Wednesday, 13 July 2016

WEE KAMU REMIX LYRICS BY NONINI FT JUA KALI


Intro [Nonini]

Calif, Genge remix

Watu wa Kenya wana tabia mbaya

Nonini ana tabia mbaya


Jua Cali ana tabia mbaya


Verse 1 [Nonini]

Bado home leo utanipata, sitatoka

Hii ni remix yangu ya kwanza na nina hope imetoka

Nimekuwa kwa keja tu nikipika nikikushugulikia

Ngoma yako wee kamu siunaiskia

Vile iko poa jako yako na trao kila kitu toa

Kuna siri yoyote unaeza like kuniambia toboa

Ushaiguzwa mahali ukaskia ku-kohoa leo mi na we au sio poa poa

Umesahau home ambia ule concodi ata kudondoa

Kwetu hapo inje na gate si ya blue

Kuna style mpya, ebu kwanza inua mguu juu

Ntainua polepole jo sababu minashuku

Shingo yako konda inaeza vunjika ka ya kuku

Naika chemshwa jo na wasee wakunywe supuu

Naeza tembea kwa chupa zimevunjika mguu tupu

Niji fanya sugu sabu yako tu, sabu yako tu



Chorus [Nonini]

Leo niko kwa keja (sabu yako tu)

Sitoki hapa (sabu yako tu)

Kwa hivyo ukitaka 

We we we we kamu

Leo niko kwa keja (sabu yako tu)

Sitoki hapa (sabu yako tu)

Kwa hivyo ukitaka 

We we we we kamu



Verse 2 [Nonini]

Jua Cali

Ushaichota mtoto kwa haga


[Jua Cali]

Aa sijaichota mtoto wowote kwa haga

Lakini nakuambia jo

Hiyo ndio nime panga

Siku ka leo vile manzi yangu ana kuja kunicheki

Kabla aingie keja lazma ni make sure bado inaeza steady

Bado inaeza ingiza ata ka ame keti

Kwanza zile tembe zangu za viagra vipi

Zime expire ama bado ziko fiti (ziko fiti)

Zimetumiwa na mtu ama bado ziko chini ya ile kiti (hii kiti) 

Achana nazo ikifika atanipigia magoti nimbariki

Na juala staki mtaani kuwe na mazishi

Kwa hivyo we kamu, we kamu tu ongeze raha na watu kwa nchi

Bora leo uniachie tu nizame vimbichi

Bora leo uniachie nikushike hivi

Nikupeleke juu, nikupeleke juu mpaka utapike skuma wiki

Elephant run, ningeiskia mpaka kwa coach

Akule itakuwa ibidi

Unastuka nini bana hii ni remix tu

Ka we ni manzi nakungoja kwa keja, we kamu tu, we kamu



Chorus [Nonini]


Leo niko kwa keja (sabu yako tu)

Sitoki hapa (sabu yako tu)

Kwa hivyo ukitaka 

We we we we kamu
Leo niko kwa keja (sabu yako tu)

Sitoki hapa (sabu yako tu)

Kwa hivyo ukitaka 

We we we we kamu


Verse 3 [Nonini]


Kuna food poa hapa napika

Na usivae jeans imekushika

Ju ya meza leo lazima utakatika

Bila kiti vile utafanya cheza kwa speaker

Na leo usikuje peke yako kuja na beshte zako

Leo nataka combi sikutaki we peke yako

Usiseme unaenda wapi staki noma na masako

Sema unenda laibu staki noma na budako

Anajua si ni ma beshte leo ni poa

Nikifunga mlango tu hivi nipate ushatoa

Unakumba ile chakula nilikuambia

Haiezi ngoja, nitamu kwa ulimi na ukitake unaeza onja

Mdogo mdogo jo hajui inaeza kunyonga

Umejaza mingi kwa mdomo utashindwa kubonga

Tulia nikafungue mlango kuna mzungu ana ngoja

Anamoto jo ananiambia anataka kutototoka


[Nonini]

Nywele leo nimenyoa (sabu yako tu)

Pia chini nimenyoa (sabu yako tu) 

Nimeoga baada ya wiki moja (sabu yako tu)

Baby boy lazima ataruka (we we we we kamu)


Juala nimenunua kibao (sabu yako tu)

Mabeshte nimewafukuza wakaenda kwao (sabu yako tu)

Bed na keja zote ni safi (sabu yako tu)

Pia nimefukuza gadafi (we we we we kamu)

** pia nimenunua (sabu yako tu)

Mpaka tenje nkaomba (sabu yako tu)

Tape za nyundo ni nazo (sabu yako tu)

Sa fanya hivi (we we we we kamu) remix

Endeleeni kuongea….. ha

Chorus [Nonini]

Leo niko kwa keja (sabu yako tu)
Sitoki hapa (sabu yako tu)
Kwa hivyo ukitaka 
We we we we kamu
Leo niko kwa keja (sabu yako tu)
Sitoki hapa (sabu yako tu)
Kwa hivyo ukitaka 
We we we we kamu

No comments:

Post a Comment