Oooh..
Leo kama Kamasutra mama
(kamasutra)
Kama kama Kamasutra mama
(Yeah yeah yeah yeah)
Kama kama Kamasutra baba
(Kamasutra)
Ntakupa kazi upande mlima baby yeah
Na siri zangu zote ntatoboa yeah....
So many things I want to do to you my baby yeah
Na siri zako mi sitatoboa
Huh
Selector, I got something to make you better
Light the fire me napepeta
Light the fire me napepeta
Selector I got something to make you better
Light the fire me napepeta
Light the fire me napepeta
Leo kama kamasutra mama....
(kamasutra)
Kama kama kamasutra beiby
(Yeah yeah yeah yeah)
Kama kama kamasutra baba eeh
(kamasutra)
Chalk wa Nairobi
Manzi wa kipare
Leo ni mahaba nakupatia
Ushawasha nare
Hanjam kare
Leo michuano kiroja mila
Na si malimali(aah)
Hii vibe kali(aah)
Cash madame nakubalika
Mboga juu ya meza
Teleza ki murenda
Washa wood-i na kadhalika
Ooh Venessa
I got something to you wetter
Baby let me kiss better
Light the fire mi napepeta
Selector I got something to make you rise up
Lemmi back it up on you
Light the fire me napepeta
Leo kama kamasutra(kamasutra)
Kamasutra(kamasutra)
Kama kama kamasutra(kamasutra)
Kamasutra(kamasutra)
Mapenzi ya kihuni yanimaliza
Kiuno kama nyingu baby punguza
Nishakubali wanafunzi
Wewe professor wa kamasutra
Mapenzi ya kihuni nimepachika(pachika)
Kiuno kama Nicky beiby tulia(tulia)
Kubali wanafunzi Mimi ni professor(professor)
(Kamasutra)
Mizani kama mimi naondoka nawee
Napiga mahesabu naondoka nawee
Na Mimi nimekubali
Kuondoka na wewe,nawewe
(Kamasutra)
Mizani kama mimi naondoka nawee
Napiga mahesabu naondoka nawee
Na mimi nimekubali kuondoka nawee
Na wewe,baba nielewe
Leo kama kamasutra (kamasutra)
Kamasutra(kamasutra)
Na kama kama kamasutra(
Kamasutra aah aah...)
KAMASUTRA
a
No comments:
Post a Comment