Tuesday, 13 November 2018
FINYO LYRICS BY NYASHINSKI
Hodi kwa mama mtoto mkorofi
acha nikwambie ka unataka
Kuona machozi wa mtoto mchokozi.
Itabidi uongeze pili pili kwa Biriani
Otherwise ka sivyo wanachama
Watuliangi aaah tu tuliangi
Na ndukulu ni bangi
Na ina harufu mbaya aaah
Inaudhi majirani
Lakini aidhuru ni sawa aaah
Wacha wahamie mashinani
Ka inawadhuru vibaya
Zinatubastia ka bomb bomb kwa kona
Mimi Nina squad ...
Iko chrome na makonmen na wakora
Wanadiploma zakufunguanisha grogan ma corola
Na bado mnasorora vile amna Talent
Mmegeuza Sodoma na ngomora
Vuta hio trouser juu
Uache kutuonyesha tako
Vuta hio mini chini
Unamhaibisha mama
Ka unatafuta Yule anajua kupika uji
Sio kupiga picha uchi
Unfollow nyako
Follow nyayako ukitaka nyama
Hapa sawa chief hii buchari inaitwa ?
Usiwahi blunder na sisi uwanga ready ka skanga
Bonga shit utatandikwa ka kitambaa bedcover
Ama handkerchief
If your God is money
Then you are poor to me
I have aaah feeling
You are not who you pretend to be on IG
Kutoka nursery have been a winner
Msinieke gasoline na bado mjazima
Moto niliwasha ooh 03
Nakam na finyoo
Macho macho finyoo ooh
Ndivyo tuna Finyoo
Pasito na Finyo
Mwendo tuna
Mwenye tuna
Finyo sanaa aaah
Be ready for the word
As it's ready for you
Waiting your girl
As it's waits for you
Uliskia type yako ka..
Mabachela sijui ka ni true
IG bae ni ule carpenter
I feel ka ni true
Kureason si umang'aa
Ujinga ndio si ukataa
Sacrifice ni kuifanya for
Family sio chapaa aaah
Greatness ni kuamkia legacy
Sio chapaa.
Siwezi kuwa juu ya Thao
Ka kwangu Thao sio chapaa
My apartment is in Amsterdam
Certified rastaman
Aki sometime na hang
I feel like am sadam
I feel like am the best
Me kumake man impress zii
Kufake happiness zii
Mi ni mmerciless am iiih
Na nitawatesa until mkubali kesi
Ka sitaku impress na skill
Ni pamba freshi
Ukidai tuingie commercial still
Nakuwanga messy
Prepare kuingia kwa battle field na mwanajeshi
Hii ndio inaitwa one shot kill
Nafeelingi fiti nikiwamada
Ki action action film
Na believe hii muziki itanibuyia
Mansion still na ...
If your God is money
Then you are poor to me
I have aaah feeling
You are not who you pretend to be on IG
Kutoka nursery have been a winner
Msinieke gasoline na bado mjazima
Moto niliwasha ooh 03
Nakam na finyoo
Macho macho finyoo ooh
Ndivyo tuna Finyoo
Pasito na Finyo
Mwendo tuna
Mwenye tuna
Finyo sanaa aaah
Mwanaume aseme hii shamba siwezi lima
Nakam na plough mbili
Hiyo ingine ni ya finyo pekee (hahaha)
Nikona issue ikiwa juu yangu ka sio kofia
Kwa maissue za vitabu za historia
Jina yangu watoi wako wataisoma pia
Ata ka utadedi ukisema hukuwahi nisikia
Nishakuskia kila year ukilia
Utarun next year si this year
Palianza kulia " walai this year "
Next year nitakuhit niko high juu Niko hai this year
Sitakuwa hai next year juu nitakua high next year
Excuse excuse me
Please sorry Thank you
Mission impossible
Kifo ni ngori job.
Na isikupate ukitry too hard to be perfect
Sometime jipe ruhusa tu kuwa ratchet
Smile is bado ujapita budget
Na ka umepita ficha shida chini ya carpet
Inapiga inapiga eeh kushinda earthquake
Inapiga inapiga eeh kushinda earthquake
Watu na race nao wameshindwa kushusha landbrake
Uhunye na Rao wamepiga handshake a
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
-
Verse 1 Pombe ni kichwa kinauma, kishalewa, anajipoza na maji Na mimi hata muda sina, nishamkanya, ninasikiza mamelody Nis...
-
[Chorus] Watu walishachonga sana Eti Vailet simpati tena Na kuongea uzushi bwana Kwa kuona mambo yetu yananyooka Hata kiss, hug si...
No comments:
Post a Comment