Friday 26 February 2016

LETIGO lyrics by Nameless and Nyashisnki

We are, we are, we are, we are

 (CHORUS)
Some-sometimes we are serious
Sometime baby we #letigo
Sometimes we are serious
Sometime baby we #letigo
Oooh oooh.......  we #letigo
Oooh oooh........ we #letigo
Sazingine napenda raha
Shangwe shangwe eeeeh
Yatayonijia nayowaza
Sazingine nasema acha iwe
Sanzingine napenda mzaha
Na yule na yule
Lakini wakileta vita, hatutatulia
Sazingine twapenda ragaa
Sazingine twacheza chakacha
Sazingine ugali sukumawiki
Sazingine twakula ma burger
Sazingine nakaa kwa economy
Sazingine ni business class
Sazingine kikombe ya uji
Sazingine champagne kwa glass

  (CHORUS)
Sazingine twapata msiba ya kuhuzunisha
Sazingine twapata baraka ya kufurahia
Sazingine ama low
Sazingine ama high
Sazingine am getting a blessing from the man in the sky
Weka mkogojo chinini takupa mpee chini chini punguza wee
Apa siri si sisi ndo siri ya kuwa mwisho punguza uzee ×2

(CHORUS)
Shangwe shangwe (shangweee)
If you are feeling me shangwe (shangweee)
If you are feeling me am feeling you
Coz you feeling me shangwe (shangwee) ×2

  (CHORUS)
We #letigo
We #letigo
We #letigo
We #letigo

Tuesday 16 February 2016

Make me sing lyrics by AKA X Diamond platinumz

Oh nanananananana oh nanananana
Sweet something you all I want
Can't tell me nothing stole my heart
Praise God that he made you
See nobody, nobody replace you
So tell me have you seen her
African queen, number one diva
State your bidi bum thing
Inna Tanzania
  
(CHORUS)
Oh ta ta ta tara
Ta ta ta tarara  (tarara)
Ta ta ta tara (ta ta rara)
Nta nta nta ntara rara
Oh mama your gona make me sing
Ta ta ntara (ona naimba)
Ta ntara (giving thanks and pray)
Ta ta ntara (feeling your embrace)
Uh ta ntara (you're my everything)
Ta ta ntara (one and only queen)
Uh ta ntara (hee hee eh)
Ta ta ntara (oh oh oh)
Uh ta ntara (any time and any place)
When I'm looking to your eyes
Furaha yangu naiona
Pressure unani minimize
Napoongea napoea  (ni wewe)
Anayenichanganya (ni wewe)
Asi kwa chanya  (ni wewe)
Anayenichanganya (ni wewe)
Shibe yangu mama (ni wewe)
Eh hee hee, hivyo hivyo
Hivyo chunga tusije tengana
Hivyo hivyo
Taratibu tutafika mama
Na ngoma yako isakata
Nakoma dance ukikata
Sangoma wa nini nshanasa
I swear you de make me sing

  (CHORUS)
We....
Fresh and clean, you want something
Then chop my money oh
Ah yeah, no long team I invite you to my bedroom party oh (oh yeah)
Take a shot and pop the bubby
Glass is up you got to love me
Ah break it down we make girlen
Sweet like cardio
Ah
You de queen of my kingdom
Number one in a million
Bout time I put the ring on
Bad girls got their eyes on my income
No stress or drama
Jah bless, asante sana
Give thanks to God for my queen love
Dar Es salaam put up your drink up

  (CHORUS)
Any time and any place
Singing everyday
Giving thanks and pray
Feeling your embrace
You're my everything
One and any queen
Oh weh weh weh weh!

