Tuesday, 12 July 2016

EXPONENTIAL POTENTIAL LYRICS BY JULIANI

Chorus

Walitutharau, aha aha ahao Who is laughing now, exponential potential
Wanadrown kwa machozi zao, tunaogelea kwa jasho zetu
Who’s laughing now, aha aha ahao Nasema aha aha ahao, who’s laughing now 
Exponential potential, achana nao

Verse 1

Milioni from ten bob,nilitoa wapi extra zeros
Jiulize mbona doughnut ina shimo
Shingo short cut ya mfuko
Doo ni legal,dish kwa roof top sio ya Dstv, yakuomba dish distinct
Vampire vegetarian ,white heads,non believers
Wanatuita high class Soma colle juu ya night club
Result slip hai determine pay slip
Toka niwe foetus, mpaka penye nimefika, God fingers, imemove strings

Chorus

Walitutharau aha aha ahao Who is laughing now, exponential potential
Wanadrown kwa machozi zao, tunaogelea kwa jasho zetu
Who’s laughing now, aha aha ahao Nasema aha aha ahao, who’s laughing now 
Exponential potential, achana nao

Verse 2

Toka kitambo nimekuwa photogenic
Wazazi waliinsist na story ya photosynthesis
Nani hajui udaktari  si lazima uwe mwerevu
Kwa karatasi ya dawa hawamalizangi hesabu
Ocampo ananeed more ink, more pages, jina zi-fit kwa list
Si exaggerate ka kufunika puncture na bandage
Ndovu haiezi hata ngumi ya mosquito
Mimi  si muimportant, bila mimi mama mboga hata hana customer
Ngumu kwangu, kizungu fluent, but hauwezi command umati na influence

Chorus
Walitutharau, aha aha ahao Who is laughing now, exponential potential
Wanadrown kwa machozi zao, tunaogelea kwa jasho zetu
Who’s laughing now, aha aha ahao Nasema aha aha ahao, who’s laughing now 
Exponential potential, achana nao

Verse 3

Kuku yangu inalia ina swine flu iliponiona nikinoa kisu
Nilikaribisha iliassume ni pet si food, homa ina funika nostrils
Coincidentally anapika sea food, akithania si nusii harufu
Uchoyo hainanga karibu
Msoto ikiknock door, niko like: “You look familiar have we met before ?”
Kuku ina idle nje kenchic, ni death pending
Hardwork  u get the best out of life, get saved u get the best out of death

Chorus

Walitutharau, aha aha ahao Who is laughing now, exponential potential
Wanadrown kwa machozi zao, tunaogelea kwa jasho zetu
Who’s laughing now, aha aha ahao Nasema aha aha ahao, who’s laughing now 

Exponential potential, achana nao

No comments:

Post a Comment