Showing posts with label Rich mavoko. Show all posts
Showing posts with label Rich mavoko. Show all posts

Saturday, 4 November 2017

RUDI LYRICS BY RICH MAVOKO FT PATORANKING

RUDI LYRICS BY RICH MAVOKO FT PATORANKING




[Verse 1 - Rich Mavoko]

Sauti na tabasamu 

Ndio linafanya nikukumbuke
Kinachoniumiza mwenzagu
Unapolia chozi nsifute
Mapenzi sidhani mimi
Kilichobaki ni uadui
Kuniona hautamani kwanini?
Kweli maziwa nimegeuka tui
Nami nina moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina moyo mama
Upate siku moja uje niona
Nami nina moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina moyo mama
Ungalisema neno moja ningepona


[Chorus - Rich Mavoko]
Mwenzako sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ooh sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ama Moyo wangu me


(Nitauweka wapi?)

Ooh Moyo wangu

(Nitauweka wapi?)

Mwenzagu sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ooh sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ama Moyo wangu me

(Nitauweka wapi?)

Ooh Moyo wangu

(Nitauweka wapi?)




[Verse 2 - Patoranking]

Sickness Sickness Sickness small me
Well me yes, you are dumping me
In this wicked World
Baby every one needs a company
My heart bleeds
For your Love
Girl i bleed for your love
Me, Me can imagine
If u know dey me,

what a sad ting (aaaaaeeeeeh)

I cant imagine

You inna me life girl what a sad ting

Nikiwa nawe mwenzako ndo napona
Na nikilala usiku ndotoni nakuona
Ukipata mafua me napa ka homa
I wanna be your Lover,

your friend and your owner




[Verse 3 - Rich Mavoko]

Kwa mawazo silali mama yangu
Basi rudi ooh
Natamani ulitaje jina langu
Makusudi ooh
Nami nina Moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina Moyo mama
Upate siku moja uje niona
Nami nina Moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina Moyo mama
Ungalisema neno moja ningepona

[Chorus - Rich Mavoko]
Mwenzako sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ooh sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ama Moyo wangu me

(Nitauweka wapi?)

Ooh Moyo wangu

(Nitauweka wapi?)

Mwenzagu sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ooh sura yangu

(Nitaiweka wapi?)

Ama Moyo wangu me

(Nitauweka wapi?)

Ooh Moyo wangu

(Nitauweka wapi?)



[Outro- Rich Mavoko & Patoranking]

Nimefuta na mabaya yako

(ayeeh)

Sikutishi me kinyago wako

(ayeeh)

Ninachotamani ni uwepo wako

(ayeeh)

Kwenye nafsi upo peke yako

(ayeeh)

Please don go

(ayaya)

Girl please don go

(ayaya)

Please don go


(ayaya)

World best n Mavoko


a

Saturday, 2 September 2017

ZILIPENDWA LYRICS BY DIAMOND PLATNUMZ,HARMONIZE,RICH MAVOKO,RAYVANNY,



LYRICS

INTRO
Ooh, izo ni zama za kale,
Ohh, sanguro na pepe kalee
Zilipendwa

RAYVANNY
Eeh kizamani, kutoa kadi na maua (zilipendwa)
Wanataka mali,ukilipa unakwarua (zilipendwa)
Ufundi kitandani,sio maguvu kujikamua(zilipendwa)
Unafika ndani,hujatomasa unachanua (zilipendwa)
Wanawake wa leo, wanataka mikakati
Ukiwa mzogaji,hakya mungu huwapati,
Mapenzi ya video yanakutoa kamasi,
Eti nikinywa maji, nakuona kwenye glasi (zilipendwa)
Eeh kupiga chabo ghetto (zilipendwa)
Sunche na kapeto (zilipendwa)
Konno na detto (zilipendwa)
Sunche na kapetio (zilipendwa)
Manje na mobeto (zilipendwa)

DIAMOND
Ooh, izo ni zama za kale, oooh, sanguro na pepe kale
Mmmhh Boringo ndomboro (zilipendwa)
Twanga chipolopolo (zilipendwa)
Maji ya kandoro (zilipendwa)
Simba wa morogoro (zilipendwa)

