Tuesday, 12 July 2016

ONE CENTIMENTER LYRICS BY JAGUAR

Usiende mbali nami
Usiende mbali nami   hata one centimeter away
Away from me,
Usiende mbali nami   hata one centimeter away
Hata one centimeter away   hata one centimeter away
Hata one centimeter away   always one centimeter

Verse 1:

Ningeweza, macho yangu yangekupiga picha
Niiweke, milele moyoni mwangu
Nikuone, kila-time moyo unapodunda
Moyo unapodunda, moyo unapodunda
Ningeweza, ningekuficha kama siri
Mapenzi yetu, iwe kati yetu wawili
Ma Paparazzi, wasikawahi kutuona
Kutuona, kutuona
Wacha nikulinde, kila siku kama commando
Kama commando Kila siku kama commando
Wacha nikulinde, kila siku kama commando
Kama commando Kila siku commando

CHORUS

Usiende mbali nami, hata one centimeter away
Away from me Hata one centimeter away
Usiende mbali nami hata one centimeter away
Away from me Hata one centimeter away

Verse 2:

Ningeweza, ningeondoa huzuni kwako
Usiwe na hofu, siku zote maishani mwako
Ningeweza, ningeondoa wasi wasi kwako
Usiwai jali, siku zote miashani mwako
Ningeweza, ningefuta machozi yako
(Machozi yako)  machozi yako
Usiwai lia, siku zote maishani mwako
(Maishani mwako)  maishani mwako
Wacha nikulinde, kila siku kama commando
Kama commando Kila siku commando
Wacha nikulinde, kila siku kama commando
Kama commando Kila siku commando

CHORUS:

Usiende mbali nami, hata one centimeter away
Away from me Hata one centimeter away
Usiende mbali nami hata one centimeter away
Away from me Hata one centimeter away

No comments:

Post a Comment