Barua toka Jaramogi na kenyatta,
wanauliza kama kenya kuko sawa
Nikawajibu kenya tukona disaster
Watoto wetu wanazidi kuzikana
Na Tom Mboya ameshika tama
Alituacha kama angali kijana
Je?
Angekua mambo yangekua sawa?
Ndivyo alivyopanga maulana
Deni mlizowacha bado tunalipa (tunalipa)
Na tumekopa zingine China
Tukajenga Reli pia barabara
Zilizobaki watu wakasanya
Tujiangalie tujiangalie
Tuko pabaya Leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
Tujiangalie
Tujiangalie tujiangalie
Tuko pabaya Leo kuliko jana
Tusipoziba ufa tutatenga ukuta
Tusake zetu tugali vijana
Waumini kwa mathree
Na passie kwa Bimmer
Kushoto fungu la kumi
Sadaka kulia
Ndio maana mbele ya kanisa
Mheshimiwa anakula sacramenti kabla ya raia
Siku za mwisho zimeshawadia
Na revelation inatuambia
Hii generation inachoma picha
Ni generation yetu so
Tujiangalie tujiangalie
Tuko pabaya Leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
Tujiangalie tujiangalie tujiangalie
Tujiangalie tujiangalie tujiangalie
Tuko pabaya Leo kuliko jana
Tusipoziba ufa tutatenga ukuta
Tusake zetu tugali vijana
Michuki alisema tufungeni mikanda
Ona leo twavuna tulichopanda
Kura zetu zilitugawanya
Makabila na pesa pia tulimanga
So when you make your "bed-oh"
You lie on it ooh
Usingizi ngani tumelala ?
Tutajua hatujui
Vision 2030 itabaki story
tujiangalie tujiangalie
Tuko pabaya Leo kuliko jana
Sikio la kufa halisikii dawa
Tuko kwa Twitter tunajibizana
Tujiangalie tujiangalie tujiangalie
Tujiangalie tujiangalie tujiangalie
Tuko pamoya Leo kuliko jana
Tusipoziba ufa tutatenga ukuta
Tusake zetu tugali vijana
Mdosi aliniambia freedom never comes for free
We vote in tribe ama real cash Ask Boni
Tuna roho mahali hamwezi
Ita gsu plus doggy
World mzima twitter
KOT ndio first body
Burn picha si ni waAfrica
Black koffi Annan
Am richer than my neighbour
But we both live in the slum
If the rich always win
Why should the popular run
Unless democracy ni word si usema only for fun
Tujiangalie tujiangalie
Uuh na hii weekend
Tuko church tunauza sura kabisa
Post ya haga huenda poa
Sana na caption ya scripture
Kaa ndio gospel pitisha bag ya sadaka kwa club
Tujiangalie uuh traffic madrug ubuy ndai
Traffic Mandai zinadrag
Kuadmire mwizi amemek it
Story za shamba wamegrab
Mkono nahoga imevaa bracelet
Ya colours za flag yeah a
No comments:
Post a Comment