RICH MAVOKO
Mtaani sipati, skari guru kabisa (zilipendwa)
Ivi yuko api ,mb dogo wa Latiffa (zilipendwa)
Babu Tale wapi papa misifaa (zilipendwa)
Sikuiz party, hatuendagi kabisaa (zilipendwa)
Mpira na Pele (zilipendwa)
Tanu Nyerere (zilipendwa)
Asha ngedere (zilipendwa)
Alusi mabele (zilipendwa)
Eeti uuze nyumba, ueke heshima bar
Eeti mlazimishe alokukataa
Sabuni kicherema (zilipendwa)
Mabanda ya sinema (zilipendwa)
Lipumba na mrema (zilipendwa)
Diamond na Wema (zilipendwa)

DIAMOND
Ooh, izo ni zama za kale, ooh, sanguro na pepe kale
Wakina Soggy doggi (zilipendwa)
Chaneli ya analogi (zilipendwa)
Movie za cyborgi (zilipendwa)
Van Damme Arnoldi (zilipendwa)

QUEEN DARLEEN
Unanibeeb nikupigie, umeiweka vocha?
Ule weewe nilipe mie, umeniona lofa?
Teena na madada wenye, majina acheni visss
Unaitwa ukale dinner, mnakwenda tisaa
Nywele za kichina (zilipendwa)
Pochi za kuazima (zilipendwa)
Zena na betina (zilipendwa)
Bashite gwajima (zilipendwa)

DIAMOND
Ooh, izo ni zama za kale, oooh, sanguro na pepe kale
Mmhh Amita Bachani (zilipendwa)
Tv kwa jirani (zilipendwa)
Madee Rayvanny (zilipendwa)
Zari Ivanny (zilipendwa)

HARMONIZE
Ya nini kunichunguza naishi wapi (zilipendwa)
Nala chapati, kwa mahindi au makapi (zilipendwa)
Kutwa kunikalia,una kamati (zilipendwa)
Ooh yarabi masikini, kunidhihaki
Aah Samba mapangala (zilipendwa)
Pfunk Kajala (zilipendwa)
Onyango na Jangala (zilipendwa)
Lufufu Mkandalal (zilipendwa)
Vyanini vidomodomo, nitupieni tunguli
Kisa pesa za mgomo, msimu wa magufuli
Aah Bongo man yondo (zilipendwa)
Skinde msondo (zilipendwa)
Magari ya udongo (zilipendwa)
Babu wa loliondo (zilipendwa)

DIAMOND
Ooh, izo ni zama za kale, oooh, sanguro na pepe kale
Aah Tv za kichogo (zilipendwa)
Wakina mandojo (zilipendwa)
Gigi ya lyobo (zilipendwa)
Akina tupogo (zilipendwa)

MAROMBOSO
Eeti ni msiba ukiona bundi,unataka kupagawa
Tulale makundimakundi, kuogopa popo bawa
Zueena, ntampata wapii (zilipendwa)
Zueena, na zile nyakati (zilipendwa)
Kujifanya mapanga zuna, ati wamebinga
Wengine wabeba mapanga, na hakuna marinda
Iddi amini dada (zilipendwa)
Miuno ya H. Baba (zilipendwa)
Domo chai jaba (zilipendwa)
Michezo ya kibaba baba (zilipendwa)

LAVA LAVA
Wale wapiga madeal, sasa hali mbaya (zilipendwa)
Hizi zama za magufuli, si za jakaya (zilipendwa)
Ugomvi wa Mr.nicena dudu baya (zilipendwa)
Vikatuni vya madonge baba ubaya (zilipendwa)
Muhogo mchungu Mr.bean wapi Bl bambo
Wale watazamaji wa melini wazee wa ng’ambo
Vifiu vywa vibenjamini wa mambo jambo
Wa Vietnam wa porini vita na rambo na dam jela jela (zilipendwa)
Kidali komborera (zilipendwa)
Max zembwela (zilipendwa)
Juma nature na fella (zilipendwa)

DIAMOND
Ooh, izo ni zama za kale, oooh, sanguro na pepe kale
Mmmh Kama ndala si mda (zilipendwa)
Almanzira ndumba (zilipendwa)
Simu za dole gumba (zilipendwa)
Johari na Kanumba (zilipendwa)

