SONG: WEWE
ARTISTS: SUSUMILA FEATURING AVRIL
PRODUCER: TOTTI
DIRECTOR: RICKY BEKKO
LABEL: WACHAWI INTERNATIONAL
AVRIL
malo maloo
SUSUMILA
sikia utamu wa ziki la nazi
kila ninapokuona moyo wangu unadundadunda
uyo mimi nakupenda mpaka siku wanipishe sada X2
mama eeh nakupenda nakupenda sana
sweetie eeeh yamulembe yamutadhuuu X2
endapo utapata mwingine moyo utanichomaa
endapo utapata mwingine moyo utaniumaau X2
nakutaka weewee X2
AVRIL
kwanza tulia usije na pupa utaumia
kisa penzi naogopea eti wanitaka X2
wanaume sisi kwenu ni mifupa kwa fisi
mkishibaye mwishowe mwatumwangia matusi X2
aaaaahh
nisije nikaja kwako kisha kaniumiza moyo
nisije nikawa wako kisha kaniumiza moyo X2
SUSUMILA
endapo utapata mwingine moyo utanichomaa
endapo utapata mwingine moyo utaniumaau X2
nakupeendaa weewe
nakutaka weewee X2
mtoto shafu ng'aa tena uko single
kitumbo flati maa na ki****
mashalah mashalah mahaba yote wanibebea
wanipa raha wanipa raha , unafanya nidateeee X2
SUSUMILA
endapo utapata mwingine moyo utanichomaa
endapo utapata mwingine moyo utaniumaau X2
nakupeendaa weewe
nakutaka weewee X2
Wewe lyrics by susumila ft avril are property and copyright of the artists.provided here for music entertainment.
No comments:
Post a Comment