Showing posts with label CHIKUZEE. Show all posts
Showing posts with label CHIKUZEE. Show all posts

Tuesday, 19 July 2016

NJAA LYRICS BY CHIKUZEE

  (CHORUS)

Njaa inauma kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inaua kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inauma tunateseka na njaa Kenya

Kila siku tunatafuta kinachotafutwa hakionekani
kila siku tunatafuta kinachotafutwa hakionekani
wametuahidi vitu vikubwa havionekani eeh
tumechoka kunyanyaswa mnatuona tunakufaa na njaa bure
ni kilio changu Kenya yetu kwani imezidi eeh
ni kilio changu Kenya yetu kwani imezidi eeh
viongozi wetu starehe wamezifanya nyingi eeh
na mmesahau njaa imevuka mpaka

  (CHORUS)

Njaa inauma kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inaua kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inauma tunateseka na njaa Kenya

Ukienda kusini kuna watu wanakufa na njaa
ukienda Tanzania kuna watu wanakufa njaa eeh
ukienda Congo kuna watu wanakufaa njaa
ukienda Sarire kuna watu wanakufa njaa
ukienda Somalia kuna watu wanakufa njaa eeh
mpaka Uganda kuna watu wanakufa njaa
njaa imezidi kila kona ya mkoo nasema aisee
penda nchi yako kubwa kweli muhimu eeh
usisahau Kenya yetu ni lazima tuangalie maswala ya njaa

  (CHORUS)

Njaa inauma kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inaua kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inauma tunateseka na njaa Kenya

Tuungane, tushikamane, pamoja, mimi na we
tuwajibike tuishinde njaa

  (CHORUS)

Njaa inauma kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inaua kwani ni nani mwenye asiyejue
nasema njaa inauma tunateseka na njaa Kenya

MAPENZI LYRICS BY CHIKUZEE

We ni jinsi gani unavyompenda sana yule mtoto
weh anavyokupenda, unavyompenda
anavyokupenda nahisi we huoni
hauwezi kulala hawezi kula, unapendana naye
anavyokupenda, kila asubuhi anakupa maneno mazuri
anavyokupenda, mnavyolala anakupapasa

  (CHORUS)

Kama mapenzi ni ufalme, umeletwa na Mola duniani
basi tupendane tuoane, tuwe wengi hapa duniani
Kama mapenzi ni ufalme, umeletwa na Mola duniani
basi tupendane tuoane, tuwe wengi hapa duniani

Kuna kosa lolote ya kwako amekosa?
naomba umsamehe
Kuna kosa lolote ya kwako amekosa?
naomba umsamehe
mna mapenzi matamu mnapopendana mnapotulia pamoja
kwani mambo mmepanga nyinyi wawili mpaka saa hizi mko pamoja
anapokosea uende umwelezee
anapokosea we mzee mweleze

  (CHORUS)

Kama mapenzi ni ufalme, umeletwa na Mola duniani
basi tupendane tuoane, tuwe wengi hapa duniani
Kama mapenzi ni ufalme, umeletwa na Mola duniani
basi tupendane tuoane, tuwe wengi hapa duniani

Mpenzi wangu nivishe taji ili penzi linode
navyokupenda, mwingine mpenzi mi sioni
umenifanya mimi kweli naonekana kiziwi
anaponiita yeyote ile si siri
anaponiita na sauti nzuri, mume wangu ndio yule
mume wangu ndio yule, tutaweza funga ndoa
mi na we

  (CHORUS)

Kama mapenzi ni ufalme, umeletwa na Mola duniani
basi tupendane tuoane, tuwe wengi hapa duniani
Kama mapenzi ni ufalme, umeletwa na Mola duniani
basi tupendane tuoane, tuwe wengi hapa duniani

KICHUNA LYRICS BY CHIKUZEE

Kama kawaidashalalalakwalakwalampakakampala
Chikuzee, Tk2, Morbizo producer, Thurdershizzle
Ausio, kamakawaidamwanamumehaishiwimbio
Ahhh, Chikuzee.

  (CHORUS)

YaniKijijikizima we ndokichunapekeo, Uliyoyambiwaukajitwekanauteo,
Chekisasayamekukutamatokeo, Umebakiwaliahuku we ukopekeo,
YaniKijijikizima we ndokichunapekeo, Uliyoyaambiwaukajitwekanauteo,
Chekisasayamekukutamatokeo, Umebakiwaliahuku we ukopekoe

oooh,
Kama wahengawalivyosema, Kilichonasifakipawesifa,
Sijakataa we ndo la waridi, Uliyenasifakijijikile,
Niliyokuelezauyatekeleze, Ulinifanyamiminalipigazeze,
Eeh, kwahakikasijakuwa Crazy, Ilanakusihi baby usiteleze,
Fikiriwarembonitofauti, Kumbukasikuzakuchezaukuti,
Huamaumbonitofauti, Wenyesurazamvutowenyenasauti,
Unaposhikwa we shikamana, Mifukoyawavulanahaijafanana,
Unaposhikwa we shikamana, Mifukoyawavulanahaijafanana sisterduuu,"

  (CHORUS)

YaniKijijikizima we ndokichunapekeo, Uliyoyambiwaukajitwekanauteo,
Chekisasayamekukutamatokeo, Umebakiwaliahuku we ukopekeo,
YaniKijijikizima we ndokichunapekeo, Uliyoyaambiwaukajitwekanauteo,
Chekisasayamekukutamatokeo, Umebakiwaliahuku we ukopekeo,

