Tuesday, 12 July 2016

NAJIVUNIA KUWA MKENYA LYRICS BY TRAPEE FT AVRIL


Verse 1
It's a brand new day, hakuna matata
What's for breakfast, fresh tea from Kericho
Going down with matoke from Kisii
Music playing, Ohangla on radio
My journey starts from Kisumu, pacho
My destination, Mombasa kwa Fatuma
Along the way, I'm shopping as i go
Napiga picha on my way as i go


CHORUS
Najivunia Najivunia kuwa Mkenya
Najivunia Najivunia
Najivunia kuwa Mkenya Najivunia


Verse 2

I wait some way, I buy sukari nguru
Made from sugar cane, grown in Mumias
Not forgetting the kuku, all for Fatuma
Who's sweeter than kuku, waiting for me there
I arrive in Kitale Nipe mahindi choma
Na uiweke chini Keep change my broda
Nikimsubiri mpenzi Aje kwangu vyema
Safari 'takuwa ndefu Na najua ana njaa
Kamwandalia waru And some ngwaci
Yaani sweet potato For my sweet potato


CHORUS
Najivunia Najivunia kuwa Mkenya
Najivunia Najivunia
Najivunia kuwa Mkenya Najivunia

No comments:

Post a Comment