Mimi na wewe
Verse 1
I wish you'd see how I pretty I look
Kuna matime, natamami, ungeona how happy you make me
Haijalishi kuwa haunioni, ninachodhamini ni mapenzi yetu
CHORUS
Mimi na wewe (kitu kimoja) Sioni haya (tukiwa pamoja)

Mimi na wewe (x2)
Verse 2
I wish you'd see, the stars in the sky
Just to know how amazing they look
I wish you'd see me write this song for you
Alafu cheki wasee wakibambika
Haijalishi kuwa haunioni, ninachodhamini ni mapenzi yetu
CHORUS
Mimi na wewe (kitu kimoja) Sioni haya (tukiwa pamoja)
Mimi na wewe (kitu kimoja) Sioni haya (tukiwa pamoja)
You use your heart to see what most with sight don't see
Waona kila jinsi ya kunifurahisha wafanya nihisi mapenzi ya kweli yapatikana
Mimi na wewe (x5)
Mimi na wewe (kitu kimoja) Sioni haya (tukiwa pamoja)
Mimi na wewe (kitu kimoja) Sioni haya (tukiwa pamoja)
No comments:
Post a Comment