Showing posts with label Gloria muliro. Show all posts
Showing posts with label Gloria muliro. Show all posts

Friday, 20 November 2015

Kitanzi lyrics by willy paul ft Gloria muliro


Kitanzi lyrics by willy paul ft Gloria muliro

(Willy Paul)
Uuuh Willy Willy Willy Paul Tena
Na Gloria Na Gloria
Mamamama aa Mamamama aa Mamamama aa
Siigizi Mama Mamamama aa
Mteuliwe Sitoli ii
Tatizo Kubwa Ninalo Mimi
Mteuliwe Sitoli ii
Tatizo Kubwa Ninalo Mimi
Ninalo mimi


(Gloria Muliro)
Ni Tatizo Gani Hilo,
Yeye Asiloliweza
Ni Tatizo Gani Hilo,
Yeye Asiloliweza


(Willy Paul)
Naomba Unisikize,
Eeei Unipe Sikio
Najitia Kitanzi, Najitia Kitanzi,
Nimechoshwa sana


(Gloria Muliro)
Haina Haja Kitanzi, Haina Haja kulia,
Haina Haja, Kuwa Pamoja Na Maulana, Bado Anakupenda
Haina Haja Kitanzi, Haina Haja Kulia,
Haina Haja, Kuwa Pamoja Na Maulana, Bado Anakupenda



(chorus)

(Willy Paul)
Bila Huruma Msela Nateseka, Na Siutani
Kudharauliwa Kudhulumiwa, Madoti Jiweza
Oooh Nifanye Vipi Mama, Oooh Nifanye Vipi
Hivi Niende Wapi Mama, Oooh Niende Wapi
Why Why Why Why Why
Why Why Why Why Why Me



(Gloria Muliro)
Hebu Sikiliza Mwana, Nikuambie
Mwokozi Ndipo Hayuko, ila Muumba aa
Tena Yeye Anakupamba Vyema, Alivyokuumba
Usiogope Rudi Mwana, Atakupokea aa
Laiti Ungalijua, Jinsi Anavyokupenda aa
Laiti Ungalijua, Jinsi Alivyokuaandalia


(Willy Paul)
Najitia Kitanzi, Najitia Kitanzi,
Nimechoshwa Sana aa

(Gloria Muliro)
Haina Haja Kitanzi, Haina Haja, Kuwa Pamoja Na Maulana, Bado Anakupenda
Haina Haja Kitanzi, Haina Haja Kulia,
Haina Haja, Kuwa Pamoja Na Maulana, Bado Anakupenda


(Willy Paul)
Mimi Willy Nina Shaka

(Gloria Muliro)
Shaka Ya Nini Bwana

(Willy Paul)
Na Hisi Ninakukosea Baba aa


(Willy Paul)
Mama aa

(Gloria Muliro)
Hatarekebisha

(Willy Paul)
Hatanikubali, Hatanikubali, Nafsi Yangu Kuu
Natamani Willy
Kurudi Kwake Jalali, Kurudi Kwake Jalali
Lakini Mummy Nimeogopa, Oooh Utaniwe Radhi
Najitia Kitanzi, Najitia Kitanzi, Nimechoshwa Sana aa


(Gloria Muliro)
Haina Haja Kitanzi, Haina Haja Kulia,
Haina Haja, Kuwa Pamoja Na Maulana, Bado Anakupenda
Haina Haja Kitanzi, Haina Haja Kulia,
Hana Haja, Kuwa Pamoja Na Maulana, Bado Anakupenda
(Nimesikia Mama)
(Natupa Kamba)


(chorus).

Matokeo lyrics by Gloria muliro


Matokeo lyrics by Gloria muliro
Sasa nangonja matokeo
kutoka kwako jalali x2


Mimi nimefanya mtihani mingi
sana
Nimepitia madarasa mengi
sana
kwa kila darasa Yaweh

Umekuwa mwalimu wangu
Umenifunza kuomba
Umenifunza subira
Umenifunza kungoja Baba

Nimekuwa mwanafunzi
mwema kwako Baba


Usiku mrefu sana, mbona
hakupambazuki?

Nimejaribu sana
kukupendeza maishani
mwanga
Nimefanya kazi, hiyo
umeona Yesu


Nimetoa fungu la kumi hiyo




Chorus
Asubuhi ikifika, ije na
kicheko
Asubuhi ikifika, ije na
amani
Asubuhi ikifika, ije na
furaha
Asubuhi ikifika, ije na jibu
langu