Oooh..
Leo kama Kamasutra mama
(kamasutra)
Kama kama Kamasutra mama
(Yeah yeah yeah yeah)
Kama kama Kamasutra baba
(Kamasutra)
Ntakupa kazi upande mlima baby yeah
Na siri zangu zote ntatoboa yeah....
So many things I want to do to you my baby yeah
Na siri zako mi sitatoboa
Huh
Selector, I got something to make you better
Light the fire me napepeta
Light the fire me napepeta
Selector I got something to make you better
Light the fire me napepeta
Light the fire me napepeta
Leo kama kamasutra mama....
(kamasutra)
Kama kama kamasutra beiby
(Yeah yeah yeah yeah)
Kama kama kamasutra baba eeh
(kamasutra)
Chalk wa Nairobi
Manzi wa kipare
Leo ni mahaba nakupatia
Ushawasha nare
Hanjam kare
Leo michuano kiroja mila
Na si malimali(aah)
Hii vibe kali(aah)
Cash madame nakubalika
Mboga juu ya meza
Teleza ki murenda
Washa wood-i na kadhalika
Ooh Venessa
I got something to you wetter
Baby let me kiss better
Light the fire mi napepeta
Selector I got something to make you rise up
Lemmi back it up on you
Light the fire me napepeta
Leo kama kamasutra(kamasutra)
Kamasutra(kamasutra)
Kama kama kamasutra(kamasutra)
Kamasutra(kamasutra)
Mapenzi ya kihuni yanimaliza
Kiuno kama nyingu baby punguza
Nishakubali wanafunzi
Wewe professor wa kamasutra
Mapenzi ya kihuni nimepachika(pachika)
Kiuno kama Nicky beiby tulia(tulia)
Kubali wanafunzi Mimi ni professor(professor)
(Kamasutra)
Mizani kama mimi naondoka nawee
Napiga mahesabu naondoka nawee
Na Mimi nimekubali
Kuondoka na wewe,nawewe
(Kamasutra)
Mizani kama mimi naondoka nawee
Napiga mahesabu naondoka nawee
Na mimi nimekubali kuondoka nawee
Na wewe,baba nielewe
Leo kama kamasutra (kamasutra)
Kamasutra(kamasutra)
Na kama kama kamasutra(
Kamasutra aah aah...)
KAMASUTRA
a
Maua Sama: Hey... Hey .. ooooh... Oh Baby niruhusu tufanane Huku nikiamini one day utanioa baby nikikuona nabanwa na haja Baby nakuwanga kitoto ng'aa ng'aa Tell me, nikipi chakupa mawazo Oh baby wakati nakutunuku Mia Mia Maua x Hanstone Bridge: Kwa kichomi nikande Kwa Moto baridi zigande Kama ruba nigande tuwe wote Ah come baby come bae Msumari kwa nyundo nigongee Oh Monday to Sunday I love you... Chorus: Basi iokote Sio kwa bedi, kwa kochi, kitanda naichumia Iokote Nikiona kwa juu chini naizamia iokote Sungura Nipe karoti maharage sijazoea Iokote Nakunja goti napandisha Mori nachechemea Oh yeah baby baby.... Hanstone: Ukitoka kuoga nitengee ya Moto Moto Tingamo ka kitengee tutoke mtoko Ahh boda kwa boda tutembee chocho kwa chocho Tena nikichoka nibebee mie kwako mtoto Rafudhi ya Pemba rangi rangi ahee Nywele ya kihindi chambi chambi naree Cheza rafu Kona Bambi mpoko mpokovu Maua Sama: Refa katupa penalti aah aaheeeh Mpira ushawekwa kati aah aaheeh Nahitaji magoli kwa chenga zako Piga shuti nikudakie Bridge: Kwa kichomi nikande Kwa Moto baridi zigande Kama ruba nkugande tuwe wote Oh come baby come bae Msumari kwa nyundo nkugongee Oh Monday to Sunday I love you .. Chorus: Basi iokote Sio kwa bedi, kwa kochi, kitanda naichumia Iokote Nikiona kwa juu chini naizamia iokote Sungura Nipe karoti maharage sijazoea Iokote Nakunja goti napandisha Mori nachechemea Oh yeah baby baby
a
Willy pozee Alkaida, nimelipuka kama bomb Alkaida, samahani nikikuboo Alkaida, nitakupiga ukonde boy Alkaida (pozeee) Alkaida, nanukia ka cologne Nivute kama ndom Mi ni yule king of flow** call me commando Kazi ni kuimba tu na kumake doh Tena ananikalia kuna na aibu Anaogopa sana asipate aibu Naomba hii imfikie hadi chibu Na wote wajue kuna jitu Kuna watu wenye roho mbaya Hawapendi ona ukipenya But nabisha kila door Ata waninyonge koo Mimi ndo the king of flow And they know Kwenye mitandao nipo tu kila sehemu Vijijini na mataoni (aah kila sehem) Radio, TV, niko pia kwenye system Ngangari kama root na stem Alkaida, nimelipuka kama bomb Alkaida, samahani nikikuboo Alkaida, nitakupiga ukonde boy
Alkaida Alkaida, najiamini ndumeAlkaida (pozee) Alkaida na kama ww ni ndume Alkaida(jibu) Kama kuna ndume naomba nijibu Usifanye tabia za kiaibu Huyu ni willy poze mr ibubu Just incase ulijisahaulisha Unajaribu kufunga njia zangu za afrika (Afrika ya mama) Unasahau wewe sio sio mungu baba (sio mungu baba) Umekwama plan a Niko plan b Mungu amefungua njia ata na cardi b Kuna rihananana (my rihananana eeh pia) Alkaida, nimelipuka kama bomb Alkaida, samahani nikikuboo Alkaida, nitakupiga ukonde boy Alkaida Alkaida, nimelipuka kama bomb Alkaida, samahani nikikuboo Alkaida, nitakupiga ukonde boy Alkaida Alkaida, najiamini ndume Alkaida(pozee) Alkaida na kama ww ni ndume Alkaida (jibu)
a
kwenye
darkness
kwenye Candle
professional wa ku handle
the way you take me to the angle
wewe ni human being ama angel
if you
want my heart oooh
I give you baby carry go
kidogo changu ndo chako
Ongeza njonjo madoido
(aah eeeeeh!)
