This is Brown Mauzo fifth video featuring Tanzanian maestro Ali kiba.The audio has been recorded by Man water at Combination sounds(Tz) and video shot in South Africa by Nicorux.
SONG: NITULIZE
ARTIST: BROWN MAUZO FT ALI KIBA
AUDIO: MAN WATER
VIDEO: NICORUX
LYRICS.
Ni mara ngapi nimeficha siri nisiseme
na siku ngapi niketi chini nakiwaza
mama moyo mfupa huna husiniumize
husije niua na maumivu
na ushakata mizizi ya raha yangu
tena sicheki mbona sasa ni kilio tu
nimekulilia nimekuzoea wewe
na pendo lako linanipotea
oh nishakwenda mpaka tanga
kwa matibabu, kutafuta dawa nirudi
na mbona hurudi macho yangu yapone
husifanye kusudi ngojwa langu lipone
nimeamini maneno ni sumu yalifanya uondoke
tangu uondoke
tangu uondoke
tamu limegeuka chungu
nakumbuka tamu kitandani hondari mama
kutwa nashika tama na usiku silali X2
Nitulize mama "nitulize"
nimechoka sana "nitulize"
nishakula yamini "nitulize"
sitaki kuzunguka tena naridhika nawe "nitulize"
wamemwanga chungu ndani ya pendo
yangu mimi ALi si tamu tena
eh na nilivyoangaika mpaka ata kupata
sheri eh hawakuniona pendo linaudhi najua
tena nilivyozurura upate kula
leo inaniuma neno ni sumu
ulivyoondoka nilidhani nitazoea
sa naogopa mapenzi nikiyapa sekunde
mama sekunde nikiyapa sekunde
naona sura yako kila sekunde
naona sura yako kila sekunde
No comments:
Post a Comment