Showing posts with label nyashinski. Show all posts
Showing posts with label nyashinski. Show all posts
Saturday, 17 November 2018
FREE LYRICS BY NYASHINSKI
Yeah sawasawa
Nisaidie tu
Tuko works kama kawa chill chill
K the great
Can I be free relax and take easy
We only live one life
So live your life ooh ooh
For yah you know am right yeah
Welcome to better ideas yeah
Gal don't just fantasize yeah
Light up and free your mind yeah
Ata ka unipendi
Unajua ni nani beast apa
Na level za udeadly
Hukua unajua zinaexist ata
Nakuombea daily
Ufike mahali una aim
Before nirudi nijenge na v8 baba
Before they play
me nionyeshe mahali snakes
(Mahali snakes wako)
Surgery hutoana my mistakes
(Inaitwa surgery)
Unaeza acha kucomplain
(Acha kucomplain)
Usiwahi danganya saidieni main
Can I be free relax and take easy
We only live one life
So live your life ooh ooh
For yah you know am right yeah
Welcome to better ideas yeah
Gal don't just fantasize yeah
Light up and free your mind yeah
So dry your tears
daddy don't you worry
Bubu have no fears
Mum said pinga kazi
While am young and strong
I say for you I will be
Strong for a thousand years
Style zangu ni medley
Nyash huwanga mdeadly
Ma rapper wanaona movie
Nyash we hukuanga Jetli
Singa ama ni MC
Zangu zina message
Zao hazina ziko empty
Nyash huwanga mzii (yeah)
Here I go
Geuza flow mwisho wa mwezi
Kuna njeve but atleast kuna doh
Ngoma zote wataandika kunidiss zitabore
Nambie nani amekupea
These many hits in a row row row
Dance for me baby (ooh yeah)
Just dance for me baby (ooh yeah)
Mi ni jina kubwa
Labda tuzungumze na babako
Ngari kubwa umaanishanga
Utaitishwa za macho
Buy mtumba ukihope
Haijabeba hukikulacho
Vibes tu nakupa
Ka unapenda jenga hustle
Lines tu zinakuja
Utasurrender K'mamako
Ni like tu atakama
Nimeweka word mbaya hapo
Hii night ikue true
Hadi kesho ujione kwa mpasho
Hii life huwezi jua so tonight
Can I be free relax and take easy
We only live one life
So live your life ooh ooh
For yah you know am right yeah
Welcome to better ideas yeah
Gal don't just fantasize yeah
Light up and free your mind yeah
Ooh can I be free
(Ooh can I be free)
Relax make easy
(Relax and take easy)
We only get one life
(We only get one life)
So live your life (ooh ooh)
For yah you know am right (yeah)
Welcome to paradise a
Wednesday, 22 August 2018
TUJIANGALIE LYRICS BY SAUTI SOL FT NYASHINSKI
Barua toka Jaramogi na kenyatta,
wanauliza kama kenya kuko sawa
Nikawajibu kenya tukona disaster
Watoto wetu wanazidi kuzikana
Na Tom Mboya ameshika tama
Alituacha kama angali kijana
Je?
Angekua mambo yangekua sawa?
Ndivyo alivyopanga maulana
Deni mlizowacha bado tunalipa (tunalipa)
Na tumekopa zingine China
Tukajenga Reli pia barabara
Zilizobaki watu wakasanya
Tujiangalie tujiangalie
Tuko pabaya Leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
Tujiangalie
Tujiangalie tujiangalie
Tuko pabaya Leo kuliko jana
Tusipoziba ufa tutatenga ukuta
Tusake zetu tugali vijana
Waumini kwa mathree
Na passie kwa Bimmer
Kushoto fungu la kumi
Sadaka kulia
Ndio maana mbele ya kanisa
Mheshimiwa anakula sacramenti kabla ya raia
Siku za mwisho zimeshawadia
Na revelation inatuambia
Hii generation inachoma picha
Ni generation yetu so
Tujiangalie tujiangalie
Tuko pabaya Leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
Tujiangalie tujiangalie tujiangalie
Tujiangalie tujiangalie tujiangalie
Tuko pabaya Leo kuliko jana
Tusipoziba ufa tutatenga ukuta
Tusake zetu tugali vijana
Michuki alisema tufungeni mikanda
Ona leo twavuna tulichopanda
Kura zetu zilitugawanya
Makabila na pesa pia tulimanga
So when you make your "bed-oh"
You lie on it ooh
Usingizi ngani tumelala ?