Moto moto lyrics by Amos and Josh

Watu wengi nimeona, mfano wako hakuna
Kwa wema umesifika, imani yako hakika mami
Tabibu wa moyo wangu, utanipa dawa gani ju paumapo sipaoni
Juu yako taabani

 (CHORUS)
Jua likiwaka niwe nawe, mchana kutwa
Jioni likitua jua, usiniache
Tuashe moto, moto, moto mimi nawe
Penzi lituchome tusiwe
Moto, moto, moto mimi nawe
Tusiwe, tusiwe
Moto, moto, moto mimi nawe
Penzi lituchome tusiwe
Moto, moto, moto mimi nawe
Tusiwe, tusiwe
Nikisema nisikwambia, nitaumiza moyo wangu
Na nikisema nikwambie, sijui utasema vipi mama
Tabibu wa moyo wangu, nitatunga nyimbo gani
Paumapo sipaoni, juu yako taabani


  (CHORUS)
Moto, moto, hili ni sikio la kufa
Haliwezi sikia dawa, labda busu moja la power
Moto, moto itabidi nimewachuja
Ili nipate yangu fursa ya busu moja la power
Moto, moto hili ni sikio la kufa
Haliwezi sikia dawa, labda busu moja la powe

  (CHORUS)

Saturday 13 February 2016

My Darling lyrics by Elani and Chameleone

Certified, verified, qualified

  (CHORUS)
Your my darling, densi mwana mama
Kweli nakupenda sanasana
Honey densi mwana mama, penda sanasana
Nakupenda sanasana

Your so delight to me, my baby, my mummy
Now we can never be eeeh.... 
Nitavumilia, nitakukwamilia bado nakupenda sana 
Nitavumilia, nitakukwamilia bado nakupenda sana

(Unknown Language)

(CHORUS)

Kweli mimi baby, nakupenda, penda
Ukisema Kampala sitaenda, enda
Zari katoroka Tanzania, mimi apa kenya sitatoka 
Wewe njoo
But why why you destroy
Nitavumilia, nitakukwamilia bado nakupenda sana 
Nitavumilia eeeeeh.....


  (CHORUS)
Baby wolololololo moyo wangu waenda mbio
I'll never let you go, baby where you go I'll follow

(Unknown language)

  (CHORUS)

Friday 5 February 2016

LUPELA LYRICS BY ALI KiBA

Pokea zangu salamu, kwangu mimi
Mwambie ameshakuwa, nahitaji kukuoa
Kwanza uwe na mume, utambe na uringe
Nami niwe na muke, ili unichunge
Mng'aro wa nuru yako, kama mba la mwezi
Na uzuri wa macho yako, kama yana machozi

  (CHORUS)
Lupe lupe lupe, lupela
Umeumbwa mama, lupela
Lupe uwe wangu, lupela
Inapendeza lupela
Lupe lupe lupe, lupela
Lupe uwe wangu, lupela
Inapendeza
Lupe luwi uwi, lupela
Luwi uwi, lupela
Luwi uwi, lupela
Lupe lupe lupe, lupela
Aaah lupe, lupela
Lupe uwe wangu, lupela
Inapendeza


Honeymoon wapi twende visiwani
Ama chini baharini au tupae angani
Lupela
Mi papa si ujaji, nawe mama si ujaji, lupela
Wal -adal -baudhi eeh lupela

  (CHORUS)

Waite ite marafiki zako
Baba na mama yako, waje lupe lupe aah lupe
Waje wacheze aaah lupe, lupe aaah
Lupe weweee, namcheze eeh aah
Lupe lupela

Thursday 4 February 2016

Kidato kimoja lyrics by JI ft Lil Gheto

Kama safari ya mapenzi, nataka kuianzisha mimi na wewe
Nimepita nimeona wengi, jua moyo umekuchangua wewe ×2
Nikiwa karibu na ua ridi, basi na mimi nitanukia
Kukuoa inanibidi, kwa kila hali umenivutia


 (CHORUS)
Unanikumbuka ila tu unaleta ukaidi
Mimi ni yule yule tuliosoma wote kidato kimoja ah ah ah ×2

Najua mtu halazimishwi kupenda, anapenda mwenyewe
Basi usinikuzishie kidonda wakati wajua dawa ni wewe ×2

Nitapata mimi au nitakosa, utanisononesha kama ukinitosa
Kiangazi hata mvua za masika
Nikikukosa jua nitawewesekaa ×2


