Tuesday 21 August 2018

BABY LOVE LYRICS BY OTILE BROWN

BABY LOVE LYRICS BY OTILE BROWN


Dhamani yako Uzuri wako, Naujua mwenyewe
Sikuach, pengine uniache wewe Raha ili mradi unanipenda
Peke yetu tutaishi kwenye dunia Sikuachi Pengine uniache wewe

We ni jiko Wewe jiko langu mama, Mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu, We ni jiko jiko langu mama
Mboni ya macho yangu, Nitakulinda mpenzi wangu

Achana nao (nao)
Achana nao (nao)
Uuuuh Achana nao
Hao wenye roho mbaya wanatusema vibaya
Baby love Wewe wangu mimi wako wa moyo
Oooh baby love Usije niacha kwa fitina Na maneno yao
Baby love wewe wangu mimi wako wa moyo
Oooh baby love Usije niacha kwa fitina Na maneno yao

Huna habari jinsi gani, moyo Wangu unaupendeza
Wewe ndio furaha yangu, wewe ndo wa maini yangu
wewe ni jiko langu mama, Mboni ya macho yangu
Nitakulinda mpenzi wangu, wewe ni jiko jiko langu mama
Mboni ya machoa yangu, Nitakulinda mpenzi wangu

Achana nao (nao)
Achana nao (nao)
Uuuh achana nao
Hao wenye roho mbaya
Wanatusema vibaya
Achana nao (nao)
Achana nao (nao)
Uuuh achana nao
Hao wenye roho mbaya
Wanatusema vibaya

Baby love Wewe wangu Mimi wako wa moyo
Oohh baby love usije niacha Kwa fitina na maneno yao
Baby love Wewe wangu Mimi wako wa moyo
Oh baby love usije niacha Kwafitina na manero yao
Baby love Wewe wangu Mimi wako wa moyo
Oh baby love usije niacha kwa fitina Na manero yao
Baby love wewe wangu mimi wako wa moyo
Oh baby love usije niacha kwa fitina Na manero yao
Jiko langu mama Mboni ya macho yangu Nitalinda mpezi wangu a

No comments:

Post a Comment