Tutajua hatujui
Vision 2030 itabaki story
tujiangalie tujiangalie
Tuko pabaya Leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
Tujiangalie tujiangalie tujiangalie
Tujiangalie tujiangalie tujiangalie
Tuko pamoya Leo kuliko jana
Tusipoziba ufa tutatenga ukuta
Tusake zetu tugali vijana
Mdosi aliniambia freedom never comes for free
We vote in tribe ama real cash Ask Boni
Tuna roho mahali hamwezi
Ita gsu plus doggy
World mzima twitter
KOT ndio first body
Burn picha si ni waAfrica
Black koffi Annan
Am richer than my neighbour
But we both live in the slum
If the rich always win
Why should the popular run
Unless democracy ni word si usema only for fun
Tujiangalie tujiangalie
Uuh na hii weekend
Tuko church tunauza sura kabisa
Post ya haga huenda poa
Sana na caption ya scripture
Kaa ndio gospel pitisha bag ya sadaka kwa club
Tujiangalie uuh traffic madrug ubuy ndai
Traffic Mandai zinadrag
Kuadmire mwizi amemek it
Story za shamba wamegrab
Mkono nahoga imevaa bracelet
Ya colours za flag yeah a
Monday, 20 August 2018
HELLO LYRICS BY NYASHINSKI
Paposera bu find you
And I now see iiiih (Hello)
Ata tukikosana isikie nafsi iiiih (Hello)
Mi naomba usiwe (usiwe)
Mkali sana
Oh na na na na na
Usiwe mkali sana
Ona na na na na (Hello)
Eh! Eh!
From the first time I looked in your eyes I knew
(Eh ! eh)
Shinski!
Loving you feels like destiny
Zawadi yangui sauti Yako
Even a rich man envies me
Utajiri wangu tabia zako
I wish I could give you the world
Thamani yako haipimiki
The world would not be enough
Oh na na na na na na
Roho yangu hairidhiki inakuita
Paposera bu find you
And now I see iiiih (Hello)
Ata tukikosana isikie nafsi iiih (Hello)
Mi naomba usiwe
Mkali sana ukiziwi war oho
Mama usiwe
Mkali sana itikia roho inakuita
Hello we, Hello we (yeah)
Hello we, Hello, Hello, Hello
Hello we, Hello we (yeah)
Hello we, Hello, Hello, Hello
Hello we, Hello we (yeah)
Hello we, Hello, Hello, Hello
Hello we, Hello we (yeah)
Hello we, Hello, Hello, Hello
Na kitu nakuahidi
Hautawahi boeka ukiwa na mimi
Mahali nimekuweka ni mahili sijawahi weka mwingine
Roho inakuita itikia usikimye
Kitu nakuahidi
Hautawahi boeka ukiwa na mimi eh
Mahali nimekuweka
Ni mahalo sijawahi weka mwingine
Roho inakuita itikia usikimye yeah
I wish ungejua tu
Sio kuzingua tu
Unanifungia roho yangu nikikufungulia ndani
Najua unajiambia mi ni sumbua tu
Na kitu nakuahidi
Hautawahi boeka ukiwa na mimi
Mahali nimekuweka
Ni mahali sijawahi weka mwingine
Roho inakuita itikia usikimye
Paposera bu find you
And now I see iiiih (Hello)
Ata tukikosana isikie nafsi iiih (Hello)
Mi naomba usiwe
Mkali sana ukiziwi wa roho
Mama usiwe
Mkali sana Itikia roho inakuita
Hello we, Hello we (yeah)
Hello we, Hello, Hello, Hello
Hello we, Hello we (yeah)
Hello we, Hello, Hello, Hello
Hello we, Hello we (yeah)
Hello we, Hello, Hello, Hello
Hello we, Hello we (yeah)
Hello we, Hello, Hello, Hello
Thank God for life (thank God for Life)
Sunshine for light (sunshine, sunshine for light)
And you for making me feel all right
Oh na na na na (feel alright)
Thank God for life (Thank God for Life)
Sunshine for light (sunshine for light…)
And you for making me feel all right (making me feel, feel alright)
Hello we, Hello we (yeah)
Hello we, Hello, Hello, Hello
Hello we, Hello we (yeah)
Hello we, Hello, Hello, Hello
Hello we, Hello we (yeah)
Hello we, Hello, Hello, Hello
Hello we, Hello we (yeah)
Hello we, Hello, Hello, Hello a
Thursday, 3 November 2016
MUNGU PEKEE LYRICS BY NYASHINSKI
Sijui kaa nitaona kesho
kaa ningali na uwezo wa kuifanya
nitaifanya hadi mwisho,
