Showing posts with label NONINI. Show all posts
Showing posts with label NONINI. Show all posts

Tuesday, 8 November 2016

TUDUNDE LYRICS BY NONINI FEAT. DIDGE

2016 Nonini is back with two fresh Music Videos produced by ProHabo/BigIdeas and Directed by Willie Owusu

2015 Nonini teamed up with Beat Ya Keggah fron Boston and gave you Mbele.Today we present "Tudunde featuring Didge.

Brand new Video "TUDUNDE" from the Album (MgengeTrue) Mixed and Mastered by Musyoka! In this track Nonini has done a follow up of the classic track Genge Love which was all about the ladies. This time round he blends with the king of Swahili R&B Didge Soul who describes his style as “Real realness” in any situation- no hype, just the way it is.

It is life in poetry, soul and colors - saying what you mean and meaning what you say…” The Vocal prowess on this new track called Tudunde just goes to show that Didge can embarrass anyone who calls themselves a singer in the 254.

Ladies, introducing "TUDUNDE"

Massive Shout out to Dusit D2 Nairobi.
LYRICS WILL BE AVAILABLE  SOON

Tuesday, 19 July 2016

VILE NITAFANYA LYRICS BY JUA KALI, PREZZO, NONINI, SYLVIA


(Jua Cali)


kwa room yangu nimebandika picha zako kwa ukuta
nimepewa madawa kadhaa na mganga za kuvuta
hukumbuki juzi kwa saloon ukisukwa
nywele zako kwa mfuko kila siku nazinusa
nguo ukizianika tu hivi kwa kamba mi nayo kwa nyumba
bra yako ilipotea hujui ni wapi
mi ndio najifunga
hata siwezi kukuambia nini yako jana kwa basi nilikuwa nagusa
ndio huyo kwa korna yangu nimekunja uso hata konda haezi nisumbua
ile usiku kitu yoyote unafurahi kidogo tu mi naskia kujiua
ndio nakuambia Valentine's ikifika sitakununulia maua
wee ni manzi yangu wee ntakupatia matunda
fungua mdomo usiniulize ka ni tamu wee kula
fungua mdomo usiniulize ka ni ngumu wee uma
si ubaya utanipandisia kutafuta kwa nyuma
vile utashiba jo mi itabidi umenikumbuka
Jua Cali
lazima jo hii jina utaikumbuka
Jua Cali


  (CHORUS)


vile ntafanya (nikikupata)
vile ntafanya (nikikuwacha)
vile ntafanya (nikikutaka)
vile ntafanya (nikikuwaza)

vile ntafanya (nikikupata)
vile ntafanya (nikikuwacha)
vile ntafanya (nikikutaka)
vile ntafanya (nikikuwaza)


(Prezzo)


nawapenda wo!
nawapenda wo wo...
te wakitaka wote watapewa mate
kama hautaki sema nikuhande
mimi na wewe tutafika mpaka penalty
chunga goalie
wee kamu
zima hiyo ___ kupe tamu tamu
___ tayari kuna rungu
na ___ tamu onja sio chungu
cheki mazee nilivokuwa m___
___ tu walahi sio sumu
after all,
it's good for you
niamini because it's true
mimi na wewe tu hadi juu mbingu
cloud number tisa poa 'tafika tu
what, what, poa 'tafika tu
cloud number tisa poa 'tafika tu


  (CHORUS)


vile ntafanya (nikikupata)
vile ntafanya (nikikuwacha)
vile ntafanya (nikikutaka)
vile ntafanya (nikikuwaza)

vile ntafanya (nikikupata)
vile ntafanya (nikikuwacha)
vile ntafanya (nikikutaka)
vile ntafanya (nikikuwaza)


(Nonini)


awe mnono au mkonda bado anatoa
awe mdogo au Wambui bado ntamwoa
napenda ule ana Afro
au ___
hata ka umeolewa kumbuka operation fagia
hapa hakuna kitu ka hiyo hapa ni operation ___
una watoi walete wote bado ntawa ___
jogoo ametuna rarua kuku na vifaranga
hatutaki zile hazina grip tunataka zile zinabamba
ka naongea ma___ funika maskio nabamba
nanikikuuliza,
nataka ku___
na nikikuonyesha
utataka
hakuna rules kwa hii game hata kwa kichaka
nakutana na wee supermarket hapo hapo nataka
bora wee ni manzi mpoa, usiwe kiraka
na una kifua ndogo
na nyi wa mahaga
usijali hizi line niliandika nikiwa mashada
sheets zangu ata jo ukizichafua
hizo jeans na ngotha jo hutachafua
ntakuwa nazipeleka wapi White Maua
White Rose
White Maua


