SONG : KUFUNIKWA
ARTIST : SOSUUN
PRODUCER : VISITA
VIDEO : YOUNG WALLACE
Kufunikwa means “to overshadow or cover” in Kiswahili and is an expression of Sosuun`s intent to cover the whole Female rap scene in Kenya as her Queendom. “Kufunikwa” has Sosuun`s signature lyrical prowess fused with some comical punch lines over a super catchy club afrobeat. The video is a work of art depicting the new level Sosuun is on. We trust you will enjoy it.
LYRICS
Kufunikwa inaitwa kufunikwa
kufunikwa hii ni kufunikwa
kufunikwa kufunikwa
unabisha...?
unabishaa??
Nipe Duvet, blankets na sheets kadhaa,
Kuna watu wamelala wanafaa kufunikwa,
waeke net spray doom na uwazimie taa
na uwashow your dreams are valid kaa Lupita, aaaarh
Hii hapa tu ni changa moto
mi nasaka hela nifukuze msoto,
na bizz ya hand to mouth me usiniletee,
na kaa ni pesa nina mfuko so usinibebe,
Hao ni Goliath, Sosuun David nawarudisha
walibisha mlangoni, si wanabisha
nilisomesha mistari na zikapita
main-chic na hii ndio inaitwa....
Kufunikwa hii ni kufunikwa
kufunikwa inaitwa kufunikwa
kufunikwa kufunikwa
unabisha ?
unabisha...??
Ushaawai uliza swali ukakosa jibu,
zile X na kuzidisha zakina chibu
mbona unanawa na ujaambiwa karibu?
maswali ya clinic ni ya Jalang'o na Mwakideu
Aki-act single we act kaa widow
si yee ni player mwambie wewe ndio coach
na hii season yote umweke bench
before arudi pitch atakuwa Amefufuka
siri ya serikali ifunikwe, ukifunua si unajua utafunikwa
skiza, kata tamaa hawatajali ata, kwa hivo kata kiuno ndio wajue
CHORUS
Kufunikwa hii ni kufunikwa
kufunikwa inaitwa kufunikwa
kufunikwa kufunikwa
unabisha ?
unabisha...?? X2
Una-overtake na mbele kumefungika
hiyo ni bidii tukatai but itafunikwa
overspeeding kijana si utashikwa
kuna mdudu kaa ni lazima basi funika
CHORUS
Kufunikwa hii ni kufunikwa
kufunikwa inaitwa kufunikwa
kufunikwa kufunikwa
unabisha ?
unabisha...?? X2
No comments:
Post a Comment