my
sheri koko
Kwa baridi nipe joto
(aah eeeeeh!)
kisha tupate kimoko
babu,bibi, kura doto
(aah eeeeeh!)
my
sheri koko
Kwa baridi nipe joto
(aah eeeeeh!)
kisha tupate kimoko
babu,bibi, kura doto
(aah eeeeeh!)
(paranawe
paranawe)
I want to see you dancing
(paranawe paranawe)
I like the way you dancing
(paranawe paranawe)
I like the way you dancing
(paranawe paranawe)
(Vanny
Boy)
hivi unasokota jicho lako
legelege lina dondoka
(nakuuulizaa…)
hivi una ka motor
panga boy
chenga jay jay
ooh kocha
(wanimaliza…)
pretty
gal, nasty
nitasema sorry nikimbeza
ata kama nyuma umetegwa pasi
sura mbaya dawa yake makeup
if you
want my heart oooh
I give you baby carry go
kidogo changu ndo chako
Ongeza njonjo madoido(oooh)
(aah eeeeeh!)
my
sheri koko
Kwa baridi nipe joto
(aah eeeeeh!)
ndo uitwange kokoto
pekupeku kama mpoto
(paranawe
paranawe)
I want to see you dancing
(paranawe paranawe)
I like the way you dancing
paranawe(noga) paranawe(noga)
I like the way you dancing
paranawe(noga) paranawe
Anaeka
sweeti
katamu mi nakajuwa uwa
na kanavyo jishaua uwa
ulimi picky
sinapo na vimaua ua
midomo denda ngozi muruwa uwa
I want
to see you dancing
(paranawe paranawe)
I want to see you dancing
(paranawe paranawe)
I like the way you dancing
(paranawe paranawe)
I like the way you dancing
paranawe(noga) paranawe(noga)
Yeah sawasawa
Nisaidie tu
Tuko works kama kawa chill chill
K the great
Can I be free relax and take easy
We only live one life
So live your life ooh ooh
For yah you know am right yeah
Welcome to better ideas yeah
Gal don't just fantasize yeah
Light up and free your mind yeah
Ata ka unipendi
Unajua ni nani beast apa
Na level za udeadly
Hukua unajua zinaexist ata
Nakuombea daily
Ufike mahali una aim
Before nirudi nijenge na v8 baba
Before they play
me nionyeshe mahali snakes
(Mahali snakes wako)
Surgery hutoana my mistakes
(Inaitwa surgery)
Unaeza acha kucomplain
(Acha kucomplain)
Usiwahi danganya saidieni main
Can I be free relax and take easy
We only live one life
So live your life ooh ooh
For yah you know am right yeah
Welcome to better ideas yeah
Gal don't just fantasize yeah
Light up and free your mind yeah
So dry your tears
daddy don't you worry
Bubu have no fears
Mum said pinga kazi
While am young and strong
I say for you I will be
Strong for a thousand years
Style zangu ni medley
Nyash huwanga mdeadly
Ma rapper wanaona movie
Nyash we hukuanga Jetli
Singa ama ni MC
Zangu zina message
Zao hazina ziko empty
Nyash huwanga mzii (yeah)
Here I go
Geuza flow mwisho wa mwezi
Kuna njeve but atleast kuna doh
Ngoma zote wataandika kunidiss zitabore
Nambie nani amekupea
These many hits in a row row row
Dance for me baby (ooh yeah)
Just dance for me baby (ooh yeah)
Mi ni jina kubwa
Labda tuzungumze na babako
Ngari kubwa umaanishanga
Utaitishwa za macho
Buy mtumba ukihope
Haijabeba hukikulacho
Vibes tu nakupa
Ka unapenda jenga hustle
Lines tu zinakuja
Utasurrender K'mamako
Ni like tu atakama
Nimeweka word mbaya hapo
Hii night ikue true
Hadi kesho ujione kwa mpasho
Hii life huwezi jua so tonight
Can I be free relax and take easy
We only live one life
So live your life ooh ooh
For yah you know am right yeah
Welcome to better ideas yeah
Gal don't just fantasize yeah
Light up and free your mind yeah
Ooh can I be free
(Ooh can I be free)
Relax make easy
(Relax and take easy)
We only get one life
(We only get one life)
So live your life (ooh ooh)
For yah you know am right (yeah)
Welcome to paradise
a
Hodi kwa mama mtoto mkorofi
acha nikwambie ka unataka
Kuona machozi wa mtoto mchokozi.
