Tuesday, 19 July 2016

MI NA WE LYRICS BY PREZZO FT ALLY B


  (CHORUS) Ally B


Mimi na we, mimi na we
tushikane, tusiachane
milele tusonge mbele
Mimi na we, mimi na we
tushikane, tusiachane
milele tusonge mbele


  Prezzo


Nakupenda mpenzi, nitakupa mapenzi
kama ni nyumba nitanunua, gari utakayoendesha ni Benz
roses na ma-text kwako nitasend
hope and pray to Allah that our love will last till the end
napenda your sexy smile, your eyes, your thighs
napenda jinsi unavyo look I'm telling no lie
nikikuita baby niite mpenzi
nikisema nakupenda sema unanipenda too


  Ally B


Penzi lako kwangu ma mkubwa, umenishika kimahaba
we ndio wangu mpaka buba, hah
bila we, nitaanguka mi


  (CHORUS)


Mimi na we, mimi na we
tushikane, tusiachane
milele tusonge mbele
Mimi na we, mimi na we
tushikane, tusiachane
milele tusonge mbele


  Ally B


Nimeona wazuri ni wengi, wako kibao
ila, we hufanani nao
si uzuri wa rangi, sifa yako na tabia, baby
mrembo wa Afrika, napenda unavyo cheka
usishike ya wambea, wewe uko juu
mrembo hooo, hoooo ohooo
ukichekacheka, kweli uko juu
ohoooo mrembo, yeiyeiyeiii...


  (CHORUS)


Mimi na we, mimi na we
tushikane, tusiachane
milele tusonge mbele
Mimi na we, mimi na we
tushikane, tusiachane
milele tusonge mbele


  Prezzo


Mimi na wewe mpenzi tele
pamoja mimi na we tunasonga mbele
ah, baraka twazipokea tele
kila ninachofanya ni lazima tuseme
sihitaji mwingine isipokuwa we
wachana nao honey, we tu-step
tule pate yani mpaka wafyate
full kipupwe yani mpaka wadate


  Ally B


Penzi lako kwangu ma mkubwa, umenishika kimahaba
we ndio wangu mpaka buba, hah
bila we, nitaanguka mi


(CHORUS)


Mimi na we, mimi na we
tushikane, tusiachane
milele tusonge mbele
Mimi na we, mimi na we
tushikane, tusiachane
milele tusonge mbele


  Ally B


Kwako nimekula kiapo, bila wewe mimi sipo
mi na wewe, tusonge mbele
Kwako nimekula kiapo, bila wewe mimi sipo

mi na wewe, tusonge mbele

No comments:

Post a Comment