  (CHORUS)
Na amini unanikumbuka, hizo zara unaleta kama tunda limeshawiva tulibandua maganda
Nikilikumbuka tulipotoka mama wee, dada wee unanitesa sana
Mama wee, dada wee mbona unanichanganya


  (CHORUS)

Wewe ndiye lyrics by Ameleena and Calvo mistari


Youu are aaah, well well well well
What can I say Iove you, I probably heard from the first time I met you
And what can I do without you, baby I shudder for the fact cause I would have a clue 
Wanipa mahaba wanijaza na furaha, nikiwa nawe nahisi raha 
Kamwe sitatoka apa, hakuna kama weeeewe
Ni mi na wewe milelee..... baby


 (CHORUS)
You were (wewe ndiye tawale la moyo wangu)
You were (Wewe ndiye mwangaza maishani mwangu)
You were (wewe ndiye wewe ndiye sababu jawabu ya ili penzi nayohisi mwangu moyoni 
Ooh baby you are

Nilitafuta pande zote za dunia, nikivumilia aminia ukatokea
Tukapatana na nyoyo zikapendana, tukizugumza ni fikra zikituguza
Mimi nikilala ni wewe ndiye naota juu baby umenifanya ni wewe ndiye napenda
Mosmos na roho inadunda mami, vum vum darling nikupeleke nyumbani kwa wazazi watufunike na baraka
Maishani tufanikiwe na fanaka
I'm in love with the way you take care of me, love me, hold me down, your my queen
I see a future with you look at the star, me and you baby you kno we go far


  (CHORUS)
I look at you I look at me and I see we for eternity 
I see you and family, how beautiful it would be Oh baby ×2

Shake yo BamBam lyrics by Sauti Sol

Follow the music and I'll take you there
Follow the music and I'll take you there

Je vous dance mama
Ongayo ngayo ngayo ngayo mama
Take you down town to disco
Chini kwa chini kiuno, you're my fire, my desire nakupenda
I wanna see the ladies lose control so turn around give it to me, give it to me baby passionately 
Nalingio mama wamanya ndakhuyanza you're my fire, my desire nakupenda


 (CHORUS)
Shake yo bambam 
  Kwenda sukuma..... 
Shake yo bambam 
  Kwenda sukuma..... 
Shake yo bambam 
  Kwenda sukuma..... 
Shake yo bambam 
  Kwenda sukuma.... 
Aaaaaaapo!!! ×2


Kaa rada
Karau wanapita na bash imeshika na drinks zamwagika
Kaa rada
Samba ni kusamba, samba ni kusamba 
Juu madame wa mtaa wanapenda chapaa
Na machali wa mtaa wanapenda kuchana
Sa unapata mabudah wanasare mamatha
Na mamatha wa mtaa wanakwata vijana
Ooh Africa Africa nakuombea watoto wako wasizidi kupotea
Urembo wako usizidi kudidimia ooh yee 
Nalingio mama wamanya ndakhuyanza
You're my fire, my desire nakupenda

  
(CHORUS)

Pakacha wangu lyrics by Rich Mavoko


When I wake up in the morning
  (In the morning, in the morning)
Assume nikiss mdomoni
  (Mdomoni, mdomoni)
Nalala na picha kitandani 
  (Kitandani, kitandani)
Mapenzi yananiumiza moyoni
  (Moyoni, moyoni)
We ndo pacha wangu mrithi wa bibi
Utu na visa vyangu vyote nakukabidhi
Hivi ni mama unaniumiza, usiku ukipiga simu uku unajiuliza
Naskia umeolewa nitaleta zawadi, tunza heshima isiwe mradi


 (CHORUS)
I love you baby baby
I love you baby baby 
Japo shida inabidi nizoee
Sina budi nizoee ×4

Ufinyu wa shilingi kwangu, shimo unaliona
Ukatili wa mapenzi yangu, kwa shibe ya dona 
Kila siku nasali, namwomba mola mja nilinde na hali najua unaniona 
Nishaulizwa sana weehh, hayaa hawaoni tukiongozana wee hayaa
Pacha tusiofanana mimi na we, hayaaaaaah
Kumbe we ndo pacha wangu mrithi wa bibi
Utu na visa vyangu, vyote nakukabidhi 
Hivi mama unaniumiza usiku


