Saturday 29 September 2018

JUU YA NGORI LYRICS BY KHALIGRAPH JONES



Kama unangori, (kama unangori)
kuja na mboggi na theng. (raah)
kama unangori, (kama unangori)
kuja na mboggi na theng. (iyee)

kama unangori, (kama unangori)
me sina worry, (me sina worry)
me sina worry, (me sina worry)
juu nitakukokia feng

ngoma zangu - ngori (eeh)
flow nayo - ngori, (flow)
nguo nazo - ngori, (wuu)
kadem nako - ngori, (haa)
juu ya ngori - ngori, (buda)
ati nini - ngori ,(ngori)
ngori ngori - ngori, (ngori)
ngori ndori - ngori. (haa)

flow nayo - ngori,
shot nayo - ngori
(kila kitu - ngori,)X2
nairobi - ngori,
254 - ngori
eeh eeh - ngori
juu ya ngori - ngori

yeah, ushaijua vile unaeza kuleta ngori,
ukileta ngori, uku ni ngori joh
unatabia za kishodi shodi
kesi na OG ni horrible.

morio, hukumbuki juzi ni nini ilifanyika kwa corridor
ulijaribu kuziba ngori, kumbe nilikuwa nishakutoa corridor
sorry bro, hatuko kimoja, saa me niko category soo.
niko na akina sokodi, kaa unacopy then i just told you so
no worries though, testimony imefanya nijue za kodi msoo,
90 percent of you rappers, bado mnazimwa na shorti kaa notiflow

but know tukienda kigongi kombi
kuje na packo ya condico
Nairobians know vile nikona mapepo
nahitaji maombi boss
kila siku me na mourn medoss,
ndo reason nifuatwe na horny horse
my life is like a movie,

(wuuh) wacha niwapatie chronicles
so stay on your lane kaa doriko
juu simple utapigwa makofi bros
skotoshi knows ilibidi baki
nimekuwa nikiziaforfdi koo
mapro ni pro, form ni show
nilidhani itakua impossible.
instead kutype kwa simu,
we nitafute kaa ukona ngori joh

Kama unangori, (kama unangori)
kuja na mboggi na theng. (raah)
kama unangori, (kama unangori)
kuja na mboggi na theng. (iyee)

me sina worry, (me sina worry) X3
juu ninakukokia feng

ngoma zangu - ngori (eeh)
flow nayo - ngori, (flow)
nguo nazo - ngori, (wuu)
kadem nako - ngori, (haa)
juu ya ngori - ngori, (buda)
ati nini - ngori ,(ngori)
ngori ngori - ngori, (ngori)
ngori ndori - ngori.

kama unangori, (kama unangori)
usichoche kwa twitter na insta story,
name a location nikuje katambe,
twitter fingers tunajua ni boring.

kama unangori, (kama unangori)
tukuchatishe na mateke na dondi
kama ni kudiss mliona nini
nilifanyia vera na Eric omondi

kama  unangori, (kama unangori)
Tukikutana usijifanye Holy
juu nitakuchangamkia ukoro
na wale ninja umeseti kwa koyi

kama unangori, (kama unangori)
hakikisha unatembea na mboggi
juu wale kiawa wananitambua
si wale hudance hizo ngoma za odi

shine on nimepita na Glory
jwang inapiga nikiwa na mashodi,
nipate mollys,mimi na mollys on
the purple kama Francis Atwoli
hapa ni teke hakuna cha slowly,
me sina time kama mbota
si rolling nikisema nikona kimuthongi

ujue si challenge ya Kobi.
si ndio waswang ya tonj ya mbono
tunawaimgiza na ii Origi
si ndio hupita na vibeti kwa mkono
si ndio huongelewa daily TV.
si ndo con wa Tao.
pata potea na base ni stage ya Bangu
supplier wa nyama ya paka
mlikuwa mnaekelewa kwa sambu

so kama ni ngori jua ni
akina nani unadeal na wao
coz none of my niggas
are keeping it 100
zetu ni mabills za thao

so before muulize nani amekafunga
kwanza mjue nani amevunja rekodi
izo pang'ang'a kujicompare na
me haziwezi nyi ni matothi

Kama unangori, (kama unangori)
kuja na mboggi na theng. (raah)
kama unangori, (kama unangori)
kuja na mboggi na theng. (iyee)

kama unangori, (kama unangori)
me sina worry, (me sina worry)
me sina worry, (me sina worry)
juu nitakukokia feng