Ulidhaninivyemaunavyofanya, Ilahukujuaunapotezamwanya,
Kuhanyahanyahainamaana, Na miminshakukanyakutokazama,
Asiyesikia la mkuuhuvunjikaguu, Yakikukutamakuuutanikumbukatuu,
Asiyesikia la mkuuhuvunjikaguu, Yakikukutamakuuutanikumbukatuu,
Unawapopangafolenikwasababuyamilioni,Lakinikumbukaniwengiwako

mbioni,
Unajengagorofaukiwakwenunyumbani,

Hutembeikwamguuunatembeakwafani,
Ukipigiwasimu full time hupatikani, Machiziwengiwamekumissmaskani,
Ukipigiwasimu full time hupatikani,

Machiziwengiwamekumissmaskanimamaaaaaah iii ahhahhhh,"

  (CHORUS)

YaniKijijikizima we ndokichunapekeo, Uliyoyambiwaukajitwekanauteo,
Chekisasayamekukutamatokeo, Umebakiwaliahuku we ukopekeo,
YaniKijijikizima we ndokichunapekeo, Uliyoyaambiwaukajitwekanauteo,
Chekisasayamekukutamatokeo, Umebakiwaliahuku we ukopekoe

oooh,

Sijaaminindionalilia, Kipindihiki,
Watotowadogokama kina Pichu, Sasawamekuwamarafikizako,
Yameletwananiniyotehaya, Nilishakuelezaukajifanyayaya,
Pesaunazondoahauna, Wanaumewenyepesahawakutakitena,
Watotowadogonizamuyenu, Jishindienimchumbawenu,
Misinaujuzinishasema, Hakikanayeashanifanyampuzi,aaah iii

ahhahhhh,"

  (CHORUS)

YaniKijijikizima we ndokichunapekeo, Uliyoyambiwaukajitwekanauteo,
Chekisasayamekukutamatokeo, Umebakiwaliahuku we ukopekeo,
YaniKijijikizima we ndokichunapekeo, Uliyoyaambiwaukajitwekanauteo,
Chekisasayamekukutamatokeo, Umebakiwaliahuku we ukopekeo,

"Ona, Ona, Onaaahh, 
“Ooh Ona, Ona, Onasasa baby."

SI VIBAYA KUJUANA LYRICS BY CHIKUZEE

Si vibaya minawe kujuana,
Uuuuoooooiiiiiiii,
EeeehhEeeeeeeeee eeeeh Eeeh Eeeh Eeeh

Leo ndio siku ya kwanza ,
Natokea jiji la Mombasa,
Nakutana na dem kipusa, 
Ile mitaa ya posta,
Naye kweli akaniita,
Basi pale sikusitaa,
Nikaitika, nika mfuata,
Naye akaanza kuringaa,

Leo ndio siku ya kwanza,
Natokea jiji la Mombasa,
Nakutana na dem kipusa, 
Ile mitaa ya posta,
Naye kweli akaniita,
Nami pale sikusitaa,
Nikaitika nikamfuata,
Naye akaanza kuringaaa,

  (CHORUS)

Kila siku kweli namtafuta,
Yule dem asiyekua na maringo,
Atanipenda mi, atanilinda mi,
Atanituliza mtima,
Kila siku kweli namtafuta,
Yule dem asiyekua na maringo,
Atanipenda mi, atanilinda mi,
Atanituliza mtima,

Nilimuuliza unaitwa nani,
Basi pale akaanza kucheka, 
Nakichwa akitingisha, 
Akiondoka anaviringisha,

Nilimuuliza unaitwa nani,
Basi pale akaanza kucheka, 
Nakichwa akitingisha, 
Akiondoka anaviringishaaaa,

Ooooh baby, ooooh lady,
Si vibaya minawe kujuana,
Ooooh baby, ooooh lady,
Mi naomba namba za simu tubadilishaneee,

  (CHORUS)

Kila siku kweli namtafuta,
Yule dem asiyekua na maringo,
Atanipenda mi, atanilinda mi,
Atanituliza mtima,
Kila siku kweli namtafuta,
Yule dem asiyekua na maringo,
Atanipenda mi, atanilinda mi,
Atanituliza mtima,

Nilijaribu kumuulizia,
Kama yule dem wanamjua,
Wakasema wanamtambua,
Anafanya kazi nyuma ya posta,

Leo ndio siku ya kwanza, 
Natokea jiji la Mombasa, 
Vitongoji sivijui,
Niliwauliza ntampata vipi

Milima na milima haikutani,
Lakini binadamu hukutana, 
Leo mi nina hamu,
Nilazima tukutane,

Nilichofanya juu chini 
Alasiri tukutaneeee

Ooooh baby, Oooh Lady,
Wakati ulipofika,
Nilimkuta Posta,
Na kundi la wenzake, 
Wakingoja matatu,
Tulikua watatu wawili, 
Mchizi wangu nikafanya dili,
Akaenda kumfuata, 
Akasema mi niende mwenyeweeee,

  (CHORUS)

Kila siku kweli namtafuta,
Yule dem asiyekua na maringo,
Atanipenda mi, atanilinda mi,
Atanituliza mtima,
Kila siku kweli namtafuta,
Yule dem asiyekua na maringo,
Atanipenda mi, atanilinda mi,
Atanituliza mtima X 2

Yeeeeaaa Eeeehh Eeeeeeeeee eeeeh Eeeh Eeeh Eeeh 
 
Chikuzee (Oooh baby)
Chikuzee (Oooh Lady)