A song that speaks to the strength of a woman; a special tribute to every superwoman out there rising above, time and time again. Special thanks to the ladies on the video who gave their time and shared their stories.
Song written by Amileena, Audio produced by Dj Space for MOB Studios, Video directed and shot by N. X. T Solutionz 2016. Lyrics will be available soon
Intro Ladies and Gentlemen This is your Captain speaking Kama uko tayari Karibu kwenye dancefloor Jaguar, Avril, Ogopa D.J.'s
Chorus Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda Tayari (nimkose nikufe) Tayari (nimkose nikufe) Tayari (nimkose nikufe) Ta-ta-ta-tayari
Verse 1 Niko tayair yaani niishi na yeye Kila kitu anachotaka nitafanya Waseme tu vile wanavyotaka Kwani kwake yaani mimi kwake nimefika Namtaka yeye, niishi na yeye Kila siku tuwe kama chanda na pete Anishike mkono nami nimfuate Kote aendako, nimshike mknono Anishike mkono nami nimfuate Kote aendako, nimshike mknono Anishike mkono nami nimfuate Kote aendako, nimshike mknono
Chorus Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda Tayari (nimkose nikufe) Tayari (nimkose nikufe) Tayari (nimkose nikufe) Ta-ta-ta-tayari
Verse 2 Niwe ni kila siku ananidai Nao mi naapa kukwama na yeye Naota ndoto naona moto Mwisho Napata (naona ndoto) Amua ni mimi kila kitu kwangu Mwisho isiwe nipe nikupe Wacheke tu pale wanapocheka Usiku mambo yawe kama kawaida Wacheke tu pale wanapocheka Usiku mambo yawe kama kawaida Wacheke tu pale wanapocheka Usiku mambo yawe kama kawaida
Chorus Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda Tayari nishapata wangu ambaye ananipenda na mimi nampenda Tayari (nimkose nikufe) Tayari (nimkose nikufe) Tayari (nimkose nikufe) Ta-ta-ta-tayari
Nakuahidi ntakwama na wewe, ntakwama na wewe nakuahidi ntakwama na wewe, ntakwama na wewe Nakuahidi ntakwama na wewe, ntakwama na wewe nakuahidi ntakwama na wewe, ntakwama na wewe Nakuahidi ntakwama na wewe, ntakwama na wewe nakuahidi ntakwama na wewe, ntakwama na wewe