Instrumental
a

Friday, 9 June 2017

KAMA UTANIPENDA LYRICS BY DARASSA FT RICH MAVOKO





LYRICS


Mrembo, njoo tujenge malengo

Nikikutazama naona nyufa kwenye mjengo

Unaonekana kama mji wenye upendo
Unafanana na mtu aliochoshwa na mwendo
Si nikupe namba yangu unipigie weekend (weekend, weekend baby)
Moyo unasema mchukue huyu mtoto yuko stendi
Vile anavyohema sio kama mtu hapendi
Anauelewa mziki anahofia kuucheza
Anasema na lugha chafu ameshakuwa kifimbo cheza
Sema nini na Marlaw nabembeleza
Kwa Sera za Suma Lee nakula chungwa mpaka chenza
Heh shida kujuiuguza
Mama you hot na uko ndani unaniuguza
Staki kujua hata nkikijua ntapuuza
Ukitaka kula bata uache kumchunguza

Ah kama utanipenda sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza katafute refa wa kukubeba
Na kama utanipenda sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza katafute refa wa kukubeba

You know I like you
Mi nakupenda and I give you what you want eh
(eh whatchu want)
Nipe uchizi nidate hata nikilala kwenye usingizi ufuate
(the way you talk mama)
You know I like it
Me nakupenda and I give you what you want eh baby
(eh what you want)
Nipe uchizi nidate na nikilala kwenye usingizi ufuate

Hakuna single wala movie mama kwangu you’re my star
Mi shabiki yako nasimama hata ukikaa
Nahangaisha paa brake ziko Dar
Jitazame kwenye kioo how beautiful you are
Mapenzi ukichaa mapenzi uchizi
Uwe nacho ukikataa mwingine inamnyima usingizi
Mwingine atakesha mwingine atatesa
Mwingine atataka akutumie kama pesa
Yanajuana madini yakikutana
Mwanamke anahitaji matunzo na ndo kitu nachofanya
We utasema mi kichaa
Kumbe mwenzako nafuata what I feel inside

Ah kama utanipenda sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza katafute refa wa kukubeba
Na kama utanipenda sitojali shida ulizobeba
Na kama unataka kucheza katafute refa wa kukubeba

You know I like you
Mi nakupenda and I give you what you want eh
(eh whatchu want)
Nipe uchizi nidate hata nikilala kwenye usingizi ufuate
(the way you talk mama)
You know I like it
Me nakupenda and I give you what you want eh baby
(eh what you want)
Nipe uchizi nidate na nikilala kwenye usingizi ufuate

Unataka nini mama
Usiniumizi moyo waweza kupaa
Mi niko loyal uendeshe motoka
Punguza uchoyo nguo za kuvaa
You’re my everything for me
Na ukiwa out oh what you want
Waweza kupaa baby
Uwendeshe motoka
Nguo za kuvaa
Na ukiwa out oh what you want
You’re my everything for me you’re my only one

Wednesday, 3 May 2017

SHOW ME LYRICS BY HARMONIZE X RICH MAVOKO

Harmonize
Asa Mwenzako I feel so good me nikikuona,
Aah uomwendo unafanya kusudi na ulivyo shona,
Ati unakwenda au unarudi wakatakona,
Nyuma ka katuni za masudi ulivyo nona,
Eeih ivi unapenda wavifua ka roboti -ama sanam-
Au wazee wakununua mwaga noti -ka sallam-
Oooh Anitha ,Macho kama unanita, Aaa a saa sita, 

Shape vella sindika,Aa aaah anita Macho kama unanita, Shape Vellah…..
Chorus 
Aah showme, showme ,showme, -Unavyo dance-
Showme, Showme ,Showme, -Waonyeshe unavyo dance- ×2


MAVOKO
Umenifinyanga kama dona,
Mmakonde na ndonya,
Kama mpira maradona, Kichuya kona,
Nawakisema namawenge -wambie werrasoni-
Wakiringisha peremende nitakugawia -koni-,
Chunga kipenzi majaribu, -mabaya saaana oooh-
Nawe ndo dokta wa kunitibu,
-Niwe salama oooh- Ooh baby anitaaa, -Macho kama unaniita-
Saa siita Kiuno kama yondo sista Aaah (×2)