  (CHORUS)


vile ntafanya (nikikupata)
vile ntafanya (nikikuwacha)
vile ntafanya (nikikutaka)
vile ntafanya (nikikuwaza)

vile ntafanya (nikikupata)
vile ntafanya (nikikuwacha)
vile ntafanya (nikikutaka)
vile ntafanya (nikikuwaza)

Wednesday, 13 July 2016

WEE KAMU REMIX LYRICS BY NONINI FT JUA KALI


Intro [Nonini]

Calif, Genge remix

Watu wa Kenya wana tabia mbaya

Nonini ana tabia mbaya


Jua Cali ana tabia mbaya


Verse 1 [Nonini]

Bado home leo utanipata, sitatoka

Hii ni remix yangu ya kwanza na nina hope imetoka

Nimekuwa kwa keja tu nikipika nikikushugulikia

Ngoma yako wee kamu siunaiskia

Vile iko poa jako yako na trao kila kitu toa

Kuna siri yoyote unaeza like kuniambia toboa

Ushaiguzwa mahali ukaskia ku-kohoa leo mi na we au sio poa poa

Umesahau home ambia ule concodi ata kudondoa

Kwetu hapo inje na gate si ya blue

Kuna style mpya, ebu kwanza inua mguu juu

Ntainua polepole jo sababu minashuku

Shingo yako konda inaeza vunjika ka ya kuku

Naika chemshwa jo na wasee wakunywe supuu

Naeza tembea kwa chupa zimevunjika mguu tupu

Niji fanya sugu sabu yako tu, sabu yako tu



Chorus [Nonini]

Leo niko kwa keja (sabu yako tu)

Sitoki hapa (sabu yako tu)

Kwa hivyo ukitaka 

We we we we kamu

Leo niko kwa keja (sabu yako tu)

Sitoki hapa (sabu yako tu)

Kwa hivyo ukitaka 

We we we we kamu



Verse 2 [Nonini]

Jua Cali

Ushaichota mtoto kwa haga


[Jua Cali]

Aa sijaichota mtoto wowote kwa haga

Lakini nakuambia jo

Hiyo ndio nime panga

Siku ka leo vile manzi yangu ana kuja kunicheki

Kabla aingie keja lazma ni make sure bado inaeza steady

Bado inaeza ingiza ata ka ame keti

Kwanza zile tembe zangu za viagra vipi

Zime expire ama bado ziko fiti (ziko fiti)

Zimetumiwa na mtu ama bado ziko chini ya ile kiti (hii kiti) 

Achana nazo ikifika atanipigia magoti nimbariki

Na juala staki mtaani kuwe na mazishi

Kwa hivyo we kamu, we kamu tu ongeze raha na watu kwa nchi

Bora leo uniachie tu nizame vimbichi

Bora leo uniachie nikushike hivi

Nikupeleke juu, nikupeleke juu mpaka utapike skuma wiki

Elephant run, ningeiskia mpaka kwa coach

Akule itakuwa ibidi

Unastuka nini bana hii ni remix tu

Ka we ni manzi nakungoja kwa keja, we kamu tu, we kamu



Chorus [Nonini]


Leo niko kwa keja (sabu yako tu)

Sitoki hapa (sabu yako tu)

Kwa hivyo ukitaka 

We we we we kamu
Leo niko kwa keja (sabu yako tu)

Sitoki hapa (sabu yako tu)

Kwa hivyo ukitaka 

We we we we kamu


Verse 3 [Nonini]


Kuna food poa hapa napika

Na usivae jeans imekushika

Ju ya meza leo lazima utakatika

Bila kiti vile utafanya cheza kwa speaker

Na leo usikuje peke yako kuja na beshte zako

Leo nataka combi sikutaki we peke yako

Usiseme unaenda wapi staki noma na masako

Sema unenda laibu staki noma na budako

Anajua si ni ma beshte leo ni poa

Nikifunga mlango tu hivi nipate ushatoa

Unakumba ile chakula nilikuambia

Haiezi ngoja, nitamu kwa ulimi na ukitake unaeza onja

Mdogo mdogo jo hajui inaeza kunyonga

Umejaza mingi kwa mdomo utashindwa kubonga

Tulia nikafungue mlango kuna mzungu ana ngoja

Anamoto jo ananiambia anataka kutototoka


[Nonini]

Nywele leo nimenyoa (sabu yako tu)

Pia chini nimenyoa (sabu yako tu) 

Nimeoga baada ya wiki moja (sabu yako tu)

Baby boy lazima ataruka (we we we we kamu)


Juala nimenunua kibao (sabu yako tu)

Mabeshte nimewafukuza wakaenda kwao (sabu yako tu)

