Tuesday, 19 July 2016

LET'S GET DOWN LYRICS BY PREZZO FT NAZIZI


  (CHORUS)


siku moja jamaa mi aliniita
niko busy kwenye club nakatika
nimetega sikio kwenye speaker
sina mda na mtu hata dakika ati
shorty tukutane please round 'bout town
huku ananiangalia up and down
can I please write your number down
OK
come, let's get down


  (Prezzo)


excuse me miss
jina langu ni Jackson
together me and you tutaleta action
njoo songea karibu nikupe mitikasi
sio utani ninachoomba ni nafasi
kama dakika tano tu of your time
nikueleze ni-livyo ku-mind
'toka first time nilipo-lay my eyes
on you nili-believe it's true
kuwa ni wewe tu
I promise you
ntakupenda boo na utanipenda tu
hadi nimepiga magoti kwenye sakafu
ntakupa chochote utakacho
pads and pesa, golden sandals
your love I'll cherish I'll keep
bila scandals
pads and pesa, golden sandals
your love I'll cherish to keep
bila scandals


  (CHORUS)


siku moja jamaa mi aliniita
niko busy kwenye club nakatika
nimetega sikio kwenye speaker
sina mda na mtu hata dakika ati
shorty tukutane please round 'bout town
huku ananiangalia up and down
can I please write your number down
OK
come, let's get down


(Nazizi)


yo sikuweza kuringa
sikujali kama ana nyumba ama ana dinga
moyo ulizizima
the way he approached me
aliwasha moyo wangu kama torchi
sasa ni mimi Nazizi na ye
siendi kokote
milele mimi na ye
namshukuru Mola kutuleta sisi pamoja
nilikuwa nimeshachoka kungoja
moyo ulivyo jujika huo
sasa umepona naridhika na sauti tu
sio lazima kila siku sura yake kuiona
hata bila ye kuweko bado namwona
akilini mpaka usingizini
mchana mpaka night mawazoni yuko na mimi
namtamini ye kuliko hata madini
ama hela
sio lazima utajiri
hata kwa umasikini ni mimi na ye
Mungu atujalie, amini


  (CHORUS)


siku moja jamaa mi aliniita
niko busy kwenye club nakatika
nimetega sikio kwenye speaker
sina mda na mtu hata dakika ati
shorty tukutane please round 'bout town
huku ananiangalia up and down
can I please write your number down
OK
come, let's get down

sawa boo
you know I'm feeling you
na mpaka kufa kwangu you know I'll stay true
forget the haters it's between me and you
you and me
we spark the sensei
steam zimepanda story za mapenzi
sawa J
leta basi hiyo lighter
moto wetu itabamba mpaka ita-rise up
mimi na wee 
tu mpaka, mpaka kifo
tighter than tight mzee,
sio vitisho
tighter than tight mzee,
sio vitisho

tighter than tight mzee,
sio vitisho
tighter than tight mzee,
sio vitisho


  (CHORUS)


siku moja jamaa mi aliniita
niko busy kwenye club nakatika
nimetega sikio kwenye speaker
sina mda na mtu hata dakika ati
shorty tukutane please round 'bout town
huku ananiangalia up and down
can I please write your number down
OK
come, let's get down

No comments:

Post a Comment