CHOROUS
Aah showme, showme ,showme, -Unavyo dance-
Showme, Showme ,Showme, -Waonyeshe unavyo dance- (×2)

Harmonize
Asa Mombasa,nairobi, -Sakata base-
Kampala,kigali -Sakata base-
Zimbabwe kwa tobi -Sakata base-
Naija somali -Toto sakata base-



mavoko
Wanangu wa panya road -Sakata base-
Chaukucha kwa salali, -Sakata base-
Na unyamani , BOB -Sakata base-
Kizonga kwa natali -Toto sakata base-
Aaah aaaa Aaah Unavyo dance Aaaaah aaa Aaah 
Waoneshe unavyo dance.
a

Wednesday, 23 November 2016

KOKORO LYRICS BY RICH MAVOKO FT DIAMOND PLATINUMZ




SONG : KOKORO
ARTIST: RICH MAVOKO FT DIAMOND PLATINUMZ
PRODUCER: ABYDAD & LIZERCLASSIC

lyrics

Verse 1
Me and you till i die, babe Chimamy white mmasai
mzuri hadi ndani, i know you like mumbai
Uko kama nyumbani, i can buy hyundai
haifiki mwakani, tena hujui poda wala hupaki mascara
shape nyuma kigoda, sauti kama ya stara
una lips nyembamba, totole mjenge nilila
kiuno cha kuvaa khanga, macho kama umenyonya weeda

Bridge
ooooooh babe aaaaaaah, girl i want to see
aaaah ah babe, aaaah oooh girl i want to see
aaaah oh babe

Chorus
Asa kokoro, ooooh kokoro
asa kokoro, babe kokoro
asa kokoro, eeeeh kokoro
anifinyie kwa ndani,
asa kokoro, oooh kokoro
asa kokoro babe, asa kokoro
asa kokoro eeeh, kokoro napendagaa


verse 2
Aaaaah Diana sister Diana, mmmh Halima siz Halima
una pigo za ki lady Gaga, nyuma laini kama burger
Zigo la kuvunja chaga, kifaranga kimetaga
kwanza mwanzi matata unavyosakata
kiuno talanta mavi karata, mjini makata Avon kamata
Bichwa nang'ata soka samata  Eeeeh eeeeh

Bridge
Mashallah mie kwake tafrani
anavyonisasambua kama nguo mnadani
Aaaaaah yayaaa, Girl i want to see
Aaaaah ah Babe, aaaaaaah oh
girl i want to see, Aaaaah oh Babe

Chorus
Asa kokoro, ooooh kokoro
asa kokoro, babe kokoro
asa kokoro, eeeeh kokoro
anifinyie kwa ndani,
asa kokoro, oooh kokoro
asa kokoro babe, asa kokoro
asa kokoro eeeh, kokoro napendagaa

verse 3
mtoto ana pigo za terere, usiombe akichuma matembere
ndizi anang'ata ka ngedere, chumbani singeli segere
Ruupda eeeeh, mashallah mie kwake tafrani eeeh
Anavyonisasambua kama nguo mnadani yayaiaa yebaa
anadodoaaa anadodoa yeeih, anadodoa aaaaah anadodoa
palalilaa anadodoa yeiih, 

mashetani yamepanda anadodoa, binti kamwaga manyanga anadodoa
mgonjwa anatibu mganga anadodoa, anadodoka anadodoa
mwenye nyumba kapanga anadodoa, wingu limekua vanga anadodoa
maiti amevuliwa sanda anadodoa, oooh ooh hawatoweza.
a

