SONG: NIACHE
ARTIST: DIAMOND PLATNUMZ
MMh eti nikuombee mema na baraka uzidi fanikiwa
siwezi kamwe waah
mmmh ni sawa na kuifosi sinema kuitazama
na haijanivutia lazima tu ntalala
ooh na kwa barabara ukipita
nenda kulia ukiniona kushoto
sitaki ata tuonane
mmh usije wala ukanita donda vilia
utanchochea tu moto nisije nkutukane
mmh kinacho niumiza nafsi,
kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
kumbe mapenzi sabato
akati nayazidisha mwenzangu nje unayatoa
we cementi me mchanga,
nkasema mapenzi tujenge lisije loa
najitiya mkadalasi naezeka mabati
wachini kenchi unabomoa niache
niache niache
ooh niache,
niache nipambane na moyo wangu (niache)
niaaaa niache me
moyo wangu unahasira
niache oooh niache ooooh
mmh najitahidi silali kwenye kitaanda
huenda nkapunguza ndoto zako
mmh mwilini nina machale utazani mwanga
yote kusahau uwepo wako
mmh laitikama ungekua gari
ningekugonga barabarani
ama nyuki ntoe asali
nkung'ate sura wasitamani
hivi we ungo ulivuja mwali
ama ulivunja sahani
kuniundia matimu kwa mitandao
vijembe vya kazi gani
kinacho niumiza nafsi
kunisikitisha kwa watu kujishongondoa
kumbe mapenzi sabato
akati nayazidisha mwenzangu nje unayatoa
we cementi me mchanga,
nkasema mapenzi tujenge lisije loa
najitiya mkadalasi naezeka mabati
wachini kenchi unabomoa niache
niache niache
ooh niache,
moyo wangu unahisi
niaaache eee
na ukae mbali
niache oooh niache ooooh
niache (niache)
usiwapigie rafiki zangu
niache usithibutu hata
simu yangu niache
ooh me tafadhali niache
mmh ntakudanganya kwa tabasamu
ntakudanganya kwa kucheka
ntakudanganya hata kwa salam
ila moyoni nakuchukia
ntakudanganya kukufollow
ntakudanganya kucomment
ntakudanganya kulike picha
ila siwezi kukuzimia
a
No comments:
Post a Comment