumeza siwezi tema
mana
sikushanga ile ghafla
toka CCM
kwenda CHADEMA
wanasema
kitanda ukitandika sharti ukikalie
nikajitia
ukamanda yatakwisha
wacha
nivumilie kila kiza kikitanda
ndo visa
machozi mi nilie
penzi
yakatia parapanda
kuwaita
waje washambulie
aah acha na
PENNY we darling
nilomuhongaga
gari aliponambia ana mimba
mwisho wa
siku akaichomoa chali
Molah
akanitunuku ZARI
Akanizalia
dume na mwali
Nilivomjinga
nika-cheat aibu mpaka
Kwa vyombo
vya habari
Moyo
unanambia NASEEB sasa mapenzi basi
Ila
nang’ang’ania najaribu kuipinga nafsi
LAIZER
ananambia simba mapenzi basi
Ila
nang’ang’ania nikiumizwa na huyu
Kesho na
mwingine
Ooh mboni
sikomi
Mboona
sikomi
Mboona
jamani sikomi
Licha ya
mateso haya
Nishafumaniwa
oh sikomi
Nikafumaniwa
mimi sikomi
Nishapambana
na watu (sikomi)
Licha ya
mateso haya ah
Mateso mama
Ayo LAIZER
No comments:
Post a Comment