Itabidi uongeze pili pili kwa Biriani
Otherwise ka sivyo wanachama
Watuliangi aaah tu tuliangi
Na ndukulu ni bangi
Na ina harufu mbaya aaah
Inaudhi majirani
Lakini aidhuru ni sawa aaah
Wacha wahamie mashinani
Ka inawadhuru vibaya
Zinatubastia ka bomb bomb kwa kona
Mimi Nina squad ...
Iko chrome na makonmen na wakora
Wanadiploma zakufunguanisha grogan ma corola
Na bado mnasorora vile amna Talent
Mmegeuza Sodoma na ngomora
Vuta hio trouser juu
Uache kutuonyesha tako
Vuta hio mini chini
Unamhaibisha mama
Ka unatafuta Yule anajua kupika uji
Sio kupiga picha uchi
Unfollow nyako
Follow nyayako ukitaka nyama
Hapa sawa chief hii buchari inaitwa ?
Usiwahi blunder na sisi uwanga ready ka skanga
Bonga shit utatandikwa ka kitambaa bedcover
Ama handkerchief
If your God is money
Then you are poor to me
I have aaah feeling
You are not who you pretend to be on IG
Kutoka nursery have been a winner
Msinieke gasoline na bado mjazima
Moto niliwasha ooh 03
Nakam na finyoo
Macho macho finyoo ooh
Ndivyo tuna Finyoo
Pasito na Finyo
Mwendo tuna
Mwenye tuna
Finyo sanaa aaah
Be ready for the word
As it's ready for you
Waiting your girl
As it's waits for you
Uliskia type yako ka..
Mabachela sijui ka ni true
IG bae ni ule carpenter
I feel ka ni true
Kureason si umang'aa
Ujinga ndio si ukataa
Sacrifice ni kuifanya for
Family sio chapaa aaah
Greatness ni kuamkia legacy
Sio chapaa.
Siwezi kuwa juu ya Thao
Ka kwangu Thao sio chapaa
My apartment is in Amsterdam
Certified rastaman
Aki sometime na hang
I feel like am sadam
I feel like am the best
Me kumake man impress zii
Kufake happiness zii
Mi ni mmerciless am iiih
Na nitawatesa until mkubali kesi
Ka sitaku impress na skill
Ni pamba freshi
Ukidai tuingie commercial still
Nakuwanga messy
Prepare kuingia kwa battle field na mwanajeshi
Hii ndio inaitwa one shot kill
Nafeelingi fiti nikiwamada
Ki action action film
Na believe hii muziki itanibuyia
Mansion still na ...
If your God is money
Then you are poor to me
I have aaah feeling
You are not who you pretend to be on IG
Kutoka nursery have been a winner
Msinieke gasoline na bado mjazima
Moto niliwasha ooh 03
Nakam na finyoo
Macho macho finyoo ooh
Ndivyo tuna Finyoo
Pasito na Finyo
Mwendo tuna
Mwenye tuna
Finyo sanaa aaah
Mwanaume aseme hii shamba siwezi lima
Nakam na plough mbili
Hiyo ingine ni ya finyo pekee (hahaha)
Nikona issue ikiwa juu yangu ka sio kofia
Kwa maissue za vitabu za historia
Jina yangu watoi wako wataisoma pia
Ata ka utadedi ukisema hukuwahi nisikia
Nishakuskia kila year ukilia
Utarun next year si this year
Palianza kulia " walai this year "
Next year nitakuhit niko high juu Niko hai this year
Sitakuwa hai next year juu nitakua high next year
Excuse excuse me
Please sorry Thank you
Mission impossible
Kifo ni ngori job.
Na isikupate ukitry too hard to be perfect
Sometime jipe ruhusa tu kuwa ratchet
Smile is bado ujapita budget
Na ka umepita ficha shida chini ya carpet
Inapiga inapiga eeh kushinda earthquake
Inapiga inapiga eeh kushinda earthquake
Watu na race nao wameshindwa kushusha landbrake
Uhunye na Rao wamepiga handshake
a