Kama unangori, (kama unangori)
kuja na mboggi na theng. (raah)
kama unangori, (kama unangori)
kuja na mboggi na theng. (iyee)

me sina worry, (me sina worry) X3
juu ninakukokia feng

ngoma zangu - ngori (eeh)
flow nayo - ngori, (flow)
nguo nazo - ngori, (wuu)
kadem nako - ngori, (haa)
juu ya ngori - ngori, (buda)
ati nini - ngori ,(ngori)
ngori ngori - ngori, (ngori)
ngori ndori - ngori. (haa)

flow nayo - ngori
short nayo - ngori
(kila kitu - ngori) X2

Nairobi - ngori,
254 - ngori,
eeh eeh - ngori,
juu ya ngori - ngori


a

Monday 17 September 2018

NIACHENI LYRICS BY OTILE BROWN



maneno yatanichoma moyo ila hayawezi kunizui
ungeshanitoa roho neno lako lingekua sheria
tena nidhairi nidhairi utanichukia
japo sijui ni kwa nini maana sababu zangu za kuondoka unazijua
tena nizamsingi.

tatizo hisia zangu haziheshimiwi
mama nakujuwaa
usijifanye eti hujui tatizo mimba yangu ulioitoa

niacheni msione nipo kimya mwezenu nina mengi
wacha nilie na moyo wangu maneno maneno mingi sipendi

i will do better, better, better
i will do better, better, better
tena hauna shukurani utasemaje sikukupenda
nikutumie kwa msingi gani wakati ulinikuta na tesa

nilivyo kupenda na shidi zako mama
na madhaifu yako mama
nikapigana ata vita vyako mama
nikuridhie

nilivyo kupenda na shidi zako mama
na madhaifu yako mama
nikapigana ata vita vyako mama
nikuridhie

niacheni msione nipo kimya mwezenu nina mengi
wacha nilie na moyo wangu maneno maneno mingi sipendi
niacheni msione nipo kimya mwezenu nina mengi
wacha nilie na moyo wangu maneno maneno mingi sipendi

i will do better, better, better
i will do better, better, better
tena hauna shukurani utasemaje sikukupenda
nikutumie kwa msingi gani wakati ulinikuta na tesa a

TWO IN ONE LYRICS BY NAIBOI



A1, A1, A1
For the money
two for the shawties
A1 two for the shawties Naiboi

si Beiby now we are two in one (2 in 1)
we are two in one (2 in 1)
when am away you call me (call me)
i call you (call you)
nikikumiss nakam through (iye) to pick you
coz beiby now we are two in one (2 in 1 iye)
we are 2 in 1

A1, A1, A1
For the money
two for the shawties X2

nikiwa mbali siwezi concentrate
ooh beiby gal you gotta hold on i make it.
look hata kidogo nikama ni everyday
beiby wacha mchezo hebu come my way (mmh)

you man a good man side to show
kama haujaijua mummy now you know
ukiwa nami wanishika moo
ndani ndani mpaka kwa roho

ooh beiby come slowly go slowly (eeh)
my electric shock will shock on you
come slowly go slowly (eeh)

si Beiby now we are two in one (2 in 1)
we are two in one (2 in 1)
when am away you call me (call me)
i call you (call you)
nikikumiss nakam through (iye) to pick you
coz beiby now we are two in one (2 in 1 iye)
we are 2 in 1

A1, A1, A1
For the money
two for the shawties X2

na tunawapa pole (iye)
mastory za obore (iye)
wape kitabu wakasome (beiby)
wamalize na mayowe

wanaleta chuki chuki
chuki chuki aaah eeeh
ooh beiby you looky looky
looky looky fine (ki-design eeh)

come slowly go slowly (eeh)
my electric shock will shock on you
come slowly go slowly (eeh)

si Beiby now we are two in one (2 in 1)
we are two in one (2 in 1)
when am away you call me (call me)
i call you (call you)
nikikumiss nakam through (iye) to pick you
coz beiby now we are two in one (2 in 1 iye)
we are 2 in 1

A1, A1, A1
For the money
two for the shawties X2

i look you beiby, you diggy me polepole pole
i feel you beiby, you feel me polepole pole

everything about you beiby am loving
show them, show them, show them
ooh you complete me, you complete me

si Beiby now we are two in one (2 in 1)
we are two in one (2 in 1)
when am away you call me (call me)
i call you (call you)
nikikumiss nakam through (iye) to pick you
coz beiby now we are two in one (2 in 1 iye)
we are 2 in 1

A1, A1, A1
For the money
two for the shawties X2

a

Friday 14 September 2018

WHY LYRICS BY BEN POL FT HARMONIZE



Ndugu zangu napata, malipo ya usaliti
yakupendwa lakini ikawa sipendeki
sikujua machungu makali kiasi hiki

hii dozi inatibu vilivyo
me staki ooh why
umenifanya nawaza
wangapi ninaowatenda
kila nikikumbuka
najiona mashamba

nguvu zinaniisha
siwezi hata kusimama
kinacho nisikitisha
nastahili haya nguvu zinaniisha
siwezi ata kusimama
kinacho nisikitisha
nastahili haya

why why why why ooh
why why why why ooh
why why why why ooh
why why why why ooh
silali silali silali fofofo X2

ona hayaniishi mawazo ahh
nyingi zinajirudia ahh
penzi lake ndio chanzo ahh
mmmh malipo ni duniani
ahela kuhesabiwa
me nipo bado rehani
nimejitela mwanamkiwa
eeh mmmh

