Verse 1
Naandika hii verse ka niko na njaa Naenda kupika bila makaa
Nawaita na mnakataa Mnasema kanisa haina mavijana
Kushiba ni baada ya sala Kuiva nao siku hizi ni balaa
Utageuzwa kima na makusaga Pika ive tunamanga
Sukuma chumvi na ka uganga Chuma ngumi teke kadhaa
Boxer chupi na mahanda Toka nyuki asali changaa
Koma kumi utashangaa Ama stima zitazima
Twende kwa kina Faridah Jiekee hina kwa mafinger
CHORUS
Hapa, tunacheza na maneno
Ngeli ya genge!
Hapa, tunacheza na maneno
Ngeli ya genge!
Verse 2
Nataka ukae poa ka kina Fatiya Halima na Eva
Watoto wazuri Ndoto nzuri huisha
Ka ume--- zote kabisa Ukasanya moto ukapatia
Bahati mbaya ukashikwa Mabati waya ukapigwa
Mashati za Wanja zikaishia Chukua zingine uanze kupima
Vua pengine ni ya Peter Beste yangu mtu wa shida
Hii miti ni yangu wee tuliza Unadoea kiusfisi na hanjaalikwa
Unapokea dishi na hiajapikwa Chakula na mbichi na haijaiva
Tuma sista Eastleigh manjiva Lakini chunga vile atajivaa
CHORUS
Hapa, tunacheza na maneno
Ngeli ya genge!
Hapa, tunacheza na maneno
Ngeli ya genge!
Verse 3
Ma-mini puma na adida
Ma-G-string shuka na ma-
Mambuyu kwao ni kushangaa
Pudu zao zinaamka
Njugu kibao anatafuna
Mamatha huku wanashtuka
Hanya huyu utajuta
Kama sumu inaua
Maziwa iko tutakunywa
Kama njumu zinatupa
Kabisa tutakataa kuvua
Matope kila mahali panguza
Polepole ngazi tunashuka
Pole eka kazi ya sungua
Mwisho ganji itaingia
Vitisho wangapi watasikia (Genge damu, California)
CHORUS
Hapa, tunacheza na maneno
Ngeli ya genge!
Hapa, tunacheza na maneno
Hapa, tunacheza na maneno
Ngeli ya genge!
No comments:
Post a Comment