Unajifanya bingwa wa kupenda
(Dada ee)
kumbe bigwa wa kutenda kuliko kupenda (Dada ee)
Tena unasifa ya kuogopwa kama difenda (Dada ee)
Umeua wengi ila kwangu umedunda
ahh koma eeh sitaki nizikwe na kilo mbili kwenye mfuko
mama ee sitaki familia ilie kwa
sababu yako
Dada ee ananitegemea mama ee
(Aee)
nikifa atalia sana ee (aa)
katika familia na mimi ni Baba
japo Baba yupo
nikija kufa ufa nami ataziba
ebu kwenda zako
Ananitengemea mama eeh aaeee
nikifa atalia sana Ee
(ENOCK)
Kuku wa kizungu mchinjaji ana
tabu X2
Ebu niache (Eeh) Ebu niache
unapita na dumu ya petroli ebu niache X2
una rambo mimi nina Mua mi ujinga ujinga tu Eee ujaniua X2
CHORUS
Unakichaa mimi nakuita wewe mwendawazimu
Nimepata habari mwili wako umeujaza sumu
Unang'ang'ana unataka mimi
kunipa utamu
Umekosa sengeru ngoma ya kucheza huna nenda kaicheze
segere segere mama, segere
segere ooh
segere segere mama (weeh mwali
nenda kaicheze)X2
(maromboso mama mama mama
mamaaa)
Eti umetuma mashoga wake
waje kuniambia
Roho inamuuma kiddudu penzi
kinasumbua
siri imevuma mimenyula wengi
wanajipakua
Hana huruma kajitoa wapi aje
kuniua
ilikua siasa nikatoa nikagawanya
nikajua anandanganywa weeh
mmbaya weeh
nusu ndegu nusu dona wengi wao
unawadanganya
mama chidi weeh kitanda huna
haya weeh
BRIDGE
Mimi sio saizi yako
nitakupwelepweta bure
Tafuta taipu yako wa ilala,
mimi wa kilungule X2
(BEKA)
Unataka kunipeperusha
weeh kimbuga uniwezi ng'o
kina chako cha maji marefu
kuongelea sikiwezi ng'o
unashinda kuwinda vyenye kungaa
vya masizi uvitaki noo
unang'ang'ana kama ruba kwenye
mwili wangu weeh nenda zako yeeh
na ushindwe ushindwe uniache
mimi mwana wa mwenzio
kwetu ndio jembe jembe ukivunja mpini ni kilio X2
CHORUS
BRIDGE
Mimi sio saizi yako
nitakupwelepweta bure
Tafuta taipu yako wa ilala mimi
wa kilungule X2
ASLAY
Ana chuma cha moto huyoo
anauguza watoto huyoo
Apewe mkong'oto huyoo
ili ifike mwisho huyoo
tabia yake,tabia yake, tabia
yake ASANTE.
No comments:
Post a Comment