Tuesday, 12 July 2016

KIPEPEO LYRICS JAGUAR

Tazama kule, kule, kule, tumetoka (x2)
Nikiwa nawe sitembei, nakua tu kipepeo
Napepea napepea, juu ya mapenzi unayo nipa (x2)

 Verse 1:
Nataka leo nitangaze niseme, kama si wewe staki mwingine
Nao wabaya wabaki waseme, ni uchawi ama ushaniroga
Mapenzi unayonipa, hakuna mwingine ashawahi nipa
Kama si Wewe Staki mwingine, kama si wewe staki mwingine
Sitakutesa ili unililie, nitakutunza ili unizalie
Kama samaki sirudi nyuma, nikiwa nawe sirudi nyuma
Nikiwa nawe sitembei, nakua tu kipepeo
Napepea napepea, juu ya mapenzi unayo nipa (x2)

Verse 2: 
Maombi niliomba yamefika, niliyemwomba Mola amenipa
Nitamfuata kama kivuli, kokote aendako 

Tazama kule, kule, kule tumetoka (x4)
Kule kule, kule kule, kule kule, tumetoka
Kule kule, kule kule, kule tumetoka,

No comments:

Post a Comment