[Intro – Wakazi]
Mimi ni mchota maji nkiwa na kiu niyanywe
Pia mvua samaki nikiwa na njaa niwale
Bahati mbaya mara nyingi huwa navua kambale
Juu yake misuko suko ya mamba pia pamoja na wale papa
Kata ndio inaonizamisha kisimani
Na madini mengi mtaisikia kisimani
Nilitupa almasi kuokota jiwe nikidhani ni ruby
Pick the irony, I’m on a track with Ruby

[Verse 1 – Ruby]
Tabu sio kupata penzi
Tabu kupata bora mpenzi
Mwenye kujua matunzo
Mwenzenu nyuma nilidanganyika kwa kijana
Akanijaza kwa sana
Si ndo nikaona hili ndo bwana
Nilizama pasipozamika
Ona nikadidimizika
Ila sikujali, nilijipa moyo nikimuomba Mungu
Mbele ya safari nilijipa moyo ntampata mzuri tu

Mwenzenu nyuma…
Oh mwenzenu nyuma…
Wacha niseme maana yamenifika shingoni
Nakosa unene amani sina moyoni
Oh mwenzenu nyuma…
Wacha niseme maana yamenifika shingoni
Nakosa unene amani sina moyoni
[Chorus – Ruby]
Sijutii kukufahamu nimejifunza mengi eh
Wacha niseme maana yamenifika shingoni
Nakosa unene amani sina moyoni
Sijutii kukufahamu nimejifunza mengi eh
Sijutii kukufahamu nimejifunza mengi eh
Wacha niseme maana yamenifika shingoni
Nakosa unene amani sina moyoni
Sijutii kukufahamu nimejifunza mengi eh
[Verse 2 – Ruby]
Nimejifunza mengi eh (life lessons)
Mto wenye mamba wengi
Ni huo huo wenye samaki wengi
Inabidi niingie nivue eh
Mwenzenu nyuma nilidanganyika na kina
Nikajazwa sana si ndo nikaona nimepata
Nilizama pasipozamika, ona nikadidimizika
Ila sikujali nilijipa moyo nikimuomba Mungu
Mbele ya safari nilijipa moyo nitampata mzuri tu

[Verse 3 – Wakazi]
Wanasema natakiwa kuoa, haina shida
Ila shida ipo kwenye kumuoa nani isiwe kuiga
Mi na yeye utadhani ni Beyonce na Jigga
Na-flow ka Jay Z, bae ni B kwa kuimba
Mchumba ana mapana ya tembo, marefu ya twiga
Maringo kama ya paka, na kisirani cha simba
Yeah I’m a beast, I know, ila sio kwa huyu beauty
Who will sleep we all, who were told that she a cute
Hakujua nachotaka, so alichukua nachopata
Bila kujua uzuri wa msichana hupungua kila mwaka
Wanazaliwa wapya, wazuri hawajazaliwa
Omba Mola akupe mpenzi wa dhati, others majaliwa
Penzi langu halitaki, anataka tuwe washikaji
Kisa bado mziki hujanilipa sina hata bajaji
Au akinionjesha penzi nisiseme, iwe siri, dii!
Amenifunza mengi, kumfahamu sijutii
Wanasema natakiwa kuoa, haina shida
Ila shida ipo kwenye kumuoa nani isiwe kuiga
Mi na yeye utadhani ni Beyonce na Jigga
Na-flow ka Jay Z, bae ni B kwa kuimba
Mchumba ana mapana ya tembo, marefu ya twiga
Maringo kama ya paka, na kisirani cha simba
Yeah I’m a beast, I know, ila sio kwa huyu beauty
Who will sleep we all, who were told that she a cute
Hakujua nachotaka, so alichukua nachopata
Bila kujua uzuri wa msichana hupungua kila mwaka
Wanazaliwa wapya, wazuri hawajazaliwa
Omba Mola akupe mpenzi wa dhati, others majaliwa
Penzi langu halitaki, anataka tuwe washikaji
Kisa bado mziki hujanilipa sina hata bajaji
Au akinionjesha penzi nisiseme, iwe siri, dii!
Amenifunza mengi, kumfahamu sijutii
[Chorus – Ruby]
Sijutii kukufahamu nimejifunza mengi eh
Wacha niseme maana yamenifika shingoni
Nakosa unene amani sina moyoni
Sijutii kukufahamu nimejifunza mengi eh
Sijutii kukufahamu nimejifunza mengi eh
Wacha niseme maana yamenifika shingoni
Nakosa unene amani sina moyoni
Sijutii kukufahamu nimejifunza mengi eh
No comments:
Post a Comment