Monday 20 August 2018

ATARUDI LYRICS BY HARMONIZE





Angalieni wanadamu na Dunia tunapita
Kama kupata kwa zamu Ooh! Zamu yangu itafika
Suizika na damu kesho watajanizika
Ila ningependa fahamu haya mateso ulonipa

Mmh tena mwambieni aloninyima mimi
Ndio kampa yeye yee
Kupata foleni nasubiri yangu mimi
Ata ichelewe eheee !! Ooh

Sina furaha naingiza Ili mradi watoto wasijihisi vibaya
Aah uyu mdogo ananiuliza,eti Dad mama amehihama kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusema.

Aah atarudi (eeh) atarudi mama
Aah atarudi anawapenda sana
Aah atarudi atawaletea zawadi
Aah atarudi atarudi mama
Aah atarudi atarudi mama
Aah atarudi anawapenda sana
Aah atarudi atawaletea zawadi
Aah atarudi iiiih

Siwezi sema sijui tatizo, hali yangu duni
Imefanya ukanikimbia
Ni vyema ungefanga maigizo
Mara kumi usingenizalia
Mmh ingali mapenzi pekee
Ningesema ni changa moto nijifunze
Ameniacha mpwekee na watoto niwatunze

Eeh ila siwezi mlaumu aah
Uenda yupo sawa Aah
Kipato changu kigumu Aah
Kutwa kumunda na kahawa Aah

Mmh ila mwambieni aloninyima mimi
Ndio kampa yeye yee
Kupata foleni nasubiri yangu mimi
Ata ichelewe eheee !! Ooh

Sina furaha naingiza Ila mradi watoto wasijihisi vibaya
Aah uyu mdogo ananiuliza,eti Dad mama amehihama kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusema

Aah atarudi (eeh) atarudi mama
Aah atarudi anawapenda sana
Aah atarudi atawaletea zawadi
Aah atarudi atarudi mama
Aah atarudi atarudi mama
Aah atarudi anawapenda sana
Aah atarudi atawaletea zawadi
Aah atarudi iiiih
a

No comments:

Post a Comment