Tuesday, 26 July 2016

Forever lyrics by Ruby

[Verse 1]
Kosa si kosa tuna-shout hadharani
Sometimes njoo tugombanie chumbani
Haya mapendo yasikatie njiani
Napenda ukifurahi cause moyoni my number one
Haki ya Mungu wallahi, kesho tutaiona sky
Napenda ukifurahi cause moyoni my number one
Haki ya Mungu wallahi, kesho tutaiona sky
[Chorus]
Baby, I love you forever
Zaidi tuwe wote together
Baby, I love you forever
Zaidi tuwe wote together
[Verse 2]
Maneno maneno yasivuruge amani
Tuipinge kesho wasicheke pembeni
Ana ana do, si mchezo, si utani
Napenda uki-smile cause moyoni we mjanja wangu
Haki ya Mungu huelewi jinsi unaniweka high
Napenda uki-smile cause moyoni we mjanja wangu
Haki ya Mungu huelewi jinsi unaniweka high
[Bridge]
Nyota na mwezi mashahidi watuone
Mchana usiku, njozi yako isikome
Kwa lugha zote, sema wala usikome
Ili mradi moyoni waujua ukweli wote
[Chorus]
Baby, I love you forever
Zaidi tuwe wote together
Baby, I love you forever
Zaidi tuwe wote pamoja
Baby, I love you forever
Zaidi tuwe wote together
Baby, I love you forever
Zaidi tuwe wote pamoja

No comments:

Post a Comment