Sunday 16 December 2018

NATIRIRIKA LYRICS BY ASLAY



Iye Lalalalala..
Lololololo..
Mmmmmhhh...

Sina nguvu ya kuleta matala
Mi kwako fala, Sijiwezi hata kidogo
We nipige hata kwenye hadhara
Mi bado fala,
Sikuachi hata kidogo

Nimesimama nakupenda peke yako
Nilikula ujana Ila kwako nimefunga kwato
Kamwambie na mama Kwamba mimi ndo mpenzi wako 
Waharibu ndugu lawama Penzi letu kuligusa mwiko

Natiririka(iyeee)
Natiririka mama natiririka
Uzani umezidi wa wa kilo(kilooo)
Natiririka, Natiririka mama natiririka
Maji ya shingo yamenifika Natiririka
Natiririka  mama natiririka Yamenifika(oooh)
Natiririka, Natiririka  mama natiririka
Ananipa nacho taka

ndo maaana Simba nimekuwa farasi mnyonge
Bouncer anaepelekwa puta na mende
Yuko wapi mganga wako niende
Nataka nimpeke zawadi kilinge atulie

Na nilikuwa mkata
Ila kwako kidomodomo
Nimekataa nimekataa
Na nilikuwa matata
Ila kwako mtoto
Natamba natamba

Nimesimama nakupenda peke yako
Nilikula ujana
Ila kwako nimefunga kwato
Kamwambie na mama
Kwamba mimi ndo mpenzi wako
Waharibu ndugu lawama
Penzi letu kuligusa mwiko

Natiririka(iyeee)
Natiririka mama natiririka
Uzani umezidi wa wa kilo(kilooo)
Natiririka, Natiririka mama natiririka
Maji ya shingo yamenifika
Natiririka, Natiririka  mama natiririka
Yamenifika(oooh) Natiririka
Natiririka  mama natiririka
Ananipa nacho taka ndo maaana

Natiririka, natiririka Mama
natiririka Mzani umezidiwa kilo kilo
Natiririka, natiririka  mama natiririka
Maji ya shingo yamenifika natiririka
Natiririka, natiririka  mama natiririka
Ananipa nacho taka ndo maaana
Punguza dozi utakuja niua
mwana wa mwenzio
Unanipeleka mperampera

No comments:

Post a Comment