Showing posts with label AKOTHEE. Show all posts

Friday, 17 March 2017
Monday, 5 December 2016
BENEFACTOR LYRICS BY AKOTHEE
.
.
.
.
.
.
When you are successful, everyone has a story about how you got there, they even have names for it as well; don't mind them, be an independent thinker and grab any opportunity that comes your way to make your life better. Sponsors do sponsor projects and not human beings. No one cares how you go about your bills; there is nothing like sponsors in life, it's just but another name for hustling wisely. Be your own BENEFACTOR.
LYRICS will be available soon

Wednesday, 13 July 2016
YUKO MOYONI LYRICS BY AKOTHEE (OFFICIAL WEDDING VIDEO)
Akotheee ooh ooh ooooh
Verse 1
simziki kwa pesa wala nguo,sijasoma wala piga hatua la chuo
Tena nina madeni mpuguo lakini kadata na mimi
mimi katasaye funguo ,anazama nami bila kituo
Na rangi yangu ya kijaluo ndio inamkata ulimi
usitoe jonzi langu ona sasa nimetulia
Nampa moyo wanguu ,kanipa wake namtunzia
anipigi roho anipa kubwa kubwa sidongo
Nikimpa kidongo,tamu mpaka nakuna kisogo X2
Chorus
la laaaah ananichanganya changanya yuko moyoni
la laaaah kaniweza moyoni mpaka wengine sioni X2
le leeeeh yuko moyoni mpaka wengine sioni
yuko moyoni ata wengine sioni x2
verse 2
yeye aliponifanyia mapenzi nilijuta, nikajifanya ngamia siwezi anguka
sikuacha kulia moyo ukinisuta, nimezunguka Dunia leo nimemkuta
(mi na yeye ye yeyeee, ye na mimi mimiiii)X2
eeeh uchungu uu mwende mataniti si msitupange
maana chungu kimepata mpini wacheni akitwange.X2

ba baaaah kaniweza moyoni mpaka wengine sioni X2

yuko moyoni ata wengine sioni x4
My sweet potato ooh oohhh, my tomato Jossy ooh ohh
u'll never go back king ooh, for i love you * x2
ah ha ha ha basi uza simu ununue voucher
kwa story za umbea joh.
he he he , hi hi hi
Akothee black beauty
goja kwanza
endless, flawless,ebonileess
ha ha ha aaaaaiiiih

Thursday, 14 January 2016
Sweet love lyrics by Akothee ft Diamond platinumz
You know sina ujanja, kwako nimeishona kinywa baba kwako sise(sisemi)
And you know, macho yangu kwako jeuri sina baba, kwako sihe(sihemi)
Wasijekuteka virembe, nami ukaniacha kizembe
Wakati we shamba mi jembe (you are my sweet love)
Kama upendo nyumba tujenge, nitakushonea shati kitenge
Kwa mama si twende (you are my sweet love)
Imara baby oka biwei nyakachee ×2
(CHORUS)
Diamond
Sikuizi upendo karabai zinga upepo wasituzimie
Wakati wa vitina binadamu si unawajua, wengi walaghai
Wasije kesho wakaniibia changamwe, venye uwezo sina nikabaki naugua
Mangapi walishazusha tuzonge
Mangapiii lengo waninyang'anye tonge
Ooh mangapi yakachinja na ng'ombe kiko wapi siofande tutishilie zombe
Kwa pilipili nauwashia nini, sirisiri yetu wewe na mimi
Wawiliwili hivi wana nini
Binadamu bwana ×2
(CHORUS)
Kwanza pilipili yawaashia nini, sirisiri yetu wewe na mimi
Wawiliwili hivi wana nini
Binadamu bwana ×2
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
Verse 1 Pombe ni kichwa kinauma, kishalewa, anajipoza na maji Na mimi hata muda sina, nishamkanya, ninasikiza mamelody Nis...
-
Nyongwa lyrics by kansoul Intro(Mejja) Yoo, Manze, Huu Ni Mejja Manze Okwonkwo Madtraxx, Hii Track ni Noma, Chorus...