mwambieni huyo devil,
simwogopi sir God yuko nami hadi kifo,
kaa nitaona kesho nipe nguvu na uwezo wa kijana,
nipe nguvu na akili za mzee,
daima niwe,imara wasiniangushe,
naona saa kila siku ni zawadi toka maulana,
so haja gani ushike tama mama,
majaribu huisha oh ya eeeh,
na ata kaa maadui zangu watashikana na zao njama siwaogopi,
na nasimama mama,ya kiama yao yaja eeh
hiyo ndio pace nasonga nayo,
wanashangaa hakuna stress,nakuanga nayo,
naishi sawa sina kesi mahakamani au deni
za majirani niko fresh nje na ndani oh yah eeh,
(chorus)
namwogopa mungu pekee,
mwanadamu akija kunitafashi naomba mungu unitetee,
maneno yao yasiniumize nifanye sugu wewe
wakitry kunitisha naomba nisitetemeke
i know you love me know you love me eeh
so i dont fear nobody but you know i know
(nisitetemeke) x2
ah siamini jo juu vile naishi life ni ngumu kuamini
hii si ndoto,sijui vile kesho itakaa kwa hivyo
leo nitaifanya kaa kidogo huwa hairidhishi roho,
yaani sana tena sana ata wale wananichukia
wananiheshimu bruh me si kidogo,
uh sibabaiki nikisikia mkiongea nazidi kuwapa mi kisogo
na kama saa sisimami,sitaki life iniache mataani
mtaani mwenyezi nichungie familia,
yangu na pia za wale wote sauti yangu wanaisikia,
tupe afya nzuri na maisha matamu
barabara zinyooke waone mfalme ni wewe
(wa kupewa shangwe x2)
(chorus)
i pray we me and my people we never die
say we live forever and forever we multiply
and wherever we go ni nini wanaweza nishow
hata kaa sina kitu,uko na mimi kila siku
kila siku wewe pekee
(chorus)
Sunday, 10 July 2016
Bad Boy Lyrics by Amani ft Nyashinski
Njaro zako, tayari nimekanywa
Penzi lako, naambiwa ni balaa
Nami bado, siwezi kukuwacha
Nifanyeje, na roho ishapenda
Bridge
Oh, nakuwaza Oh, nakutaka
No, but my baby You are such a bad boy
Oh, nakuwaza Oh, nakutaka
No, but my baby You are such a bad boy
Najua unaipenda, unaitaka pia
Naeza tell na design unaiangalia
Sio makosa yako
I am falling for the bad boy Najua unaipenda, unaitaka
Naeza tell na design unaiangalia Si makosa yangu
I am falling for the bad boy
Verse 2
Sura yako, nabaki fikirani Busu lako, siwezi kuilenga
Nami bado, siuoni ubaya wako Nifanyeje, na roho ishapenda
Bridge
Oh, nakuwaza Oh, nakutaka
No, but my baby You are such a bad boy
Oh, nakuwaza Oh, nakutaka
No, but my baby You are such a bad boy
CHORUS
Najua unaipenda, unaitaka pia
Naeza tell na design unaiangalia
Sio makosa yako
I am falling for the bad boy
Najua unaipenda, unaitaka
Naeza tell na design unaiangalia
Si makosa yangu
I am falling for the bad boy
Verse 3
First of all ni obvious
Nyashinski juu ya mic
Unajua vocals ni oh so glorious
Na ni popular
Lakini juu ya meza kuna issue moja biggy ka notorious
Dame mzuri amenoki chali ni jangili
Lakini chali haezi kubali juu ya nini
Oh
Akikubali watasema amekuwa soft
Ka sponge
Haiwezekani
So ana-do nini
Anafikiria kwanza
Situation tricky nani
Mtaani nina respect fiti mami
Ukikubali wataniuliza vipi wadhii
Bridge
Oh, nakuwaza Oh, nakutaka
No, but my baby You are such a bad boy
Oh, nakuwaza Oh, nakutaka
No, but my baby You are such a bad boy
CHORUS
Najua unaipenda, unaitaka pia
Naeza tell na design unaiangalia
Sio makosa yako
I am falling for the bad boy
Najua unaipenda, unaitaka
Naeza tell na design unaiangalia
Si makosa yangu
I am falling for the bad boy
Subscribe to:
Posts (Atom)
-
(E-Sir) Jo nimefika fika wapi ? pirate na mambo bado Kuna kuna kuna kuna kuna kijana mmoja kutoka south c …..Jo! Kijana mwen...
-
Double tap lyrics by kansoul Chorus[Mejja]: Ilianza Na Ka Selfie(Dabotap) Nikaona TBT (Dabotap) Akapiga Screenshot Ya Likes ...