Friday 14 September 2018

KWATU LYRICS BY ASLAY



Mmwaaah mmwaaah mmwaaah

Baby mi na we nganganga
Usije ukaenda kwa mgaga
Dj ebu piga charanga tuchezee
Wanauliza maswali
Tuwajibu kwa vitendo

Waambieee wajue
Mi kwako nishatia nangaaa
Fumba macho usije danga
Utaniumiza roho
Nikila korosho
Kula karanga, tuzimeze ooh
Usiniache nitatangatanga
Yatima ooh

Unionyeshe alokufunza nyakanga
Kitandani ooh

Nimeona wengi sana
Wazuri sana
Ila kwako nimekwama
Sijatereza kukuchagua
Nichochee, nichochee
Kama moto unichochee

Kwatu
Roho yangu kwatuu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu kwatu
Roho yangu kwatu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu

Ukiwa mbali mwili wote unapooza
Nahisi kama nimekufa na tayari nishaoza
Chai sukari

Mupenzi hebu koleza  Usije ukakurupuka ukajaniacha kwa jeneza
Familia yangu iko polisi inakutafuta wewe
Nasikia unabonge la kesi la kuniteka mie
oooh loo loo loooh
La kuniteka mie
aaaaaah aaaaah aaaaaaaaah
Wambie wajue
Mi kwako nishatia nangaa
Nimeona wengi sana
Wazuri sana
Ila kwako nimekwama
Sijatereza kukuchagua
Nichochee, nichochee
Kama moto unichochee
Vunja mifupa kama meno ipooo

Kwatu
Roho yangu kwatuu
Kua na wewe

Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu kwatu
Roho yangu kwatu
Kua na wewe
Kwatu kwatu kwatu
Roho yangu

Nikishika kiuno
Unishika mabega
ayayaaah
Unavonigusa kokote mwenzako naregea
ayayaaaaaah
Baby humo humo
Uliponishikia
ayayaaaayaah
ayayayaaayaah

waambie wajue mi kwako nishatia nangaaaa  a

No comments:

Post a Comment