Showing posts with label LENNY. Show all posts
Showing posts with label LENNY. Show all posts

Wednesday, 13 July 2016

AMENIPA JUJU LYRICS BY NAMELESS FT MR. LENNY



Amenipa juju,  oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi
Amenipa juju,  oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi

Verse 1 (Nameless)

Ninamshuku 
Huyo dame supuu
Amenipa juju Namwota kila siku
Nikimwona Nashikwa na kifafa
Naanza kuropokwa Siwezi kusikika
Seniorita Take me to your leader
I can be your slave And you my mamasita
Na hiyo juju Umenipa ni ya nguvu
Siwezi kujitibu Nimerogwa nayo voodoo


CHORUS

Amenipa juju,  oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi
Amenipa juju,  oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi

Verse 2 (Nameless)

Nimeshachizi Nipeleke 'spitali
Nione dakitari Anipe tembe flani
Nikimwona Nashikwa na kifafa
Naanza kuropokwa Siwezi kusikika
Ninawika Oh mama mia
Nipe mi malkia Mapepo zafifia
I need an antidote Namwota kila siku
I need an antidote Ameroga nayo voodoo


CHORUS

Amenipa juju,  oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi

Amenipa juju,  oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi

Verse 3

Kama nimechizi 
Nimerogwa
Na huyu manzi ameniwai
Kama ninanoki Nikicheki
Huyu manzi na mini shorti
kama nimechizi 
Nimerogwa
Na huyu manzi ameniwai
Kama ninanoki Nikicheki
Huyu manzi na mini shorti

Na sasa nimeamua ya kwamba
Mimi nitaenda Kuona witchi dokta
na sasa nimeamua ya kwamba
Mimi mr. Lenny Ntaona witchi dokta


CHORUS

Amenipa juju,  oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi

Amenipa juju,  oh, oh, oh
Ni majuju, nimeshachizi.

Wednesday, 6 July 2016

KAMATA LYRICS BY E-SIR & LENNY




Intro

Ogopa police station presents
inspector E-Sir and Lenny
tumekuja kuwashika
tumekuja kuwashika
hallo...
mko wapi wadada

Chorus
mamanzi
mko sexy
mko tayari
kuienda traki nasi

mabeste mko poa
mko freshi
mko tayari
kuienda traki nasi

ha, kamata
ha, kamata
ha, kamata
wako wako

ha, kamata
ha, kamata
ha, kamata
wako wako

Verse 1
nipe mic maji na mafuta
kibiriti nipate kuwachemsha
speaker mbili tupate kuwaamsha
ili na mic tupate kuwachoma
kisha wapate kucheza hizo ngoma
kwa sababu kila mtu najua kuna traki
ambayo inagonga kama ogopa(boom pa, boom pa)
basi weka mkono kwenye kiuno
na usawanishe sawa na mdundo
peleka nyuma, rudisha mbele
sote tupige makelele

Chorus
mamanzi
mko sexy
mko tayari
kuienda traki nasi

mabeste mko poa
mko freshi
mko tayari
kuienda traki nasi

ha, kamata
ha, kamata
ha, kamata
wako wako

ha, kamata
ha, kamata
ha, kamata
wako wako

Verse 2
tunaposhika mic twasema tena tuna flow
pamoja basi sasa tunacheza hizo songs
wajameni kujeni mskie hii flow
basi weka mkono kwenye kiuno
na usawanishe sawa na mdundo
peleka nyuma, rudisha mbele
sote tupige makelele

Chorus
mamanzi
mko sexy
mko tayari
kuienda traki nasi

mabeste mko poa
mko freshi
mko tayari
kuienda traki nasi

mamanzi
mko sexy
mko tayari
kuienda traki nasi

mabeste mko poa
mko freshi
mko tayari
kuienda traki nasi

Verse 3
tulienda mbali
tukarudi tena
na tuliporudi
wanawika (hakuna show ka Ogopa show)


tulienda mbali
tukarudi tena
na tuliporudi
wanawika (hakuna show ka Ogopa show)

huu mwaka
ka moto tutawaka
na wote waliongea taka taka
bila shaka
wata shh
huu mwaka

Chorus
mamanzi
mko sexy
mko tayari
kuienda traki nasi

mabeste mko poa
mko freshi
mko tayari
kuienda traki nasi

ha, kamata
ha, kamata
ha, kamata
wako wako

ha, kamata
ha, kamata
ha, kamata
wako wako