Saturday 2 September 2017

ZILIPENDWA LYRICS BY DIAMOND PLATNUMZ,HARMONIZE,RICH MAVOKO,RAYVANNY,



LYRICS

INTRO
Ooh, izo ni zama za kale,
Ohh, sanguro na pepe kalee
Zilipendwa

RAYVANNY
Eeh kizamani, kutoa kadi na maua (zilipendwa)
Wanataka mali,ukilipa unakwarua (zilipendwa)
Ufundi kitandani,sio maguvu kujikamua(zilipendwa)
Unafika ndani,hujatomasa unachanua (zilipendwa)
Wanawake wa leo, wanataka mikakati
Ukiwa mzogaji,hakya mungu huwapati,
Mapenzi ya video yanakutoa kamasi,
Eti nikinywa maji, nakuona kwenye glasi (zilipendwa)
Eeh kupiga chabo ghetto (zilipendwa)
Sunche na kapeto (zilipendwa)
Konno na detto (zilipendwa)
Sunche na kapetio (zilipendwa)
Manje na mobeto (zilipendwa)

DIAMOND
Ooh, izo ni zama za kale, oooh, sanguro na pepe kale
Mmmhh Boringo ndomboro (zilipendwa)
Twanga chipolopolo (zilipendwa)
Maji ya kandoro (zilipendwa)
Simba wa morogoro (zilipendwa)

RICH MAVOKO
Mtaani sipati, skari guru kabisa (zilipendwa)
Ivi yuko api ,mb dogo wa Latiffa (zilipendwa)
Babu Tale wapi papa misifaa (zilipendwa)
Sikuiz party, hatuendagi kabisaa (zilipendwa)
Mpira na Pele (zilipendwa)
Tanu Nyerere (zilipendwa)
Asha ngedere (zilipendwa)
Alusi mabele (zilipendwa)
Eeti uuze nyumba, ueke heshima bar
Eeti mlazimishe alokukataa
Sabuni kicherema (zilipendwa)
Mabanda ya sinema (zilipendwa)
Lipumba na mrema (zilipendwa)
Diamond na Wema (zilipendwa)

DIAMOND
Ooh, izo ni zama za kale, ooh, sanguro na pepe kale
Wakina Soggy doggi (zilipendwa)
Chaneli ya analogi (zilipendwa)
Movie za cyborgi (zilipendwa)
Van Damme Arnoldi (zilipendwa)

QUEEN DARLEEN
Unanibeeb nikupigie, umeiweka vocha?
Ule weewe nilipe mie, umeniona lofa?
Teena na madada wenye, majina acheni visss
Unaitwa ukale dinner, mnakwenda tisaa
Nywele za kichina (zilipendwa)
Pochi za kuazima (zilipendwa)
Zena na betina (zilipendwa)
Bashite gwajima (zilipendwa)

DIAMOND
Ooh, izo ni zama za kale, oooh, sanguro na pepe kale
Mmhh Amita Bachani (zilipendwa)
Tv kwa jirani (zilipendwa)
Madee Rayvanny (zilipendwa)
Zari Ivanny (zilipendwa)

HARMONIZE
Ya nini kunichunguza naishi wapi (zilipendwa)
Nala chapati, kwa mahindi au makapi (zilipendwa)
Kutwa kunikalia,una kamati (zilipendwa)
Ooh yarabi masikini, kunidhihaki
Aah Samba mapangala (zilipendwa)
Pfunk Kajala (zilipendwa)
Onyango na Jangala (zilipendwa)
Lufufu Mkandalal (zilipendwa)
Vyanini vidomodomo, nitupieni tunguli
Kisa pesa za mgomo, msimu wa magufuli
Aah Bongo man yondo (zilipendwa)
Skinde msondo (zilipendwa)
Magari ya udongo (zilipendwa)
Babu wa loliondo (zilipendwa)

DIAMOND
Ooh, izo ni zama za kale, oooh, sanguro na pepe kale
Aah Tv za kichogo (zilipendwa)
Wakina mandojo (zilipendwa)
Gigi ya lyobo (zilipendwa)
Akina tupogo (zilipendwa)

MAROMBOSO
Eeti ni msiba ukiona bundi,unataka kupagawa
Tulale makundimakundi, kuogopa popo bawa
Zueena, ntampata wapii (zilipendwa)
Zueena, na zile nyakati (zilipendwa)
Kujifanya mapanga zuna, ati wamebinga
Wengine wabeba mapanga, na hakuna marinda
Iddi amini dada (zilipendwa)
Miuno ya H. Baba (zilipendwa)
Domo chai jaba (zilipendwa)
Michezo ya kibaba baba (zilipendwa)

LAVA LAVA
Wale wapiga madeal, sasa hali mbaya (zilipendwa)
Hizi zama za magufuli, si za jakaya (zilipendwa)
Ugomvi wa Mr.nicena dudu baya (zilipendwa)
Vikatuni vya madonge baba ubaya (zilipendwa)
Muhogo mchungu Mr.bean wapi Bl bambo
Wale watazamaji wa melini wazee wa ng’ambo
Vifiu vywa vibenjamini wa mambo jambo
Wa Vietnam wa porini vita na rambo na dam jela jela (zilipendwa)
Kidali komborera (zilipendwa)
Max zembwela (zilipendwa)
Juma nature na fella (zilipendwa)

DIAMOND
Ooh, izo ni zama za kale, oooh, sanguro na pepe kale
Mmmh Kama ndala si mda (zilipendwa)
Almanzira ndumba (zilipendwa)
Simu za dole gumba (zilipendwa)
Johari na Kanumba (zilipendwa)

Instrumental
a

No comments:

Post a Comment