Friday 14 September 2018

WHY LYRICS BY BEN POL FT HARMONIZE



Ndugu zangu napata, malipo ya usaliti
yakupendwa lakini ikawa sipendeki
sikujua machungu makali kiasi hiki

hii dozi inatibu vilivyo
me staki ooh why
umenifanya nawaza
wangapi ninaowatenda
kila nikikumbuka
najiona mashamba

nguvu zinaniisha
siwezi hata kusimama
kinacho nisikitisha
nastahili haya nguvu zinaniisha
siwezi ata kusimama
kinacho nisikitisha
nastahili haya

why why why why ooh
why why why why ooh
why why why why ooh
why why why why ooh
silali silali silali fofofo X2

ona hayaniishi mawazo ahh
nyingi zinajirudia ahh
penzi lake ndio chanzo ahh
mmmh malipo ni duniani
ahela kuhesabiwa
me nipo bado rehani
nimejitela mwanamkiwa
eeh mmmh

zile heshima kuninyenyekea
nikamuona si chochote kwangu aah
eti maziwa nikampotezea
nilivyomaliza tu shida zangu aah
ukimuona mwambieni
najiuguza najutia

tena najiona limbukeni
yamenifunza ya dunia
yale machozi yasiyo na hatia
yananisurubu (majonzi)
upweke na jiinamia
nimeisha tubu nisamehe

why why why why ooh
why why why why ooh
why why why why ooh
why why why why ooh
silali silali silali fofofo X2

ona hayaniishi mawazo aah
penzi lake ndio chanzo  aah
nguvu zinaniisha
siwezi ata kusimama
kinacho nisikitisha
nastahili haya

a

No comments:

Post a Comment