  (CHORUS)
Oooh eeehh mavoko
Oooh baby yoooh 
Oooh baby yoooh 
Bila wewe I'm ready
Oooh baby yooh

Chekecha lyrics by Ali kiba


     VERSE 1

Jamani, nataka saule
Kama mapenzi ghorofa, yamejaa kariakoo
Mi nina mapenzi tele kama kwetu kulea wanao nitaka ni wengi ila mimi kwako nyang'anya nyang'anya



     VERSE 2
Nini unataka mi ninamiujiza nini unataka
Ama ni maji ya blue light sema nini unataka
Nikugeuze princess sema nini unataka
Unavyo buringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze princess sema nini unataka
Siamimi yaani siamini yamenipanda kichwani
Mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Siamini yani siamini yamenipanda kichwani mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini


  (CHORUS)
Aya chekecha
Chekecha ×11
Aya chekecha cheketua
Cheke chekecha cheketua
Cheke chekecha cheketua
Cheke chekecha cheketua
Chekecha
Penzi ulinipa mama nami leo nakupatia tena sitaki
Lawama penzi kiapo hakuna
Mi nitakupenda sana mpaka wivu utakimbia nami
Ntalia na wewe mimi kwako nyang'anya nyang'anya

    (Repeat verse 2)

  (CHORUS)

(KULA KWA MACHO ) Ziko remix lyrics by Ay ft Diamond platinumz




Picha ninaanza sharata
Picha ninaanza shawaka
Picha ninaanza nishachanganikiwa
Picha ninaanza sharata
Ukweli mie amenikamata
Kwa jinsi ninavyomwangalia
Akinipatia nami sitamuacha
Kwa nyuma ananipa mineso 
Moyoni ananipa mateso
Wa kishua ila matendo ya ghetto
Mtamu na hapendi vya dezo 
Nakula kwa macho, 5 star girl si mchezo
Ebu ona, ebu ona

Ukweli mie amenikamata
Kwa jinsi navyomuangalia
Akinipatia nami sitamuacha

    Diamond
Aaah ana rangi flani ya kimanga
Lugha lafudhi ya kitanga 
Usiombe akapita na khanga.... wow!!
Nyuma figisu majanga 
Ana mwendo wa kugonya! Tena alivyoshona! Umbo kama katuni wa kuchora...... 
Aah Singida Dodoma! Kitandani Sodoma
Kiuno kama nyuki Dondola.... 
Maneno ya watu sumu yana hila....., wasije leta urefaree ka mpira
Chunga katu usije ukanzira..... ukashikwa na uchizi utajira


Mtoto mukiri (mukire)
Mpaka anaishigidi (shigide)
Hasa akihikidi (gidire)
Yeye ndo mama chivuri (chivuree)
Ukweli mie amenikamata
Kwa jinsi navyomuangalia
Akinipatia nami sitamuacha


Too sexy... to sexy (ya man)
Boujé boujé (di ya man)
Mungu ameumba hapa (ya man)
Natamani nikaseme naye (ya man) ×2

   AY

Naamini amezaliwa, ili mimi niwe nayee..
Mpaka sasa nimechanganikiwa, mpaka yeye awe nami eeeh

Mtoto yani mukiri (mukire)
Mpaka anaishigidi (shigide)
Hasa akihikidi (gidire)
Yeye ndo mama chivuri (chivuree)
Naamini amezaliwa, ili mimi niwe nayee
Mpaka sasa nimechanganikiwa, mpaka yeye awe nami eeeh

Iwe iwee iwee, iwee iwee hii ndoto 
Mtamu mpaka utamu umebeat giza, ukikaa na wengine wanachukizwa

Shipeleke (Di ya man)
Ngoja niogeze (di ya man)
Popote ilizae yangu (di ya man)
Nikapige mazirae (di ya man)

Nakula kwa macho........ kwa macho ×3
Ukweli mie amenikamata
Kwa jinsi navyomuangalia
Akinipatia nami sitamuacha