Bed na keja zote ni safi (sabu yako tu)

Pia nimefukuza gadafi (we we we we kamu)

** pia nimenunua (sabu yako tu)

Mpaka tenje nkaomba (sabu yako tu)

Tape za nyundo ni nazo (sabu yako tu)

Sa fanya hivi (we we we we kamu) remix

Endeleeni kuongea….. ha

Chorus [Nonini]

Leo niko kwa keja (sabu yako tu)
Sitoki hapa (sabu yako tu)
Kwa hivyo ukitaka 
We we we we kamu
Leo niko kwa keja (sabu yako tu)
Sitoki hapa (sabu yako tu)
Kwa hivyo ukitaka 
We we we we kamu

FURAHIDAY LYRICS BY NONINI FT NAMELESS


Verse 1
Cheka na mi ka unajua una-feel poa
Cheka na mi ka wee ni bachelor na hujaoa
Cheka na mi ka umekunywa na unakojoa
                                               Usicheke na mi sabu ni end month pesa ntatoa
Jamaa leo network blunder
Jam saa kumi na moja ndio ilianza
Kweli leo ndio kila mtu hupiga simu
Ni friday siku lazima tuheshimu
Shika mtoto wako mweke karibu nawe
Beste yako mnunulie beer pia naye
Mtu akileta noma hapa pigana naye
Manzi akileta maringo jo achana naye
Kuta mwengine mwambie nipe nawe
C___ kibao jo usinikazie wee
Safi twende ndani ya ndai manze
Bora usiwe mtaro i say
Nameless jo niliskia ana yake
Mo alinikazia itabidi nimetumia tu ma-satchet
Kenya officially iliwafanya drinking nation
Na kila friday jo huwaga ni vacation
Kuchoma nyama ndio kitu ya kwanza
Ushibe vipoa kiugali ndio usiwake haraka
Kuchoma maini ndio kitu ya pili 
Na hii furahiday tunaianzisha na mapili

CHORUS
It is OK (OK) Ni Furahiday
It is OK (OK) Kufurahi day
It's OK (OK) Ni Furahiday
It is OK (OK) Kufurahi day

Verse 2
Ni kama saa kumi ya jioni
Kuna kitu inasumbua rohoni
Niko job niko ndani ya ofisi
And i'm feeling kind of uneasy
Ninaanza ku-perspirate
Veins zangu zina-vasodilate
I seem to be allergic to something
Or something is allergic to me
Najaribu ku-communicate na my friends
Lakini hata masms haziendi
Naangalia... Nje ya dirisha
Magari ndizo hizo
Bumper to bumper
Hata mdosi hajiskii na kazi
Madame wote ofisi wamevaa minisketi
Kwani nonini ni nini today (o-k)


CHORUS
It is OK (OK) Ni Furahiday
It is OK (OK) Kufurahi day
It's OK (OK) Ni Furahiday
It is OK (OK) Kufurahi day
Friday (OK) It's Friday (OK)
Ni Friday (OK) It's Friday (OK)
Verse 3
Niambie leo inaanza kutubamba saa ngapi
Na mamanzi unawaleta ka wangapi
Ukikam na wale ma-twins mambo safi
Nyundo leo inashikana na makabati
Friday kabla nitoke lazima nimevaa jo
Huwezi jua naeza angukia manzi virgo
Na hawa mamanzi hawapatikani kwa bar jo
Tumbo inakuleta chukua gazeti jo
Jibanze na ujisunde nayo kwa choo
Na ikikataa kuenda maji tu kwa ndoo
Cruising kwa gari napitia koinange
Kula na macho tu mzee unaonaje
Usione vile watoto huwanga wamejirembesha
Na kwa klub wanaume ndio hao wanachekesha
Friday vitu hufanyika jo huwanga zinanishangaza
Wasichana kwanza vile huwaga wanazisambaza
Lakini hakuna shida ni friday tena
Sahau shida zako zote na uanze kucheka
Leo ikikurarukia ikubali hakuna haja ya kuteta
Bora tu mfukoni msee kumejaa na mapesa

CHORUS

It is OK (OK) 
Ni Furahiday
It is OK (OK) Kufurahi day
It's OK (OK) Ni Furahiday
It is OK (OK) Kufurahi day
It is OK (OK) Ni Furahiday
It is OK (OK) Kufurahi day
It's OK (OK) Ni Furahiday
It is OK (OK) Kufurahi day

Ka ni Friday na unajua umeoa Pete jo lazima utatoa
Ka ni Friday na unajua umeoa Pete jo lazima utatoa
Ka ni Friday na unajua umeoa Pete jo lazima utatoa
Nonini, na Nameless Ni Fura-hi-day.