Tuesday, 26 July 2016

Naimani lyrics by Rich mavoko

[Intro]
Ayaah
Boy David!
MAVOKO!
[Verse 1]
Mmnh!
Kunani mboni zinaumia
Kuna mengi yanayonikwaza
Nalalamika ndani huku nalia
Japo usoni mi nachekaga
Nasikia mapenzi kikohozi
Ombeni nakonda na TB
Almanusura uzima nisije kata kauli
Na kumuacha siwezi kwa mutima kashakuwa nguli
Kanifinyanga mazima penzi limebaki kivuli
[Pre-Chorus]
Japo pombe nakunywa, cha ajabu silewi
Zinazidisha mawazo haki ya Mungu sielewi
Mwenzenu pombe nakunywa, cha ajabu silewi
Zimezidisha mawazo, mawazo
[Chorus]
Nami naimani nawe
Naimani na
Naimani we ndo mtuliza mawazo
Mi naimani nawe
Naimani na
Naimani we ndo mtuliza mawazo
[Verse 2]
Sina kilanga penzi si nguo
Kuazimana haramu
Na ikibidi mueleze
Nilishafungwa chunga chungio
Kinachokupa utamu ndo kitakupa mawenge
Napepesa macho ili ning’amue lolote
Mapenzi ni utundu anaeza akaachwa yeyote
Kuonja sunaah, mi njonjo sinaa
Ukweli unaempenda ndo anauma
[Pre-Chorus]
Japo pombe nakunywa, cha ajabu silewi
Zinazidisha mawazo haki ya Mungu sielewi
Mwenzenu pombe nakunywa, cha ajabu silewi
Zimezidisha mawazo, mawazo
[Chorus]
Nami naimani nawe
Naimani na
Naimani we ndo mtuliza mawazo
Mi naimani nawe
Naimani na

Naimani we ndo mtuliza mawazo
[Bridge]
Mwenzenu kauli mi sina (mama wee)
Yakinizidi nazima (mama wee)
Nashindwa kusema (mama wee)
Ikibidi umwambie
Kanikoleza mazima (mama wee)
Hakuna alichoninyima (mama wee)
Amenitema mapema (mama wee)
Ikibidi umwambie
Kesho nampa na bima (mama wee)
Anitulize mutima (mama wee)
Nimpe lunch na dinner (mama wee)
Ikibidi umwambie
[Outro]
Mama wee
Mama wee
Mama wee
Ikibidi umwambie eeh
Aah! B Daddy

I love you lyrics by Rich mavoko

[Verse 1]
Si unajua maumivu ya penzi
Navyoumia, usije kwenda, mi nitalia
Unafiki kwenye mapenzi, wamezoea
Nisichotenda, wananizushia
Eti wanatamani, nisiwe na macho
Ukipita, nisikuone
Wengine wanatamani, nisiwe na miguu
Nikikuona, nisikufate
Ile mikamba ya upendo, wataikata
Na lile penzi litapotea
Vile najali mapendo, ila sio sasa
Nahisi penzi litapotea
[Bridge]
Uh mama tena do salale
Utanifanya nisilale
Ukiwasikiiza mama, ah
Uh kipenzi do salale
Utanifanya nisilale
Ukiwasikiiza aah
[Pre-Chorus]
Tatizo sio mimi mama
Nakupenda sana
Nakupenda mama
Mpaka moyo unaniuma
Tatizo sio mimi mama
Nakupenda sana
Nakupenda mama
Mpaka moyo unaniuma
[Chorus]
My baby I love you, love you
I love you, mama I love you ah
My baby I love you
Aah I love you
My baby I love you, love you
I love you, mama I love you ah
My baby I love you
Aah I love you
[Verse 2]
Unaposema husikiizi moyo wangu unatulia, wabaya
Kukupenda ni kilema kitakachodumu maishani
Usije ukasahau
Walitamani wanitoe na macho
Nisikuone kabisa, kabisa we ukipita
Walitamani wanikate na ulimi
Mi nishindwe kusema, kusema
[Pre-Chorus]
Tatizo sio mimi mama
Nakupenda sana
Nakupenda mama
Mpaka moyo unaniuma
Tatizo sio mimi mama
Nakupenda sana
Nakupenda mama
Mpaka moyo unaniuma
[Chorus]
My baby I love you, love you
I love you, mama I love you ah
My baby I love you
Aah I love you
My baby I love you, love you ah
I love you, mama I love you
My baby I love you
Aah I love you
[Outro]
Mama do salale
Unanifanye nisilale
Mpenzi do salale
Utanifanya nisilale
Silaili do salale
Hebu piga wasilale
Sema do sala–
Oh mama do sala–
Mama do salale
Sema do salale