Music is a Universal Language that crosses boundaries and speaks one Language.
LYRICS
Nipe chance? nijitetee tu saa hii
tuende wapii? nikutembeze Dah hii
watu wajue mimi nilishawahi
***sawa nafiki sote zikubali mimi***
umenichanganya umeniduwaza
umenipeleka juu na chini na kunipumbaza X2
mama aah
kama kupe sikutoki
kama kupe sikutoki
kama kupe sikuachilii
kama kupe sikutoki
kama kupe sikuachilii
Nipe fursa nikujibu swali
sio siri mimi nakuwaza mimi
masilahi utaniachia mimi
kama siamini ****
umenichanganya umeniduwaza
umenipeleka juu na chini na kunipumbaza X2
mama aah
kama kupe sikutoki
kama kupe sikutoki
kama kupe sikuachilii
kama kupe sikutoki
kama kupe sikuachilii
sikuachi kwa mkono
***** touch and follow
*************
***********
wewe na mimi ni kama watoto wawili
tukitembea ucheza kila mahali
mara nikulishee, mara unikunyweshee
unanipa vyote siwezi enda kwa mwingine
unanimaliza, unaniweza
ata nikiwa na shida wewe unanitetea Baibee
nyama loote ukanipa kidogo mkononi kuonja
nyama loote ukanipa kidogo mkononi kuonja
kidogo mkononi kuonja
kidogo mkononi kuonja
singejua ana ng'ombe nami nina ng'ombe zangu
namwambia tutengane hataki kwa heri nenda zangu
kama kupe sikutoki
kama kupe sikutoki
kama kupe sikuachilii
kama kupe sikutoki
kama kupe sikuachilii
kama kupe sikutoki