zile heshima kuninyenyekea
nikamuona si chochote kwangu aah
eti maziwa nikampotezea
nilivyomaliza tu shida zangu aah
ukimuona mwambieni
najiuguza najutia

tena najiona limbukeni
yamenifunza ya dunia
yale machozi yasiyo na hatia
yananisurubu (majonzi)
upweke na jiinamia
nimeisha tubu nisamehe

why why why why ooh
why why why why ooh
why why why why ooh
why why why why ooh
silali silali silali fofofo X2

ona hayaniishi mawazo aah
penzi lake ndio chanzo  aah
nguvu zinaniisha
siwezi ata kusimama
kinacho nisikitisha
nastahili haya

a

BORA UHAI LYRICS BY WILLY PAUL FT KHALIGRAPH JONES



Mmmmh mamamama
uuuuuuh mamamama
Uh mamama

uyu ni poze sio, sio Rozay uyu ni pozee
uyu ni poze sio, sio Rozay uyu ni pozee
ieeea

sijui ni shaku ama ni kuku
wananitingi tingi kama bantu
some people make me go crazy
wananiita ata ngombe

wananifollow willy willy kama drama
utadhani mimi willy instagramer
wanauliza naendesha gari gani
ni ipi ma ama ile benz

wanauliza mimi naishi nyumba gani
ni Runda one ama Runda mbili
wananiuliza nahubiri injili gani
injili ya mwokozi ama ya mabinti
but asante mungu kwa uhai
Ei, mmh bora uhai

Tey tekin rababababa
bora uhai
bora uhai
bora uhai
iye mamamama
bora uhai
bora uhai
bora uhai
iye mamaye

Napokea baraka toka most high (bora uhai)
ndae, big mansion iko close by (bora uhai)
and a private jet men i dont lie (bora uhai)
hii yote bila white collar ama bow tie

husemanga God husaidia wale ujipea motisha
so call me David vile mkono narudisha
nasema Asante na si pupa msee, so wivu ya nini
na atakupa, that is, if can pray

na ata ka ninawabore
nikishinda niwatajia Kayole
bora ujue sina ngore
Bado tunashine
ama vipi poze

kushine tunashine ama vipi OG
kuna mwenyezi tuko fiti OG
wenye roho mbaya tunawaeka fitti
hatuwakanyangi feet-Ndi
ndio baraka zikikam waona kwa mbali
wabaki wakilia kama tumbili ieeee

i got the congregation saying
uyu Pastor ni moto, nikitibu nakafunga
mi si daktari msoto
brand international, sa staki local
bora uhai whether chai cudburry coco

Tey tekin rababababa
bora uhai
bora uhai
bora uhai
iye mamamama
bora uhai
bora uhai
bora uhai
iye mamaye

uyu ni poze sio, sio Rozay uyu ni pozee
uyu ni poze sio, sio Rozay uyu ni pozee
Ei bora uhai, eh bora uhai

Tey tekin rababababa
bora uhai
bora uhai
bora uhai
iye mamamama
bora uhai
bora uhai
bora uhai
iye mamaye

a

KWATU LYRICS BY ASLAY



Mmwaaah mmwaaah mmwaaah

Baby mi na we nganganga
Usije ukaenda kwa mgaga
Dj ebu piga charanga tuchezee
Wanauliza maswali
Tuwajibu kwa vitendo

Waambieee wajue
Mi kwako nishatia nangaaa
Fumba macho usije danga
Utaniumiza roho
Nikila korosho
Kula karanga, tuzimeze ooh
Usiniache nitatangatanga
Yatima ooh

Unionyeshe alokufunza nyakanga
Kitandani ooh

Nimeona wengi sana
Wazuri sana
Ila kwako nimekwama
Sijatereza kukuchagua
Nichochee, nichochee
Kama moto unichochee

Kwatu
Roho yangu kwatuu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu kwatu
Roho yangu kwatu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu

Ukiwa mbali mwili wote unapooza
Nahisi kama nimekufa na tayari nishaoza
Chai sukari

Mupenzi hebu koleza  Usije ukakurupuka ukajaniacha kwa jeneza
Familia yangu iko polisi inakutafuta wewe
Nasikia unabonge la kesi la kuniteka mie
oooh loo loo loooh
La kuniteka mie
aaaaaah aaaaah aaaaaaaaah
Wambie wajue
Mi kwako nishatia nangaa
Nimeona wengi sana
Wazuri sana
Ila kwako nimekwama
Sijatereza kukuchagua
Nichochee, nichochee
Kama moto unichochee
Vunja mifupa kama meno ipooo

Kwatu
Roho yangu kwatuu
Kua na wewe

Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu kwatu
Roho yangu kwatu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu

Nikishika kiuno
Unishika mabega
ayayaaah
Unavonigusa kokote mwenzako naregea
ayayaaaaaah
Baby humo humo
Uliponishikia
ayayaaaayaah
ayayayaaayaah

waambie wajue mi kwako nishatia nangaaaa  a