Monday 17 September 2018

NIACHENI LYRICS BY OTILE BROWN

maneno yatanichoma moyo ila hayawezi kunizui
ungeshanitoa roho neno lako lingekua sheria
tena nidhairi nidhairi utanichukia
japo sijui ni kwa nini maana sababu zangu za kuondoka unazijua
tena nizamsingi.

tatizo hisia zangu haziheshimiwi
mama nakujuwaa
usijifanye eti hujui tatizo mimba yangu ulioitoa

niacheni msione nipo kimya mwezenu nina mengi
wacha nilie na moyo wangu maneno maneno mingi sipendi

i will do better, better, better
i will do better, better, better
tena hauna shukurani utasemaje sikukupenda
nikutumie kwa msingi gani wakati ulinikuta na tesa

nilivyo kupenda na shidi zako mama
na madhaifu yako mama
nikapigana ata vita vyako mama
nikuridhie

nilivyo kupenda na shidi zako mama
na madhaifu yako mama
nikapigana ata vita vyako mama
nikuridhie

niacheni msione nipo kimya mwezenu nina mengi
wacha nilie na moyo wangu maneno maneno mingi sipendi
niacheni msione nipo kimya mwezenu nina mengi
wacha nilie na moyo wangu maneno maneno mingi sipendi

i will do better, better, better
i will do better, better, better
tena hauna shukurani utasemaje sikukupenda
nikutumie kwa msingi gani wakati ulinikuta na tesa a

No comments:

Post a Comment