NISHACHOKA LYRICS BY HARMONIZE
yeeeaahhh
mmhhh mmhm eeeaa
kila chenye maremu na mpama hua hakikosi mwisho
(oohhoo mwisho)
ya nini kurumbana kukicha bila suluhisho
(ooohhh ouuuuu)
huenda kisicho ridhiki hakiliki sa yanini tutoane roho
nimepungukiwa kipi mbona naishi
sina hata jibalaa ohhhh
na ule utwana wa mapenzi kushindana mi na wewe
nliuvumilia nasijaona tamaa ooohhh
sio kama siwezi kupata aliye zaidi ya wewe
ila hai dunia najichunga sana
tena naandika huu wimbo usijipe moyo labda nakufikiria
nataka iwe fimbo mwenye sura ya choyo ukome kunifatilia
nataka iwe fimbo mwenye sura ya choyo
nishachoka
nishachoka
nishachoka
wacha ukweli nkwambie
kukicha vijembe nishachoka
dharau maneno nishachoka
uuu masimango nimechoka ohhhhh
No comments:
Post a Comment